Wana JF habari za leo, nimeona nizungumze hili swala kwa wote wanaonzisha nyuzi humu JF. Unapoanzisha uzi unategemea member wengine wafurahi, wajifunze na zaidi wachangie kwenye uzi wako. Shida ni...
Punguza marafiki ambao ukiwaambia unataka kufanya kitu wanakujibu "utawezaaa?" Punguzaaaa!
Punguza marafiki ambao kutwa wanataka mchafue meza bar. Punguzaaaa!
Punguza marafiki ambao umeongea nao...
Habari wananchi wenzangu, najua kipindi hiki watanzania wengi kama sio wote wamesafiri wapo nje ya nchi yao ... sasa ombi langu Mimi naomba kila mtu ataje yupo nchi gani na maisha yapoje huko...
Neno "SHOW TIME" litawapeleka wengi mbali na pepo . Kama wewe ni mdau wa neno hili jipange maana mbingu haikuhusu.
Pia kama una maana nyingine ya neno "Tigo" tofauti na ile ya mtandao wa simu...
Ni kwanini Mzungu akiona anataka 'Kujamba' hasa mkiwa katika Kikao katika hali ya 'Kiustaarabu' kabisa ataomba 'ruhusa' ya kutoka nje ili 'asiwakere' lakini kwa Mwafrika ( hasa hasa Mswahili )...
Hi guys..
Kuna wasanii wana bahati sana wao kila nyimbo wakiimba ni hit, au wakiimba inakua nzuri sana.
Mimi wangu ni hawa..
Runtown
G nako (akishilikishwa)
Jux
Celine Dion
Enrique Iglesias
Sia...
Tumia huu uzi wa kumaindi masuala uliyoshindwa kumaindi kwenye group lenu la whatsapp la familia. Upo free kumlaumu hata shangazi humu na hatutakujaji....
Binafsi namlaumu sana mzee kwa kutaka...
Ukikaa na watu wanaoamini uchawi na kupiga stori za uchawi huwa Kuna mambo ya kushangaza Sana.
1. Mmoja anasimulia eti Kuna mzee alikamatwa na radi ameiweka kwenye mfuko wa salfeti. polisi...
Namba moja michepuko-hao ni balaa!
Namba mbili mama chanja(mamsap)
Namba tatu ndugu na jamaa!
Namba nne, kanisani/msikitini!
Namba tano michango ya jamii-ulinzi shirikish, gari la taka n.k.
Namba...
Watu wengi wanaoendesha magari aina ya Alteza ama Subatu wana matatizo, ni watu wanaopenda kusikika ama kujulikana kama wapo, watu wanaopemda kutambulika uwepo wao, kwa kitaalamu tunaita...
Habar zenu wakuu.
Leo nmeshangaa sana, mida ya sa11 jioni nilipokea simu kutoka kwa mwanamke nisiemjua, alijieleza vizuri nikamkumbuka vizuri kua ni alienisajilia lain week moja nyuma.
Tuliongea...
heshima kwenu.
kwa wale tusiotumia majina yetu halisi kwenye hili jukwaa naomba tutumie huu uzi kuandika majina ya shule zetu za msingi na miaka tuliosoma kwenye hizo shule ili tuweze...
Kwanza nimeingia tu ndani nimemuona amenyoa kama bodaboda wale wanao sikiliza singeli..[emoji3525][emoji3525]
Alikuwa amekaa sembleni anasikiliza nyimbo inamba maneno ya ajabu kabisa, sijui...