NDUGU WANA JF KAMA HUNA TABIA YA KUANGALIA MAITI USIFUNGUWE HII LINK,JAMANI TUWE MAKINI NA NCHI TUNAZOZITEMBELEA KWANI SEHEMU NYINGINE SISI WAAFRIKA NI KITOWEO
CHEKI HII LINK NI JAMII FORUM YA...
In an alcohol factory the regular tester died and
the director started looking for a new one to hire.
A drunkard with ragged, dirty look came to apply for the position.
The director of the...
Enzi nikiwa naishi Manzese ndipo nilipojifunza kuwa Biblia ni kiboko. Sikuzote tulikuwa tunadhibiti panya bila matatizo, na walipokuwa wakitokea nyumba za jirani bado tulikuwa na sumu ya panya na...
Ilikuwa hivi: Mtoto alikuwa na tabia ya kukojoa kitandani sasa mama akawauliza jirani zake dawa ni nini, wakamwambia ni fimbo tu ili akijaribu kukojoa akikumbuka fimbo ataacha.
Asubuhi iliyofuata...
Baada ya wanyama kuwa na maisha yasiyoeleweka ya mkanganyiko mkubwa ilifikia wakati mzee tembo kuitisha mkutano na kupendekeza achaguliwe mnyama atakayekuwa kiongozi wao ili kupeleka maisha yao...
Kuanzia sasa msishangae matokeo ya uchaguzi kupinduliwa.
Kwanza, Chama chenyewe ni cha MAPINDUZI, kwa hiyo kupindua matokeo si jambo la ajabu.
Pili, Viongozi wake wote wa juu ni Wanajeshi...
Mwanasiasa wetu mmoja alifariki na kabla ya kuhukumiwa ahera malaika wakamshauri achague mwenyewe ikiwa anataka muingia peponi au motoni, lakini wakamsisitiza kuwa uchaguzi wowote atakaofanya ni...
Hii ya kitambo lakini wacha tushtue mbavu kidogo:
Jamaa watatu walikuwa wakisafiri kupitia kwenye msitu mnene na kwa bahati mbaya wakakutana na majitu yanayokula watu na yakawakamata. Yale...
Rais Kikwete anasemekana kuwa na wake wengi, tena ikidaiwa ameoa kwa Rostam Aziz na kwa Zakia Meghji. Pia kuna uvumi kwamba anamke wa kizungu etc. Ninaomba mwenye kuweza kutudadavulia ukweli...
Kutokana na tatizo la Wachina kuchanganya matumizi ya "L" na "R", mabo yanakuwa hivi:
Question: How frequently do you have e"L"ections in your country?
MCHINA: Eve"L"y morning.
God created donkey.
God created the donkey and said to him.
"You will be a donkey. You will work un-tiringly from sunrise to sunset
carrying burdens on your back. You will eat grass,
you will...
A mother went to see a psychologist being worried about the characters of his child.
MOTHER: I'm worried doctor, the boy is a great lier, a cheater, unfaithful, corrupt...He don't fulfill his...
FIKIRIA uko hapo tuseme Manzese basi. Unapita njia yako unasaka shilingi ambayo inaendelea kuota matairi na mbawa.
Mara ghafla unamwona kijana naye anapita akiwa na mbwa, lakini kamfunga kamba...
Bosi mmoja na wafanyakazi wake walikuwa wanaenda kujipatia kinywaji na kupumzika kidogo baada ya kufanyakazi saa bila kupumzika. Njiani walikutana na Aladini akawapa ofa ya kila mmoja kuomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.