JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ona jamaa anavyoibiwa dah ni hatari
1 Reactions
5 Replies
1K Views
NAKUJA IVI Kipofu alikua na mke, kiziwi akawa anatembea nae, kwa bahati bubu akafaham sasa atafafanyaje aweze kumwambia kipofu?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi kwa nn siku hizi tukienda disco haipigwagi blues? Ukute ulienda peke yako bila mupenzi halafu muda wa blues ufike [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaona mtu anazunguka kona...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakati nipo mdogo mzee wangu aliniachia atlas. ilikuwa ya kiswahili na picha nzuri sana. Basi nikiisoma nilikuwa najenga picha hiyo sehemu ikoje napata raha sana. Kuna haya majina yalikuwa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Mimi binafsi mataulo makubwa nimeacha tumia miaka ya adolf hitler nikiwa form 2 Nakumbuka ilipiga mvua kubwa mno nikachelewa kushuka bwenini nikakuta mzigo umetupwa kitandani kwangu akati nilikua...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Huwa mm binafsi ubinafsi sipendi Tabia ya kusifia viongozi fulani ati yy Kaleta maendeleo huwa sipendi kamwe Hawa wanaosifia bado wanakosa kujua Maendeleo au utajiri si vya mtu mmoja Kumbuka...
1 Reactions
1 Replies
407 Views
Oooraah inakua nigani Machaliganse na Ma'mamiloonse humu ndichi..?!I hope mko Yechu.. Okay here we go, Ngoja nidane chapcheree kwenye Mada,,Kuna siku bhana tukiwa zetu JKT baada ya kumaliza...
7 Reactions
44 Replies
4K Views
1-Binadamu amejaliwa uwezo wa kulala kifudifudi tofauti na wanyama wengine. 2-Tembo hawezi kuruka hata hatua moja. 3-kuna Baadhi ya wanyama wanaweza kusinzia huku wamesimama Kama vile Ng'ombe...
0 Reactions
2 Replies
440 Views
Kama una kitu ambacho hauna matumizi nacho na unajisikia kumpa mtu mwenye uhitaji nacho tukutane hapa, kutoa ni moyo siyo utajiri
6 Reactions
42 Replies
3K Views
Hivi kwanin wanawake sio waelewa.. Embu cheki huu mkasa umetokea asubuhi hapa nyumabani kwangu.. Mke wangu alitoka kaenda sokoni kamuacha mtoto kitandan na mim tukiwa bado tumelala.. Mara mtoto...
28 Reactions
38 Replies
6K Views
Kuna mpangaji wangu ni kama anaboa sana. Kila akiingia bafuni utasiki 'pyeee…'. akipenga kamasi lake. Na sijui huwa analipaka wapi huko bafuni. Kuna ulazima wowote wa kupenga kamasi kina unapooga ?
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Tukiwa wadogo tulitembelewa na binamu yetu kutoka kijijini. Tulimpokea vizuri na kwasababu tulikuwa rika moja tukalala pamoja. Usiku ule tulikula chips na nyama za kukaangwa. Ndugu yangu yule...
0 Reactions
7 Replies
798 Views
Hii imekaaje wataalam! Jana nilitengeneza kitoweo cha ugali na nyama kilo moja na robo! Kabla ya kuanza kula nilipima uzito wangu ikasomeka Nina Kilo 79! Nikaandaa nyama fresh na ka-ugali...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea hebu mtaje X wako kwa jina moja tuu ambae hadi leo bado unampenda Mimi upande wangu kipenzi changu mtoto Kissa wa pale Mbezi kwa makabe umeniacha mwaka tano...
2 Reactions
77 Replies
5K Views
1.UWAJIBIKAJI (a)mwanaume [ √√√ ] (b)mwanamke [ ] 2. UADILIFU (a)mwanaume [ √√√ ] (b)mwanamke [ ] 3.UAMINIFU (a)mwanaume [ √√√ ] (b)mwanamke [ ] 4. UJASIRI (a)mwanaume [ √√√ ] (b)mwanamke [ ]...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Wakuu, nilikuwa nawaza sana watoto wangu niwaite majina gani, nashukuru kupitia JF nimeshachambua majina kati ya majina ya members humu ambayo nitawapatia watoto wangu. Mtoto wa kwanza ataitwa...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Wandugu, uzalendo sio kuvaa bendera wala kupiga piga makelele, uzalendo ni kumuua Tunisia na kumbetia taifa stars [emoji3][emoji3]
1 Reactions
2 Replies
655 Views
Wadau wikiendi mnaanzia wapi
0 Reactions
0 Replies
210 Views
Wajuzi wapenzi tupeni uzoefu wenu.Je Wanawake wanataka nini?? Uzi tayari
2 Reactions
48 Replies
4K Views
Nani humu ndani hagusiki na anaogopeka kila akitoa comment yake ni ya nguvu haina mjadala.au tuseme kauli yake moja tu inatosha haihitaji ubishi Kwangu me Ni The boss huyu humzoei zoei kinyanga.
7 Reactions
65 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…