Which is the most Dangerous Letter in English?
The Answer is "W"...as in Wrong
"W" is a tension generator...
because all the worries and troubles get begins with "W"...
Who ? Why?
What ...
11
NYOTA ya spika wa zamani wa Bunge la Jamhuri, Samwel Sitta imezimwa, MwanaHALISI limeelezwa.
Sitta, ambaye Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilitegemea akibebe katika kugombea urais mwaka...
Serengeti Breweries ni mdhamini wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Clouds fm ni mmoja kati ya waandaji eti wa kitu kinachitwa tamasha la uzalendo. Leo Serengeti Breweries eti ndio...
Dunia Sasa Imani imekwisha ppapaappapraa Si kwa wakubwa eeehh! si kwa watoto papapapprrrpaaarrraa Mioyo ya watu Imebadirika ppiippiipwepeee Kwenye watu Kumi Binaadamu Mmmojaa!! Wote Tunakwenda...
:dance:
One cool evening Death came to a guy and said "my friend, today is your day".
The guy said, "but I am not ready".
Death said, "well you are the next on my list".
So the guy told...
Kuna wanandoa walikubaliana kuwa, wakiwa pamoja na watoto au watu wengine, na wakataka kwenda kupeana ULODA chumbani waseme wanataka kwenda KUPIGA SIMU
Basi siku moja baba akawa na hamu...
Nikichekesho kweli...!
Bill Gates organized an enormous session to recruit a new Chairman for Microsoft Europe.
5000 candidates assembled in a large room. One candidate was Urio, Tanzanian...
Mchaga mmoja alidondokea kwenye kisima cha maji akapiga kelele huku anatapatapa, mkewe akaja na kamba mpya akamrushia. Mumewe akauliza; "Umenunua shilingi ngapi?" Mke akamjibu " Buku" akamwabia...
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
Vipi huko mpenzi wangu?
UNAENDELEAJE? Unajiandaaje kwa Krismasi teh teh? Maana hapa utadhani Krismasi ni kesho tu.
Kila...
Kiulikuwa na wanawake 3 ambao walinunua ice creame {Ballcone} wa kwanza alikuwa anainyonya, wa pili alikuwa anailamba, na wa tatu alikuwa anaimung'unya! Swali, Je! utamjuaje kati ya hawa alieolewa?
Bacteria mmoja alifungiwa katika kopo lenye mfuniko.Kila baada ya dakika moja,bacteria hujigawa vipande viwili na kuwa bacteria wawili wapya ambao nao huendelea kujigawa.Ilipofika saa 12:00,kopo...
Walipokuwa wanajisifia walikokuwa wanatoka,
Mmarekani akasema, "I'm from New York City!
Muingereza akasema !I'm from London City"
Mtanzania aliyekuwa anarejea toka hospitali alikofanyiwa upasuaji...
jamaa mmoja muongo alikua kijiweni anawahadithia watu jinsi alivyokua akimkimbiza swala porini akaishia kwamba " nikamkamata nikamlaza chini" ghafla kabla hajaendelea simu yake ikaita akaenda...
An IT services company had a policy of hiring only married men.
Concerned about this, a local Woman's Liberation Front Leader called on the CEO and asked him, "Why is it you limit your...
Mimi nashindwa kuelewa nyimbo nyingine wanapiga club. Jana nacheza mziki mara unakuja wimbo wa Enrique Iglesias - Tonight im f*** u. Ghafla mademu wanajirusha kwa nguvu kweli. Nikajua labda leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.