JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwanini watu wengi hawatumii majina yao halisi katika mitandao ya kijamii na picha za profile pia sio za kwao?
0 Reactions
6 Replies
523 Views
Wakuu habari zenu Hii kitu uwa inasababishwa na kitu gani Kuna jamaa mmoja kipindi tupo advance Kuna paper moja ya chemistry ilikua ngumu kinoma. :D:D:D:D Kwa walewaliopita level hiyo...
2 Reactions
16 Replies
775 Views
1. Ata uone kitu kimekaa poa niaje hutakiwi kusema," Awww, that's soo cute.Huo ni ushoga mtu wangu. 2. Haufai kusema aya maneno kuonyesha umeshtuka," Gosh, Akaah, ama OMG' 3. Ukiomba kitu hufai...
19 Reactions
187 Replies
21K Views
Nilipokuwa mtoto au mdogo mwishoni mwa miaka ya tisini kaka yangu(binamu) alikuwa hapitwi na dadaz wakali kwa kipindi kile. Ikatokea alimpenda dada mmoja jirani mzuri sana (ila ni marehemu; Mungu...
5 Reactions
123 Replies
30K Views
Hata mie nimebaki kinywa wazzzz
0 Reactions
0 Replies
439 Views
Sydney hii mchana huu. Pole ndugu zangu huko magu land nasikia jana mmepitiwa na katetemeko
1 Reactions
7 Replies
758 Views
Tulipitia mabadiliko katika pesa ya kikokotoo. TRA akawa msiba wa samaki katika koo kwenye biashara zetu. Speaker alivyotaharuki baadaya Zitto kuzuia mkopo wa elimu usije Tanzania. Bunge letu...
1 Reactions
0 Replies
402 Views
Nina milion 1 na laki 3..maelewano yapo ila isizidi milion 1 na laki 4
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Mfano kuna mdada hapa street jirani yetu lakini tukikutana huko town unamwona kwa ndinga tofauti kila weekend hadi inafika time watu wanasema anautumia mwili wake vyema kwa vigogo lakini kisomi...
1 Reactions
2 Replies
558 Views
Wakuu Habari! hapa nipo mbio mbio nataka nimeze dawa za tumbo nitulie tu. Kwa machache tu niseme tu leo Nimepatikana nimelishwa na visivyolika na bila kutegemea kwamba ntakuja kuvila. Inshu ipo...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Fanya utafiti utagundua msichana wa kiafrika akikulia afrika anakuwa wakawaida ila akija ulaya au marekani anakuwa mzuri mno mnoo.
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu zangu na poleni na majukumu, haya tena kwa mara nyingine tena kijana wenu hannibali mkata shombo nipo kuzungumza na Jamii. Sasa bhana kama tunavojua kila siku watu tunapaswa...
0 Reactions
12 Replies
835 Views
Gharama zako za matumizi kwa siku zimekaaje katika kipindi hiki? Mfano chakula, usafiri, matumizi ya simu, vinywaji na kadhalika. Tuchangie mada hii wana jf..
0 Reactions
0 Replies
428 Views
Nimehudhuria misiba kibao ila msiba ukutane na wamama wa Mbeya. Aisee! Unaweza hata kulia na wewe, wanajua sana kuangusha kilio. Utakuta mama ametoka alikotoka anafika karibu na palipo msiba...
27 Reactions
92 Replies
9K Views
Binafsi mm imewahi nitokea kama mara 3 hivi. 1. Mara ya kwanza ni kipindi niko chuo, nimeweka apointment na manzi ameniambia anakuja sa 12, hivyo nichukue chumba, nikaenda lodge fulani hivi...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Yaani tukiwa kitaa marafiki zangu wenyewe ni kunicheka eti we ushakua tafuta girlfriend tena kibaya zaidi wanatumia neno "demu" mwishowe utakuwa lofa. Sa nikajiuliza kwani mapenzi ni kitu...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
-Bei ya chakula kwa mamantilie inaanzia 2000. -Ukienda kwa mafundi simu hasa Kariakoo, bei zao huanzia elfu 30 kwa smartphone. -Boda boda huanzia elfu 2, wao huita ni town ride. -Madalali...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
MKALIMANI NA MUINGEREZA Muingereza:My name is LivingStone Mkalimani:Jina langu ni Jiwe Linaloishi. Muingereza:I was born in New York: Mkalimani:Nilizaliwa katika Kiini Kipya cha Yai...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…