JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Pesa kidogo tu umeanza kusema tecno siyo simu ila ni kitunza laini.. [emoji23]
33 Reactions
357 Replies
29K Views
Juzi kati nimetulia bar moja kwa Morombo, sasa kuna jomba mmoja alikua anakunywa K-Vant kumbe jamaa kichwa panzi! Akaanza kumzingua bar maid Mara, arushe matusi. Sasa kuna majomba yalikua yamekaa...
1 Reactions
7 Replies
447 Views
VPN bana πŸ™ŒπŸΎπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimetoka Hokkaido-Japan kwa sasa nipo Yeongam Gurim Village, South Korea πŸ‡°πŸ‡·!!! πŸ“’
46 Reactions
208 Replies
24K Views
Wakuu amkeniiii, mtandao wameachia. wastue Wana na Wana wawastue Wana. mwendo wa kuchati na kupigaa pesaa au kwa wale wa jagd plaza wanasema kudownload pesa hahahaa. Unashangaa nini uzi tayari.
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Ni swali makini Ili tukishajua tupeleke kampeni za kutumia salama(kinga).na wataamu wa afya kuangazia.asante
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu, Habari za muda huu......, nyie wapenda shikamoo hamlambi shikamoo yangu hata kwa dawa... Nisikuchosheni, Kuna kitu kidogo tu napenda tujadili kidogo... hivi wewe umeshawahi kukutana na...
7 Reactions
70 Replies
6K Views
Okay, sijui kama ishawahi kuwa posted humu au la, ila tufanye kama haijawahi kuwa posted tukumbushane tu. Najua hapo uko na smart yako moja amazing sio? 😁😁 haya basi fresh, sasa waheshimiwa hivyo...
0 Reactions
2 Replies
555 Views
Jambazi "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu", wote wakalala chini HII INAITWA DHANA ...YA USHAWISHI - kubadilisha njia ya kawaida ya kufikiria. β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’ Kuna...
14 Reactions
13 Replies
2K Views
Trump and Biden are in a plane Trump: What if I drop 1 hundred dollar bill and make one person happy? Biden: What if I drop 10 ten dollar bills and make ten people happy? The pilot: What if I...
5 Reactions
3 Replies
1K Views
Waasisi wa vitu mbalimbali - jokes
7 Reactions
70 Replies
11K Views
The military is cutting staff and decide to get rid of three generals. One from the Army, the Airforce, and the Marines. All of them are old, grizzled men who had seen their fair share of war, so...
0 Reactions
2 Replies
547 Views
Habar jf Kama mwenyeji wa musoma ,mkoa wa Mara.Tuwekee hapa maeneo ambayo Mgeni akija haitakiwi ayakose kuyatembelea!! Sehem za starehe (club,bars,pub na night club) Sehem Kali za...
0 Reactions
111 Replies
9K Views
HAPA BUSARA INAHITAJIKA Mwanamke kaazima ndoo ya mpangaji mwenzake chumba cha pili ambaye ni kijana hajaoa. Alipomaliza kuoga akajifunga khanga yake moja akatoka bafuni akairudisha ndoo...
0 Reactions
3 Replies
514 Views
ripoti hizi usipuuze we riz 1
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa kweli sijui kama ni Mzee kweli lakini hapa JF ni mtu ambaye amekuwa akitupa mchanganuo mzuri kuhusu masuala ya siasa.Uchambuzi wake kama kawaida kuna wakati ulikuwa unakera watu na kuna wakati...
1 Reactions
8 Replies
868 Views
Kwa wazoefu nahitaji msaada wenu
0 Reactions
8 Replies
4K Views
1. Uko unatembea zako au unafanya jogging ukapishana na mtu anafanya mazoezi ila hiyo harufu ya jasho inayotoka unayokutana nayo wakati mnapishana!...sijui kuna ambao hawafui nguo baada ya mazoezi...
3 Reactions
5 Replies
896 Views
Leo Ni Sikukuu Ya Wachagga Duniani(World's Chagga Day), Ni Siku Kubwa Iliyokuwa Inaadhimishwa Kila Mwaka Siku Ya Novemba 10, Miaka Ya Kabla Ya Uhuru wa Tanganyika na Miaka Michache Baada ya Uhuru...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii ndio thread ya mwisho baada ya kuhangaika mchana mzima kwenye thread tofauti, humu ndiyo pakumalizia na kuagana. Sina jipya wala la ziada, ninavyomaliza andika hi thread mjue kuonana kesho...
16 Reactions
434 Replies
22K Views
Jamaa alikuwa mteja wa kitimoto eneo flani wakati dini yake hairuhusu. Siku ya siku akachukua baby wake mpya akaamua kumpeleka ili apate kitimoto, baby mpya akijua hapo walipokwenda jamaa hakuna...
2 Reactions
11 Replies
810 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…