JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nipo Korogwe naelekea Bagamoyo. Gari nilizopishana nazo ni hatari, . Nilipouliza jamaa mmoja akaniambia ni za Wananchi wanaenda makwao kusherehekea Huko Uchagani kuna nini siku za Krismas na...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa Wanandoa, Kama Me usitafute logic kwa mwenza. Vinginevyo ndoa itakushinda mapema asubuhi. NB: Wenzetu wameumbiwa midomo ya kuongea
4 Reactions
11 Replies
957 Views
Mambo zenu wadau. Ni matumaini yangu mnaendelea vyema na ujenzi wa taifa. Aha kuna jambo linanitatiza. Mtu anawezaje kushiriki ngono. Huwa na imagine unakuta mtu anakaa kwao lakini ashafanya...
1 Reactions
14 Replies
920 Views
Hello Guys.. wa Dar es salaam! Hivi kwa ambao siyo wapenzi wa pombe wala Wanawake yaan siyo wapenda ngono, Na hatuna marafiki tuko na Introvet character tunaenda wapi kuburudika kipoteza muda...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
๐—›๐—ฉ๐—œ ๐—ต๐—ฎ๐˜„๐—ฎ ๐˜„a๐—น๐—ฎ๐—น๐—ฎ ๐—ต๐—ผ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ด๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐—บ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฒ๐˜๐˜† ๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ฎ ๐—บ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ช๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐—ต๐˜‚๐—ผ ๐˜๐—ผ๐—น๐—ผ๐—น๐—ถ ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฝ๐—ฎ ๐—ง๐˜€๐—ต ๐Ÿฑ๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐Ÿฌ ๐—›๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜‡๐—ฎ...
0 Reactions
2 Replies
295 Views
Habari waungwana, Ebana mimi nataka kujua, kufahamishwa sehemu nzuri hapa mjini Dar es salaam za kutoka na mpenzi wangu na akafurahia ambapo kuna usalama zaidi n.k. Badget yangu ni TZS 70000...
5 Reactions
53 Replies
7K Views
Wakuu Ni miaka 60 sasa tangu nchi iwe huru na mambo mengi yanabadilika kila uchwao Kwa sasa hapa bongoland mambo ni tofauti kabisa...man unatongoza mwanamke tena unaweza zungushwa kukubaliwa hasa...
2 Reactions
54 Replies
3K Views
Kweli wanawake inatakiwa tuishi nao kwa akili , na imefikia wakati sasa sijui watusamehe au iwaje au sijui tugeuke mwamposa tuwaponye๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Tumepanda usafiri na mke wa Mwalimu Wakati stori zimekolea...
6 Reactions
11 Replies
3K Views
Wajuba mpo. Mr. Liverpool nimerudi Tena Toka chimbo. Nimetoka huko porini napo Limia Parachichi zangu. Eeh bwana eeeeh, panapo majaliwa kuanzia mwezi wa Feb/2022 naingia sokoni na Hass Avocado...
3 Reactions
18 Replies
744 Views
Kumbe mademu wa mjini wanacheza huu mchezo ili wapate pesa ya kula na matumizi yao Leo demu mmoja kanifungukia kuwa ukiona demu anakuomba pesa ndogo ujue kwa muda huo amewafowadia wanaume hiyo...
12 Reactions
66 Replies
3K Views
Wakuu Hapa naelekea Mitaa fulani ya hapa Mwenge kupata moja moto moja baridi Yaani leo ni raha yaani leo ni mwendo wa kugawa bia tu bajeti ya leo nipo radhi hata 500k iishe Ukizingatia na wife...
10 Reactions
54 Replies
4K Views
Habari ndio hiyo kama unabisha jaribu [emoji124][emoji124][emoji124]
3 Reactions
8 Replies
790 Views
Hili jabali la Urusi, jitu lisilo na mizaha, jitu lisiloogopa wala kuyumbishwa. Hivi jamaa ana mke au watoto? Anaonekana katili mno, mke wake(kama anaye) si anapata shida mno? Hivi ana familia...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Kutokana na ndugu wengi humu kuwa wachoyo sana na walafi, hawataki kualika wenzao hasa mimi kwani eti nakula sana kama mchwa. Hivyo yeyote anayetaka kumualika mtu msimu huu kuelekea Xmass na...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Hi
Hellow
0 Reactions
2 Replies
542 Views
Wanajamvi habari za mapambano ya kimaisha. Nikienda kwenye lengo kuna tukio nilisimuliwa, iwapo likikutokea nivyema kuchukua tahadhari gani? Nyumbani kuna kuku, baba/Mume anasema amekwema...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Hapo kwenye zawadi nono nimetania tu. Naomba anayeweza kupata ile avatar yangu ya zamani ya bi harusi anamnywesha mumewe mvinyo(,members wa zamani mnaijua) Nimejaribu kuitafuta huko mtaani ila...
14 Reactions
108 Replies
6K Views
Habari ndugu zangu mumeambajee natumai nyote mpo salama Haya mm ni kijana wa kipemba GOMBANI ila ninaishi dar es salaam . Ningependa kuwa tambua ndugu zangu wengine mliojiunga humu tufahamiane tu.
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Amani iwe juu yenu Huu uzi kila nikiukumbuka hakika unanifikirisha sana, ni uzi wa jamaa mmoja ivi ambaye aliwaliza watu wengi kwenye forex, alikwenda Matui-Kiteto-Manyara kisha akakodi trekta...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ