JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
1. Lala nae (muhimu kuliko yote) 2. Mlishe ashibe 3. Muheshimu 4. Mwache awe na amani 5. Usimuingilie katika mambo yake. Ni ajabu sana wanawake hawawezi kuyafanya haya matano kwa waume zao, ni...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hasira Hasara! Mmiliki wa kampuni moja kubwa aliamua kutembelea site ili aone kazi zinavyoenda, akakuta Kijana mmoja amesimama huku wenzake wanapiga kazi. Akamwambia, "Wee Kijana, mimi sijaajiri...
6 Reactions
5 Replies
1K Views
habari za jioni. samahani kama nawasumbua. nilikuwa namuulizia jamaa anaitwa Ushimen kama yupo humu. shida yangu ni kumsalimia tuu. sisi watanzania tumefunzwa utamaduni wa kujuliana hali hata...
7 Reactions
46 Replies
3K Views
Hivi kuna baridi gani kwa sasa Mkoa wa Dar es Salaam hii hadi Dume zima kila mara tena likiwa limejikunyata Chumbani linamuomba Mkewe amchemshie Maji ya Moto akaoge? Kuna Wanaume wengine ni Mayai...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Usiku wa jana nilikuwa na furaha isiyo kifani. Jambo hili limeniumiza kichwa kwa muda mrefu hatimaye kwa kudra za Mwenyezi Mungu, usiku wa jana nimeweza kulisolve. Sasa wanufaika wote wa mradi...
2 Reactions
5 Replies
745 Views
Habari wanajamvi. Jana ilikuwa ni siku ya furaha kwangu ingawa ilikuwa siku ya huzuni kwa Pr. Muhongo. Mimi ni mfuatiliaji nzuri sana wa JF kwa muda mrefu ingawa sikuwa member, nilifuatilia...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Hello Dears, I would like to address that. Love is a complex chemical compound ova. Love is the combination of three complex chemical compounds Dopamine, Serotonin and Oxytocin C8H11NO2 +...
1 Reactions
5 Replies
718 Views
Ile time kuna PISI kali ,au ka gentle fulani unakaelewa vilivyo unatafuta timing ukajimbwae mbwae Unamuelewa kiasi kwamba unajiweka tofauti na kawaida ili hata asikuchukulie kawaida Binafsi Enzi...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Jamaa kaenda kwa mke wa rafiki yake: JAMAA: Shem nakupenda! MKE: Hebu toka hapa! Je rafiki yako akijua? Tena koma! JAMAA: Ntakupa milioni 1! MKE: Basi njoo kesho mchana mume wangu akiwa kazini...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Me Baadhi iliyonipa Utata hii .............. [emoji117]Jamani Nimekaa vibaya ntakupa....[emoji1787] [emoji117]Subilia nakupa...... [emoji117]Atakupa yulee NYUMA[emoji85][emoji848]...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Wakuu habari. Nimejkuta natamani kupata hili swali kwa majibu kuptia humu ndani kwa wataalamu Jf. Hatuangalii Mali na utajiri wao Bali kipaji alichonacho mmoja wao.
1 Reactions
18 Replies
7K Views
Kwakuwa ID yangu inasadiki maisha yangu ambayo nimeamua kuyaonyesha JF. Nadhan, Na kwa msaada wa wadau wengine ambao wanaweza kutoa matukio yao yaliyowatokea/yanayotokea bar hasa yanayohusiana na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
sisi wakazi wa gomzi kwenda baharini ni safari ndefu hadi unafika kiu imekata. nauliza kwa maeneo ya mbezi, buguruni,tabata,majumba sita, mfugale na kisarawe sehemu nzuri za burudani kwa watoto...
0 Reactions
32 Replies
9K Views
Kuna style moja nimewahi kusikia eti mtu anataka akamatwe anajipaka mavi binadamu wanaogopa kumkamata.hivi tukio kama hilo nilakawaida au mhusika anakuwa Ana matatizo ya akili?
2 Reactions
4 Replies
669 Views
Nimejaribu kutafakari kwa upana na maunga yake nikagundua yanaumiza mno. Ohooo nilisahau kuwasalimu.Habari zenu.
23 Reactions
283 Replies
12K Views
Siku hizi tukipata watoto tu cha kwanza ni IG account,bank account atajijua mwenyew.Likes za ndugu zetu zitawasomesha nadhani. Halaf account ya mtoto inapost I LOVE YOU DAD-unacoment I LOVE YOU...
8 Reactions
13 Replies
2K Views
Aliye niblue tick WhatsApp akani mute hadi status, akaweka dislike kwenye bio. Yuko wapi sasa? Hakunijibu sms nilivyo mu DM instagram wala nilivyo mu PM kwenye social network zingine. Yuko wapi...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Unenda zako mahali, umenyuka pamba zako freshi halafu namna gani vipi umebugi step, umeruka kojo ukakanya nnya 😂😂
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu? Lodge ipi mzuri, Bunju au maeneo ya karibu.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Sasa hivi kila mtu JF ni mbabe, analeta fiction stories, anaandika anachojisikia kwa sababu asilimia kuwa ya members tunatumia fake IDs. Nawaza ile mara ghafla kila member analog in anakuta...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…