JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mama: Mwanangu hebu chukua simu umpigie babako umwambie chakula kiko tayari. (Mtoto kachukua simu kisha kampigia babake) Mama: Mwanangu babako kasemaje? Mtoto: Aahh, mama simu ya baba ilipokelewa...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Unasemaje neno NAKUPENDA kwa kilugha chenu? Naanza kuunda kamusi, lol!
3 Reactions
174 Replies
42K Views
Hellow hellow [emoji112][emoji112] Asikuambie mtu ndoa zina mambo sana ,kuna kile kiutaratibu ule muda wa kulala sasa umeshatoka kwenye mihangaiko yako mnakutana ile usiku mke anaanza kukupa ubuyu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
General Magawa hakuwahi kuwa na mpenzi, aliishi kibachelor huko Cambodia.
1 Reactions
7 Replies
591 Views
Wakuu nawasalimu kwa salamu ya jukwaa hili Nimeamuwa kuleta uzi huu ili tuweze kuhadithiana matukio tunayokutana ama kuyafanya hapa dar es salaam usiku liwe la kusikitisha au la kuchekesha...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wakuu Kwakwel mimi baharia wa nchi kavu ndugu bwana Fene hiki kitu kitambi sijawah kukielewa hat kidogo, Swali Je hiv kitambi haswa kinaanzaga katika umri gani? ili nijipange kukiepuka...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari za jioni wadau...... Anastahiki sifa njema muumba wa ardhi na mbingu. Pia kwa kuniwezesha kumalizia na kuhamia kwenye kibanda changu kipya namshukuru mungu kwa hilo , namuomba mungu ampe...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Mtangazaji wa CloudsFM kipindi cha LEO TENA Burton Mwemba maarufu Mwijaku ni miongoni mwa Watanzania waliojitokeza leo Ofisi za CCM Lumumba DSM kuchukua fomu ya kugombea U-spika wa Bunge la...
1 Reactions
3 Replies
958 Views
Hakika leo nimekwazika kiwango cha juu mno..sijawahi kuchukia Na sipendagi kuchukia kiasi hiki cha leo
11 Reactions
181 Replies
7K Views
Mi naanza naya king'asti!!ushename na dang'a na nang-ngiku'kundie yaani nazitamani sana kuzipata nashindwa kuzidukua kama tunavyofanyaga watsap au fb!! Endelea kutaja wewe unazivutiwa...
0 Reactions
8 Replies
785 Views
Heri ya mwaka mpya wanajamii. Moja kwa moja kwenye mada...mimi huwa siingii Jf garage kwa sababu sina gari na sitegemei kumiliki any time soon [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Lingine ni Jf...
11 Reactions
61 Replies
4K Views
Kwema wakuu, Mimi kila nikifungua jf Kuna nyuzi maarufu nakutana nazo, 1)Battle: Dar vs Nairobi 2)Ishmael was not sacrificed 3)Namna bora ya kukata roho 4)Wauzaji wa smartphones tukutatane...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Ndio, wale wanaume tuliooa wanawake wafupi tujuane tupeana changamoto za Hawa viumbe na ikiwezeka tuanzishe chama chetu cha wanaume waliooa wanawake wafupi Tanzania (chawawata) tuwe na mwenyekiti...
12 Reactions
135 Replies
9K Views
Habari wanajf hiki ndicho kilichonikuta kwenye mkesha wa x mas Uwiii Wanajeshi Hawa sio watu tupo mm na shoga angu tumetoka club uck akanambia nimsindikize kwake tukifika atamwambia mume wake...
16 Reactions
56 Replies
4K Views
Hii ni kauli ya warembo wengi hapa mjini...hivyo Basi wale wazee walio jibebea masingo maza wakae mkao wa kula. Msiseme hamkuambiwa.
2 Reactions
45 Replies
3K Views
Wiki takribani tatu, soda mtaani zimekuwa adimu sana hadi kupelekea wadau wa soda kuleta nyuzi huku kuulizia kulikoni soda kuadimika! Hakuna ubishi soda za kampuni ya cocacola, mfano fanta na...
-1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni hivi kila mtu anayepost kaumizwa na mapenzi wadau wanasema atafute hela, mie nauliza hizo hela inatakiwa ziwe kiasi gani?
14 Reactions
71 Replies
5K Views
Kuna majina ya kike ni romantic sana yaani ukitajiwa au ukisikia yule mdada anaitwa flani unajikuta hisia zina jiupload zenyewe tu,baadhi ni kama haya hapa, 1: Patricious 2: Rose 3: Hammisa...
1 Reactions
146 Replies
16K Views
NAPENDA sana kuogelea lakini Nikiwaza kwenda kuogelea maji ya baharini/Ziwani kuna mtihani mwingine huwa naogopa kuogelea maji ambayo sioni ndani yake kuna nini kwa kuhofia nyangumi, wanyama wa...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…