JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hello! Nadhani kila mtu anakitu ambacho kinampa furaha akikifanya Mimi binafsi kungalia movie ndio hobby yangu kubwa Sana ,na enjoy Sana kuangalia. wakati nipo mdogo nilikuwa naangalia Sana...
0 Reactions
3 Replies
559 Views
Wadau mlioko kiwanja hiki, black & white DM tupombeke free
2 Reactions
11 Replies
845 Views
Kama JF ingekuwa kama YouTube ili kuvutia wasomaji hivi ndivyo nyuzi zingesomeka. 1- Zulu man with some power na miminimkulimaakachekasana waomba kufupishwa majina yao. 2- beaf la Bujibuji na The...
18 Reactions
73 Replies
7K Views
WanaJF habari, Poleni kwa harakati za kutafuta chochote kitu ikiwa ni moja ya majukumu ya kila siku. Ndugu yenu nimeleta Uzi huu nataka niingie kwenye level ya kujitegemea na kumiliki gheto...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakuu karibuni[emoji116]
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Najua utakataa lakini ulipo kuwa shule ya msingi kuna mtu alikuwa anakuumiza nafsi na hatimaye ukatengana naye mara baada ya kumaliza. Sasa basi napenda upate fursa ya kuieleza jamii nini...
5 Reactions
226 Replies
44K Views
"If you announce your goal to someone, you are less likely to achieve it (So, keep your goal a secret - even in an interview"
14 Reactions
22 Replies
1K Views
Msaada jamani! Tueleweshane, hata mie binafsi sifahamu chanzo!! Tiririkeni basi wengine tujifunze!!!
0 Reactions
4 Replies
884 Views
i put brain storming questions And He U Know The Answer Your Welcome you Can Add Yours If You Have Example how Do We Call Someone Who Was Born In Tz lived In Kenya And Died In Uganda ? If You Fail...
1 Reactions
42 Replies
2K Views
Kuna playlist yangu nikijiroga kuiweka huwa kulala ni saa tisa kama muda huu niliopost Huenda kuna wanasaikolojia hhumu waniambie chanzo Saa 2 kasoro iabidi niwe kazini, hapa kuamka saa 1...
3 Reactions
3 Replies
876 Views
Usijaribu. Siku imeniishia vibaya sana. Kushukuru tu bado tupo pamoja. Aisee mambo ya weekend yamenijia vibaya nusura nikate switch. Mida ya mchana nikanunua zangu vant kadhaa nikaweka kwenye...
11 Reactions
24 Replies
3K Views
Ndio hivyo tena, December imeshaingia. Unamipango gani? wenda ika match na ya wadau humu. Mimi bado nawaza sijajua nipange nini, kwasababu hayapangiki. Ila nasikia WAVE nyingine...
0 Reactions
0 Replies
419 Views
Kale katabia ka mtetea kujiona babu kubwa kisa kana taga yai, sasa ni wakati wa kukakumbusha kwamba yai lisilo na jogoo haliwezi kutotoleshwa kifaranga hata likae kwenye "incubator" siku mia elfu...
0 Reactions
7 Replies
820 Views
Kwanza ziwe za kuchekesha Pili ziwe za kutisha Tatu ziwe za maajabu Nne ziwe na mkono wa kufa mtu Kusiwe na huzuni kwenye muvi hiyo Na pia kama katuni pia napendelea Naombeni tafadhali NA PICHA...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuishi na boss wa kiafrica kwa amani inatakiwa uwe muigizaji mzuri wa maisha na kuzijua mbinu za kuishi nae [emoji28] 1: Hakikisha usitumie simu zaidi ya Elfu 50 2: Hakikisha huna suruali zaidi...
6 Reactions
9 Replies
3K Views
Tunaelekea kuumaliza 2021 na kuingia mwaka mpya 2022, ni matukio mengi sana yametokea mwaka huu mazuri na mabaya, na mengine yameacha alama maishani mwako. Je, ni mambo gani utaendelea...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Ni muda mrefu nimekuwa nikifuatilia baadhi ya majina ya humu ndani. Kusema ukweli Kuna baadhi yanafikilisha Sana na wkt mwingine hata kabla ya kusoma Ni nini mhusika kapost utabaki unacheka au...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Amna aja ya kusalimiana tutasalimiana ata kuzimu . Nianze na msala ulio nikuta. Nilikuwa natoka kwenye mishe zangu za mihangaiko nikapita kwenye kahoteli kamoja ambako nimekazoea niweze kuweka...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…