Hatari sana huu mzigo enzi za primary school ndo unatrend yanachukua sehem ya simu mfukoni mnakuta mwana anatembea full loaded
Ebu wale wakongwe tukuje kukumbushana kidogo Wakishua someni comments
Sisi watanzania kunatabia atuwezi kuziacha kabisa .
kama [emoji117] kugeuza Tauro kuwa Dekio , kuweka Fagio nyuma ya mlango [emoji23][emoji23] .
Ongeza na Zako apo chini [emoji116][emoji2][emoji2]
Mliambiwa nini na na hao wapenzi wenu hadi mkakubali na kwenda nyama kwa nyama..
Ulishawishi vipi hadi akakubali?
Na wewe uliyekubali hadi ukaamua ku take risk..ulipigwa sound gani!?.
Hii ni...
Nilidhani Fimbo zangu za Kiserikali / Za Wastani ambazo ni Nne ( 4 ) pekee zingekuwa ni sehemu ya Kumbadilisha Mtoto ila nimegundua ya kwamba hizo ' Bakora ' za Kiserikali hazisaidii kabisa '...
Hapa niseme kitu kimoja hivi humu JF kustaafu mwisho miaka mingapi?
Na kama umeshanza kutizama key board kwa mashaka staafu tu kwa hiari yako, bahati nzuri humu JF mnaruhusiwa kurithisha...
Hapa naweka baadhi, na wewe ni rukhsa kuchangia
Nisaidieni jamani kutatua hili. Hata nguo yake ya ndani pia nisiijue [emoji24][emoji24][emoji24]
Yaani mapenzi ukiyaendekeza unaweza ukakonda...
Weekend hii utakuwa na nani?
Usikubali ipite kama ilivyopita ile nyingine na zile zingine. Siku ikishapita imepita, haijirudii...mfano leo Ijumaa tarehe 5, mwezi wa 6 mwaka 2020 haitajirudia...
Wadau kuna jambo mimi linanishangaza pale tunapoenda kupiga picha pale darajani Manzese tunaonekana washamba na watu kutucheka mbona mkienda nje mnapiga picha kama hizi
Umuofia kwenu!
Niwarejeshe kwenye mada, inaeleweka bila mbwembwe, labda kama ni mimi tu.
Ni pale tukifungua soda kuondoa kizibo, wengi wetu hufanya kupitisha kiganja au kidole ili kufuta...
Nilikuwa najua ni mke wangu tu ila leo katika kupiga piga stori na wadau mbalimbali nao wanasema hivyo hivyo.
Wengine wanasema wake zao hununa na wengine wanasema wanamchukia yule Dada.
Swali...
Mwanaume inabidi awe na ndevu zile zilizo panda hadi huku mashavuni halafu ziwe fupi sio zile zinazokua kwa kidevu tu. Mwanaume hata ukimkiss zile ndevu zikiwa zinachoma choma zinaleta raha fulani...
Wapendwa leo kuna tukio la kuhuzunisha limenitokea. Nilikuwa nimesimama maeneo ya Morocco nikisubiri gari, ghafla nikamuona mama mtu mzima analia kwa sauti kubwa, mda huo huo nilikuwa nimeshika...
Katika maisha yangu nimegundua me, ni bonge moja la perfectionist, tena selfish perfectionist siwezi kufurahia situation kama sina mchango katika hiyo situation, mfano nikifulia navunja mahusiano...