JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hii ni baadhi ya misamiati/maneno ambayo huwezi kuisikia mikoa mingine zaidi ya Lindi na Mtwara, me naanza na hii:- Kudekelela Kunyenga Kunyeng'elesa Mwandu Nchonyo Nang'ongo Ming'oko Kwapwapwasa...
7 Reactions
117 Replies
11K Views
Kibongo bongo inaaminika kua ili uwe mwanaume basi inatakiwa uwe sahbiki wa mchezo wa mpira. Upande wangu kama Me nimejitahidi sana kuangali mpira ila nimeshindwa kabisa. Nina mpenda na...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
By Sangu Joseph Nimejaribu kufanya kautafiti uchwara juu ya kuokota hela na nikauliza watu mara ya mwisho umeokota hela lini na Kwanini sasa ni ngumu kuokota hela. Kila mtu alijibu lake Ila...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
10. moudgulf Huyu ni anafunga top ten. Jembe ana messages 79,098. Reaction score inasoma 440,722. Joined Jan 23, 2017. Big up mkuu. 09. Mmawia Namba tisa wetu huyu. Jembe ana messages 84,543...
7 Reactions
64 Replies
4K Views
Hivi hawa wanaojiita wanasayansi haya madubwana wanayatoa wapi..hivi hata wao wenyewe wataweza kweli..bila kulewa Nimenunua mafuta flan ya kupaka mwilini..sasa nikawa nasoma yaliyomo ndio...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Ramadan Kareem! Naitwa Sam (25) kutokea Mwenge Dsm, Ni Uber driver natafuta gari, hesabu mapatano uwakika kwa mwenye uhitaji anicheki kwa 0716328735
0 Reactions
1 Replies
476 Views
Toka nimejiunga humu ndani nimetokea kumkubari sana, ledada kutokana na misimamo yake, na naweza kusema mimi ni shabiki wake wa kutupwa. Na hauniambii kitu kuhusu ledada wa humu jf, wewe...
2 Reactions
57 Replies
3K Views
0 Reactions
8 Replies
930 Views
Hii shule niliipenda sana nilisoma pale maiaka miwili pale ..nilienjoy kusoma advance mahali pale kwani shule hii ilikuwa na Uhuru wa kutosha..Wengi tulikuwa tunatoroka weekend kucheki mpira pale...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna watu wanaamini walipo si sahihi. Lakini wanajikuta hawana jinsi. Mfano katika masuala ya uraia, kabila, mahusiano, rangi, umbile nk Sasa mfano ungepewa nafasi ya kuchagua UNGECHAGUA nini...
0 Reactions
12 Replies
774 Views
Wengi wao japo siyo wote hunywa sana Gongo na Pombe za Kienyeji ila sasa ni Wiki ya Tatu hii baadhi yao ninaowajua na ninaokuwa nao Maskani mbalimbali hawanywi tena Gongo na Pombe Chafu bali sasa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Niaje wazeiyaaah... Mko Bwaxx... EBANA SAWA : Nimetoka jijini mara moja nimekuja mikoani huku kwa majukum ya kiofisi... Kitu nilicho notice ni kuwa : Nilipoiacha Chalinze tuu, kuanzia pale...
4 Reactions
101 Replies
7K Views
Habari ya muda huu wanajanvi! Kama mada inavyo jieleza hapo juu. Hizi ni njia tatu bora na rahisi za kupunguza kitambi ambazo huitaji kwenda jimu au kukimbia kwenye ukingo wa bahari. NJIA YA...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimewaza na naona ni rahisi kuzuia message yako isiende kabla hujaihariri. Ni rahisi. zima Data kwenye simu yako, kwenye ama mtandao mwingine wwt hakikisha hatuna connection/ hakikisha upo offline.
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Sikuwa najua kumbe huyu mlinzi wa hii Kampuni kubwa ya Ulinzi hapa DSM usiku ana mwalika mwenzie aje alale kibarazani pangu apigwe na AC. Unajua mimi kwenye hii apartment ninayoishi ina vyumba 4...
47 Reactions
71 Replies
8K Views
Nimewakumbuka sana mates wangu tuliosoma jang'ombe pri . Sch mwaka 1988 std I darasa la bi laki na std II darasa la bi Mwanatau ama std IV darasa la Mw . Ahmed fadhil Km mtauona uzi huu...
0 Reactions
10 Replies
881 Views
Nimeona POST ya jamaa mmoja akilalamika kuwa WAZAZI WAKE WALIMFUKUZA NYUMBANI. Daaahh..!!! KANIKUMBUSHA sana SHANGAZI YANGU... Ngoja nimpe TESTIMONY yangu kidogo...... Kifupi mi ni YATIMA tokea...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mjomba wangu Katoka Nairobi week iliyopita, alipimwa akaonekana hana virusi vya corona lakini akaamua ajiweke karantini kwa siku 14 ili kujiridhisha, jana nilipomtembelea ndio nikashuhudia kumbe...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Mfano; Usiku- Mchana Singida-dodoma Ccm - Chadema Moro-Dar Diamond- Alikiba Kushoto -kulia 2pac- big Endelea
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…