A common African man until he reaches 45 yrs old anakuwa kalala na si chini ya wanawake 100 kwa mujibu wa utafiti fulani.
Leo ingekuwa siku ya KIAMA as a man ukaulizwa UKIWA DUNIANI...
Habari wanaJamiiForums
Kama heading ijielezavyo hatimae nimefanikiwa kuzisoma threads zote za Jamiiforums ktk majukwaa yote ispokuwa jukwaa la siasa
Hivyo ningeomba wanaJF wenzangu musikose...
Nataka mwaka huu niache rasmi kupiga punyeto.
Jana nilianza kuacha leo nimepiga cha mwisho mwisho labla sijaingia darasani akyamungu hii ndo punyeto yangu ya mwisho sipigi tenaaaaa.
Nilianza...
Raha ya kuwa single ni ipi
1.unaludi muda utakao huulizwi na mtu
2.unaonjea mboga kwa mwiko [emoji23]
3.ukitoka kuoga una jifutia pazia
Ongezea na zako[emoji116][emoji16]
Sasa hivii wasichana wengii wameamka kwenye maswala ya viparty vya siku ya kuzaliwa yaanii mwanaume kama una mahusiano na wasichana zaidi ya mmoja ujue utachangia wote.
Ukiwa na urafiki nao...
Oya sio poa wadau...
Hatimae bwana mkubwa Fene baharia wa nchi kavu ktk harakat zangu za hapa na pale nimefanikiwa kuishika milioni moja rasmi [emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120]
Natangaza...
Inakuwaje wanangu wa Jamiiforums
Binafsi mimi nilikuwa mpenzi mtazamaji, na Hakuna kitu kilikuwa kinaniuzi kama kuona watu wakizichapa atokee mtu aje kugombolezea
Kwa wale mliowahi kuzichapa...
Ntaeleza kwa ufupi kadri iwezekanavyo
Iko hivi...
nilikuwa straight A student yule kipanga toka primary mpaka secondary kinachoniuma nilikuwa napata hayo matokeo in expense of my social...
Tazama, Doa, Harufu Mbwa sio tu rafiki bora wa mtu, pia ni bora zaidi linapokuja swala la kunusa.
Hisia zao za harufu inakadiriwa kuwa mahali fulani kati y’a 10000 na 100,000 zaidi bora--au kali...
Nipo kwa sister hapa naaangalia angalia michongo ya kazi hapa Town. Tulikuja Mjini kutafuta pesa siyo kuangalia magorofa. Mimi mtoto wa kiume lazima nijitume. Kama matunda yangu yapo basi lazima...
Kuna jiran yangu mmoja alikuwa anaumwa akaamua kumuita mganga wa kienyeji ili aweze kumpa tiba.
Mganga alipofika akamwambia kuwa ugonjwa wake hautibik ila njia pekee ya yeye kupona ni kurusha ule...
Tafuta ela efu 40000
Tafuta mafuta ya harufu ya 5000
Tafuta T-shirt nzuri ya 15000
Tafuta suruali nzuri ya 10000
Na viatu vya 5000
Alafu jioni kabla jua halijakwenda malaloni
Nawa Mwili mzima...
Yaani kuna swala ambalo linaleta ukakasi ni mwanaume kuwa chawa wa mwanaume mwenzake!
Hizi unawezaje kuishi kwa kumsifia mwanaume mwenzako sifa sometimes ambazo hata hana au ustahili ili mradi tu...