JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Leo nimepita Pale Muhimbili Wanapouza Majeneza Kuna Mmoja Nikasikia Anasema Urefu wa Marehemu Unafanana na Huyo Jamaa anayepita. Dah! [emoji57][emoji57][emoji57][emoji19][emoji19][emoji21][emoji21]
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Shakira alimnunulia mtoto wake wa miaka 6 hivi kigari cha kuchezea chenye muundo wa basi. Siku moja wakati Shakira yupo jikoni mwanae alikuwa sebuleni anachezea kile kigari. Shakira akawa...
6 Reactions
17 Replies
3K Views
Wanajukwaa. Heri ya mwaka mpya! Poleni na pilika za hapa na pale. Uzi huu maalum iwe kwa kuwakumbuka memba wa JF ambao kwa sasa hatuwaoni wakitoa michango yao humu. Iwe ametutoka kiroho au...
7 Reactions
931 Replies
60K Views
Hayati Magufuli nadhani ndiye alikuwa Rais mwenye nicknames nyingi kati ya Marais waliopita Baadhi ni Jiwe,chuma,malaika,meko,kayafa.......una mengineyo Je mama ategemee majina yapi? NB...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
WANAUME wengi sana imetutokea ama kwa kukusudia ama kwa kutokukusudia kutokana na machungu unajikuta unaandika tu KWA HIYO HUJI?
10 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari. Bila shaka mmeamka vyema. Nanena na wanaume wenzangu pamoja na vijana wa KIUME. Kuna ka tabia ka kike kike kanaendelea huko kunako simu na mitandao ya kijamii. Ka tabia haka ni kutumia...
10 Reactions
96 Replies
10K Views
Hivi wewe ni jukwaa gani humu JF hujawaihi kuingia tangu uzaliwe yaani ukiliona unaliogopa sana au hupendezwi nalo. Mimi mwenzenu Jukwaa la Lugha na Siasa
0 Reactions
59 Replies
7K Views
Embu fikiria kama viungo vyetu mwilini vingekuwa vinafungwa kwa nati au screw[emoji3] Sasa siku moja ukaenda kuoga tena ukafungua na machine(kirungu) ili uisafishe vizuri afu mara paah nati...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Hakuna namna.
6 Reactions
57 Replies
6K Views
Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke, mkewe akakataa. Akamwambia baba yake akaambiwa na babaake tulia mwanangu ndoa zina mengi. Akawa kila siku...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kanuni huwa ni moja tu Ukiondoka kikaoni wenzio wakabaki, wewe ndio utaanza kusengenywa/kujadiliwa na waliobaki. Salama yako ni kuwa unapoondoka, ondoka na wenzio na kikao kifungwe au EPUKA na...
0 Reactions
8 Replies
775 Views
I am very thankful and grateful to the Almighty for granting me yet another year. I pray for an abundance of grace in my world. Tho dirisha la kupokea zawadi lipo...
15 Reactions
87 Replies
4K Views
Nadhani mada inaeleweka. Mazungumzo yanaendelea kwa wiki kadhaa sasa, tangu yaanze. Nadhani ni busara kuweka mipango juu ya vitu vitarajiavyo. Ni matumaini ya Watanzania wengi (kama...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Mwanaume wa shoka ni mvumilivu na asiyekata tamaa. Mambo yakiwa magumu anaweza kupigana na maisha, akiwa na pair moja ya viatu, suruali pair mbili. Anatoka asubuhi iwe jua iwe mvua anahakikisha...
11 Reactions
21 Replies
3K Views
Salute, Imepita miezi tano na siku 16 tokea mke wangu ajifungue. Alijifungua 07/01/2019, siku ya jumatatu, tunajua mwanamke akishajifungua basi kuona siku zake za hedhi ni adimu sana. Leo...
1 Reactions
92 Replies
13K Views
Eti haka ka app mnakowekewa na wapenzi wenu mkikagundua vipi mnaendelea na penzi?
0 Reactions
13 Replies
862 Views
Sio kila wahenga wanakuaga na maneno ya ukweli ...wahenga wengine ni waongo tu kwa mfano aliyesema "MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI" sasa mtu ushamnyonga amekufa hiyo haki yake unampaje...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Haya mambo haya ya kusema korosho ni fitina za mabeberu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimejikuta nacheka tu wakati nacheki huo mjadala ikaja korosho moja ina kichwa cha...
12 Reactions
42 Replies
6K Views
Jamani nataka kujua km kunaviazi vinazaliwa juu ya miti, kunamchaga mmoja katupiga fix, harafu kakomaa kweli!
3 Reactions
146 Replies
35K Views
Hapo zamani za kale mapenzi Yalikuwa na upofu, Ila Sasa hivi yametibiwa Yanaona pesa na matako tuu. Ule msemo wa mapenzi upofu ..ukipenda huoni ushapitwa na wakati.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…