Leo nilikua mjini katika pitapita nikakutana na jamaa anayepromote zao la vanila kwa kuwa Mimi nilikua sijawah kusikia kabisa habari za biashara za kilimo cha zao vanila Basi akili ikanipelekea...
Chagua siku ambazo ulikuwa unazipenda ulipokuwa shule
1. Mwalimu wa math ameenda kujifungua au anaumwa
2. Mmetembelea shule nyingine
3. Kuna wageni kutoka shule nyingine
4. Kuna mashindano ya...
Utafiti unaonyesha kuwa panya buku ndie kiumbe kinacho furaia tendo la kujamiiana kuliko viumbe vyote duniani,,
Panya buku dume hutafuta maficho ambayo hakuna kelele wala vurugu ya aina yoyote...
Kila mtu anapambana na hakuna anayelala njaa Leo tujuane kwa kazi zetu zinazotuweka mjini.tuambie unapopatia posho
Nikianza Na Mimi mwenyewe Ni mfanyabiashara wa grocery yaani Ni pamoto balaa...
WanaJf habari za Leo unajua enzi utoto wengi tumepitia katika maisha tofauti tofauti ebu wale tulikuwa wadokozi tukumbushane hapa unakumbuka nini na uliwahi kukamatwa na kupewa adhabu?
Habari ya asubuhi JF Family.
Mnaendeleaje leo ninafuraha sana jmn kha!sio kwamba nimeongeza mwaka mpya tu..hapana ni kwa sababu nimeongeza mwaka mwingine nikiwa na afya njema na uzima pia.🙏Mungu...
Chama chetu cha wanaume wabahili Tanzania ( chawawa)
Kinapenda kuwatangazia wanachama wake kuwa
Kesho kwetu sisi hakuna kitu kinachoitwa Valentine day .
Bali tutashinda tukiabudu kanisani na...
Nmewaza sana asubuh hii...
Hiv unajua sis wanaume ni watu wabaya sana.
Tuka ya legalize kabisa yan..dah
Uzi imeandikwa baada ya kupishana na Aliyekuwa Miss Tz mwaka flan hapa kwenye mataa ya St...
Tuanze na Samatta. Ni vile tu jamaa anahangaikia maisha. Zaidi anawakilisha nchi ndo maana tumeamua kukausha. Lakini ukweli jamaa ana miaka 34 na ushee. Waliocheza naye utotoni chandimu, hivi sasa...
Habari wadau? Husikeni na kichwa cha thread apo juu. Tuliomo humu wengi wetu au baadhi yetu hatukuwa kabisa na mpango wa kujiunga rasmi na JF ijapokuwa tulikuwa hatuifahamu au tunaifahamu na...
Siku moja kuna preacher mmoja alikuwa anatupatia vitu vitamu vitamu kama mnawavyojua hao jamaa hawakosagi vitu;
Dah! Niliguswa pale aliposema;
Mtu alikuuliza una miaka mingapi usimwambie miaka...
Tarehe hii inasomeka sawa kutoka kotekote, yaani kutoka kulia kwenda kushoto, na kutoka kushoto kwenda kulia. Huwa ni adimu sana kwa tarehe za namna hii kujitokeza
Happy valentine watu wote. Ile itikadi ya kuwapelekea maua pekee bila zawadi imepitwa na wakati. Wanawake wa Tanzania kitu pekee kinachowafaa ni hela, Maua hayatatui shida zao
Nina uzoefu wa miaka takribani Mitano ya Kufanya kazi na wanawake, asilimia kubwa ya kazi zangu ni kazi za site!
Kwa kawaida kazi za site hasa za ujenzi zinahitaji motisha, kupush kwa nguvu na...
Mimi Hazard CFC nikiwa na akili zangu timamu bila kulazimishwa na yoyote bila kua na hangover natangaza rasmi kupumzika kunywa pombe za wingi(za bar na makapani yakishenzi) mpaka pale nitakapo...
Mi nawazimikia sana wanawake kutoka South Afrika wana shepu flani hivi za kibantu, miguu imejaa jaa na Rangi Amaizing ya kung'aaa,
Na wish watakuwa wako vizuri sana kwa bed, watakuwa na papuchi...