JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari wana JF natumain my wazima na buheri wa afya NJEMA Leo nataka nikupe hii 1.ulisha wahi kuingilia kitu hakikuhusu kikakurudia ukaonekana wew ndo una makosa? 2.kuitika huku hujaitwa we we...
0 Reactions
4 Replies
967 Views
Kichwa kimeanza choka, ebu niwaze Taifa... 1. Taifa ambalo binti zake wakimwona Mzungu wanadhani ana hela. 2. Taifa ambalo ukiongea kiingereza unaonekana umesoma. 3. Taifa ambalo bank...
7 Reactions
55 Replies
10K Views
natumai hamjambo wajumbe. wakuu kila mmoja wetu ataje mitaa 5 ambayo humpotezea mda mwingi kuitembelea awapo hapa mjini jamii forums. ifuatayo ndo list ya mitaa 5 nayoitembelea zaidi kwa upande...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Hapa DSM usiku huu kuna kamvua kanipiga mixer baridi. Aisee tusio kuwa na wapenzi, tukumbatie mito tulale.
1 Reactions
15 Replies
956 Views
Habari ya long weekeend wadau Naulisa hiviiii. Bangi ina madhara gani? I wish siku moja niijaribu walau pafu kadhaa. Pia nasikia haiumizi mapafu kama sigara.... Asante kwa mchango wako...
4 Reactions
166 Replies
13K Views
Kwa kweli Pombe ina ka-vibe kake fulani hasa ukiwa na washikaji au Mbebezi wako halafu mkatoka na usiwe na pesa ya mawazo. Yaani piga kilaji, piga nyama, huku ukiwa na uhakika wa usafiri wa...
10 Reactions
104 Replies
10K Views
Ni vizuri kama marafiki tuwe tunakaribishana katika kupata chai,mlo wa mchana,mlo wa jioni na mlo wa usiku.Tunaamini mada zingine huwa zinakuja baada ya kushiba....Mwana jf popote pale ulipo...
1 Reactions
48 Replies
4K Views
Jamaa kaamka asubuhi kavaa track suit akamuamsha mkewe MUME:Amka twende jogging mke wangu? MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mi tipwatipwa? MUME: Hapana si hivyo jogging ni nzuri kwa afya. MKE...
29 Reactions
38 Replies
13K Views
Huwa nashangaa sana, mimi sio handsome kwanza mimi mweusi kama mkaa, sina hela, sijui kuvaa (sio bishoo) yaani muhuni muhuni kimtindo. Lakini wanawake kibao shobo nyingi hawanipingi kivyovyote...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Zamani mpaka ushike japo paja la mwanamke apo umeangaika vya kutosha. Siku izi ata ukiwa na elfu 10 uwakika wa kupata ngono ni mkubwa. Ukitaka kuamini pita ata uzi wa kula tunda kimasihara.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu ndege JOHN 17.nov 2018 TAARIFA YA KUJIUZULU UANACHAMA WANGU Mimi ndugu ndege JOHN niliyekuwa mbunge kupitia CHAPUTA natangaza kujivua vyeo vyote na uanachama wangu.nimefanya nikiwa na akili...
8 Reactions
53 Replies
6K Views
Binti alienda kwa daktari huku analia kwa uchungu!Mazungumzo yao yalikuwa hivi: Dr:Unalia nini? Binti:Nimemtukana boyfriend wangu kwa kumwambia yeye na mbwa mkubwa! Dr:Heeee!Kwa nini...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wandugu, Hamjambo, Leo naomba nimwage hapa hadharani siri yangu moja niliyoificha siku nyingi kuhusu wana JF mbalimbali. Siri hii ni majina ya mkato (nicknames) niliyowapa baadhi ya wanaJF kwa...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Ukitaka kufa ukiwa single we endelea tu kuheshimu mahusiano ya watu, maana Kila unaemuapproach anasema ana mtu wake.
3 Reactions
14 Replies
982 Views
Nilikuwa nimesafiri yapata wiki nne zilizopata. Utaratibu niliojiwekea ni kuhakikisha nafanya usafi wa nguvu katika nyumba yangu kabla sijafiri, ikiwa ni pamoja na kuhakikisha hakuna uchafu wa...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Wana Jf Inakuwaje! Tunafupisha maneno sana. Mfano: Magufuli - Magu BMW- BM Biieemm Manchester united - Manii Manchester city- Citee Bayern munich- Bayan Endelea.....
1 Reactions
15 Replies
963 Views
Hata mie nimebaki kinywa wazzzz kakake rais Uhuru
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa habari zilizotufikia kwa Usiri mkubwa ni kwamba Wajumbe ambao inasemekana sio watu wazuri baada ya kuonesha makali yao kwenye chaguzi mbalimbali. Inasemekana wataingia kusahisha mitihani yote...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani mimi nina swali kwa wanawake, hadi leo sijajua ni kwanini wanawake wengi wanapenda sana kuwa na mahusiano ya kimapenzi na ma deejays hata kama anafahamu ya kuwa yule deejay ana mpenzi wake
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…