Hi guys, Mambo vipi?
Mada inajieleza. From other social network.
Binafsi hawajui kuwa nasota kiasi cha kutaka kurudisha mpira kwa beki. Aha
Twende kazi na wengine.
Mwanangu Wa darasa la 3 kaniuliza swali ili .... Baba, sisi ni watanzania na tumepata uhuru , mbona shuleni tunakatazwa kuongea kiswahili na tunalazimishwa kuongea English tena wameweka na...
Hello members!
Bila kupoteza Muda naomba tutoe taabu na matatizo ya jirani zetu ambazo kwa namna moja ama nyingine zinaudhi na kuboa sana .
Hii itasaidia pia hata sisi wenyewe kujihoji na kujua...
Hi?
Mwanzoni mwa mahusiano alikua hawezi hata kumaliza kuku robo lakini sasa anafanya league ya ujerumani mezani nikipinduka kidogo nikija kurudisha macho kwenye bakuli nakuta samaki kaisha...
Mfano jamaa akitoa msaada kwa kila mtu wealth ya 1B $ bado atakuwa tajiri namba moja duniani na wewe hali uliyonayo utabaki nayo hivyo hivyo kwa kuwa tutakuwa tume add 1 kwa kila mtu...
Nimezunguka bar kubwa zote za mkoa wa dar wananchi wanakula raha sio mchezo. Nimeanzia maeneo ya banana Ukonga
Tabata mbezi bichi mikocheni na kinondoni kwa kweli wananchi wanafuraiya maisha.
Huu...
Wasalaam wanajamvi, hope mu wazima
Leo nimeona nigusie jambo moja ambalo Kila kiumbe chini ya jua anapendelea kuwa nayo. FURAHA naam FURAHA ile hali unayoipata mara baada ya kufanyiwa au kupewa...
Jana mida ya asubuhi hata chai sijanywa nikapita shop nikanunua pombe Kali yenye alcohol 35% nikawa nakunywa mdogomdogo naelekea kazini baadae mida ya saa tano nkatoka kazini nikarudi kijiweni...
Habari za saivi mabibi, mabwana, vijana, mabinti, wazee n.k
Binafsi nilikuwa naplan ya kuoa mwaka huu lakini nimefeli na kwasasa sina mchumba wala msichana yeyote yaani nipo Single. Wasichana...
Nimefika Ofisi moja hapa DSM.
Nimefika na kumsalimia dada mmoja ambaye ameinamia kwenye simu yake muda wote...nami nikakaa reception namsubiria ndugu yangu anipe connection.
Dada akanicheki...
Usikubali ugumu wa maisha ukufanye utumie mwili wako vibaya.
Usikubali kuutumia mwili wako vibaya kwa ajili ya matangazo ya kibiashara.
Leo wewe ni mdada hauna famiia siku zaja utakuwa na familia...
Je ! hii Order ya Mungu tuna itekelezaje??
Maana kuna mwanamke ana uwa kila baada ya Mwaka Ukoo unaisha na kila mtu ana mjua na yeye mweyewe ana wambia watu wata mtambua.. na akisha kwambia hivyo...
Je ! hii Order ya Mungu tuna itekelezaje??
Maana kuna mwanamke ana uwa kila baada ya Mwaka Ukoo unaisha na kila mtu ana mjua na yeye mweyewe ana wambia watu wata mtambua.. na akisha kwambia hivyo...
Nawatakia ijumaa njema kwenu wanaume wote wabeba majukumu ya uanaume, watufataji, wenye upendo na huruma.
Mjue tuu nyie ni wa thamani sana
Mwenyezi Mungu awape maisha marefu na yenye amani...
1 Timothy 5:23
"No longer drink only water , but use little wine for the sake of your stomach and frequent ailments."
Whatever you are going to do with that information, is not my problem.