Hello wakuu, hope mko poa.
Je kuna member yoyote wa JF ungependa kukutana naye. Kama ndio, Je! ni kwasababu gani?
List yangu + sababu zangu ni hizi hapa;
1/ Kiduku Lilo huyu bepari natamani...
TABIA ZA MWANAUME MWEMBAMBA:
1,Anapenda wanawake vibonge(zawadi ya kudumu)
2,Ana uwezo wa kubuni nakutatua matatzo ya mpnzi wake,pia ni mtu mwenye hisia kal kwenye mapenzi
3,Ana nguvu kubwa...
Ndiyo hivyo yaani. I wish I were a teacher. Si mnaona sasa hii kitonga ya siku thelathini inavyonipita kifala tu yaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
As stipulated by Mchepuko et al., (2019) ""Mapenzi ya siku hizi yapo kama king'amuzi. Usipokilipia uoni kitu. Lakini ukikilipia tu, utapewa Channel mpaka unachanganyikiwa""
Tafuta HELA kwa BIDII...
Habarini wana jF
Huenda hii ika sound crazy kwa baadhi ya watu ila lengo haswa ni kujua je utapenda ufe kifo cha aina gani (sijamaanisha cha mende).
Kwa mfano
Wapo ambao watapenda wafe wakiwa...
Hawa watu wafuatao ni wavaa suruali waliobobea kunako fani hii..
Ni zile suruali zao zinazong'aa kama bati (satini)
Pia huwa wanavalia suruali tumboni...
Lucas Mobutu
CONTROLA
Nyaru-sare...
MENDE: "nimekoswa na guu la mama mwenye Nyumba, maisha yangu mashakani, why always me???? "
PANYA: "nimekula nguo lenye pafyumu, nasikiaje kiu. uwiiiii"
NGURUWE: Binadamu wabaya jamani...
Hawa magereza, wamejipangaje?
Maana pale tuna askari wetu waliobobea kuvunja mikono ya dada zetu na mama zetu, tusije wapoteza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekumbuka mbali sana.
1. Niliwahi kupigwa na mbabe mmoja huko kijijni kwetu tukichunga mbuzi. Yeye kazi yake ilikuwa kutuma wenzake tu hadi anaboa. Beberu wake akipigwa na wako naye anakupiga...
Wewe uliyepaka pilipili[emoji276] kwenye toilet paper za vyoo vya hapa stendi kuu ya mabasi Ubungo[emoji590].. nakuambia hivi pepo utaisikia kwa wenzako tu malipo hapahapa duniani[emoji52]
Yaani...
Happy birthday to my handsome, tall, good
looking, kissable, faultless, cheerful, romantic,
and amazing future Husband
Cc Melvin 16
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi nunua “perfume” fulani hivi JD pharmacy pale JMo aseee laki na sitini kipindi hicho, kwa pale nilipenda harufu yake ila nilipofika home ikawa mbaya sana kwangu hata wife hakuipenda na...
Haya bhana
Yote kwa yote matukio yako ni ya kawaida sana kwa sbabu ujinga niliowahi kufanya “kuvunja redio nikitaka kusalimiana na watangazaji”
Kingine: Kuchoma nyumba kwa sababu ya kumchoma...