Siku za hivi karibuni yameibuka matukio makubwa ya kibaguzi duniani ikiwemo lile la kuuawa Mmarekani mweusi George Floyd.
George Floyd alikufa kwa kukosa hewa alipobanwa shingoni na mapolisi...
Wakuu kuna uzi jinsi gani ulianza kuishi ghetto humu. Umenivutia nimeona nichukue room nione maisha yakoje ombi langu kama kuna dalali pande za Ubungo, Kimara na Mwenge anisaidie nipate chumba...
Wakuu habarini za asubuhi, kwema mko poa. Leo niko mkoani Mbeya kata ya Madibira kuna sehemu panaitwa chalisuka nimekuja kutembea nikaribisheni jamani niko huku jamani leo nimekuja kutembea one...
Hili game la wanasiasa ni kama kamchezo fulani cha kuumia roho tu. wao wapo kwenye movie sisi mashabiki tunaumia huku.mwisho wa siku utaweza kuchangachikiwa maisha yenyewe mafupi haya Hadi weekend...
Heshima kwenu wanajukwaa,
Jana, wakati tunakumbuka tukio la kigaidi la kule nchini Marekani nikajikuta naingia katika vitabu vya historia kwa namna yake.
1. Nilikua na trade FX, nikajikuta...
Watanzania wengi sana wanaumwa huu mwezi nadhani ni kwa sababu ya hali ya hewa.hakuna mwanafamilia ambaye hajashikwa na mafua, kikohozi, bawasili, UTI, Tumbo, homa, kuongea mwenyewe barabarani...
Check this;
So Last week nlkuwa club fulani hapa town
Sasa nlkuwa na masela zangu tunakula good times and whatnot,
Sasa kama kawa madem wengi walkuwa ni malaya ila kwenye mishale ya saa 9 ivi...
Wasalaam wanajf ,nikitambo kidogo kimepita bila ya kuwemo humu basi natumai mu wazima wote.
Leo nikiwa mjini bana kuna katukio kamenifurahisha na kuniacha mdomo wazi kwa kweli.
Nimewakuta vijana...
Dah!Ni muda sasa tangu nikiwa shule mpaka sasa.
Kwa wakati ule nilipata memories nyingi za kukumbuka kwasababu nilikuwa nasoma mixture school.
Nakumbuka moja ya faida niliyopata kusoma mixture...
Wakuu, mimi huwa napotezewa muda na kuchagua mlio wa sauti pindi ninunuapo simu mpya. Kiukweli napotezaga muda kuchagua
Wewe nini kinakupotezeaga muda?
Tanzania kuna majiji mengi ikiwemo Dar Es Salaam kinara wao.
Jinsi.
Ukiachana na Dar sehemu mahali kwingine huitwa Mikoani
Mfano: Tabora, Shinyanga, Singida, Mara.
Hapa kuna utani juu ya maisha...
Leo mbona JF imetulia sana yaani toka asubuhi sijaona thread mpya na wala sioni comments kwenye thread nilizosubscribe...
Kumbe kuna maisha nje Ya JF.
Kuna watu wanasolve Kesi za ndoa..
Wengine...
Huyu mzee amejitahidi kutoa somo kwa CCM juu ya kuwatumia wanafunzi kuongeza vichwa kwenye mikutano ya kampeni za uchaguzi mkuu.
Sasa kama wale wenye ma-PhD wanashindwa kuelewa hiyo sheria...
Kuna jamaa alitoka Arusha kwenda nairobi na gari yake. Sasa akawa amepark sehemu ili akaulizie hoteli na aliporudi akakuta gari haipo!
Katika kuchanganyikiwa jamaa akampigia simu rafiki yake wa...