Ishu haziendi kabisa ajira hakuna biashara nayo, ni ngumu kote mapenzi ndo kabisa bila ya kuwa na pesa hupati kitu siamini Kama mpaka house girl wa jirani amenikataa.
Hali sio nzuri kabisa...
Naomba nitoe wazo kwa pande pindi mbili za uwabata(umoja wa wanaume bahili tanzania na uwabake(umoja wa wanaume wabahili kenya).
Katika kukuza ushirikiano baina ya hizi asasi mbili ambazo...
Wadau haya maisha si wakati wote mtu unachora kumi na moja au matuta usoni. Utazeeka au kufa kwa sononi bure. Hebu hapa tuwasaidie wale wanaotaka kujiua angalau wafurahi waahirishe.
Kuna jamaa...
Kwa umoja wetu natoa mapendekezo ya kuundwa kwa serikali ya watu wa JamiiForums (JF)
HATUA:
-Kufanya uchaguzi wa rais wetu pamoja na mkaimu
-Kisha raisi kwa mamlaka tutayompa atamchagua waziri...
Ukiona umekorofishana na mpenzi wako na ukajaribu kujiexplain halafu akakujibu NIPO SAWA TUU... My brother hapo jua unatakiwa ufanye kazi ya ziada kumfanya aelewe maelezo yako, usije sema hukuambiwa.
Nipo kwenye gari hapa nimeshangaa kumwona jamaa dume na mindevu yake ana App ya Snapchat kwenye simu yake
Bila shaka anaitumia hii app,binafsi naona hii App imekaa kutumika tumika na Wanawake...
Wanasayansi wa anga kutoka Tanzania wanatarajia kurusha chombo kinachoitwa HAPA KAZI TU SPACE ROCKET kwenda mwezini kikiwa na Mtanzania mmoja kwenda kufanya uchunguzi na kutembelea mwezi mnamo...
Wife ananidai laki 7.
Take home yangu haifiki hiyo laki 7. Si mnajua jinsi bank wanavyokaba mpaka penalty. Hawana cha kuruka mwezi, wao kila mwezi wanachukua chao mapema.
Mkiuona mwezi...
Happy father's day to my father na baba wote wanaotambua majukumu yao na hata waliopitiwa kwa namna moja ama nyingine katika kufanya majukumu yao
Uwepo wenu ni muhimu sana katika maisha yetu...
muhali gani wana jamvi,
Nimekutana na changamoto ambayo sikupanga kupitia katika maisha...
nikiwa nimetengana na mke wangu kwa mda kama wa mwezi hivi kwa sababu za kiuna ndoa ndipo nikakutana na...
Straight to the topic,
Juzi kati kuna hela nilikua natarajia iingie kwenye acount yangu sasa nikawa nimeangalia sana salio ile siku kama mara 8 hivi ila hela ikawa haijaingia, nikaona isiwe kesi...
I met with this guy on 2017-2018
Nakukumbuka Festo...nisamehe kukufungulia uzi....
Wasalimie Mpwapwa🥰!
I hope to meet again....
Wasalaam !
Mzee wa Legacy