Siku zote ukiona mbongo hapatikani yaani yuko busy jua tu yuko kwenye mkutano au kikao ambacho wanalipana posho za vikao ila wanaongea pumba tupu, ndo manaa tangu uhuru vikao vyote nchi bado...
Nendeni KWENYE mitandao yaani wachinaa wamejazana kuomba urafiki kila sehemu
Huko kwa wakubwa ndio balaa wanaomba na namba za SIMU na jinsi ya kufika Tanzania
Watanzania msichezee opportunity...
Ikiwa zimebaki siku chache kumaliza mwaka huu 2017 naomba nitoe pongez zangu kwa Mshana Jr ...
Kwa kuweza kutowa Elimu Kubwa iliyotujenga sisi wadau wa mambo ya Giza...
Big up mshana...
CORONA VIRUS
ITALY: Lockdown
CHINA: Lockdown
DENMARK: Lockdown
NORWAY: Lockdown
IRELAND:close all school and cancel mass gathering
USA: close all school and ban European plane
TANZANIA : osha...
Salaam kwenu wana jamv pendwa la Jamii forums
Binafs nichukue nafas hii adimu sana kuwashukuru kwa kuendelea kuwa pamoja nimejifunza mengi na nitaendelea kujifunza meng kupitia kwenu
Kuelekea...
Jamani hii Siri nimeificha kwa muda mrefu leo nimeona bora niwaambie ukweli
"Mimi ndiyo yule nnaetoaga majibu ya hesabu zenu kwenye calculator"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tujaribu kukokotoa uwiano uliopo kati ya meseji tunazoandika humu jf na reaction point tunazopata katika meseji hizo. Yaani kama hivi (Reaction points ÷ Message). Halafu matokeo yatapangwa...
Habarini wadau. Nlikuwa na mizunguko kidogo ya kikazi.Canada,Egypt,Sweden,South Africa na Kenya.
Nipo bongo. Nmesikitika leo kukuta jamaa wanagombana sababu ya tsh 100,000 tu.hii hii ya...
Tuchukulie umepata namba ya manzi kwenye hidden source. ile kumcheki tu unaulizwa "umepata wapi namba yangu"
MABAHARIA WENZANGU HUWA MNAWAJIBUJE
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu, siku ya leo haikuwa mbaya sana. Wote tuliamka salama na baada ya wife kunichemshia maji ya kuoga kwenye kuni basi akawa pale uwani anafua vikanga vya mkojo alivyo tumia usiku uliopita...
1. Mama/baba aliyepokea kodi ya nyumba
2. Mfanyakazi wa taasisi/wizara ya serikali amepokea mshahara
3. Madalali/watu wa kati/wapiga dili kama issue imepiga tick
4. Mtu amepandishwa cheo
5...
Wakuu leo nilijichanganya nikaingia Intelligence wamenipa nondo za kuuacha mwili nimezidiwa na somo bora tuendelee na mada zetu za Lisa Ann na Mia khalifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawatakia jumatatu njema jamii yote ya JF Mungu awalinde na kila baya mbele
Yenu tuzidi kumuomba Mungu na kufanya. Kwa juhudi na maarifa lakini pia nashukuru uwongozi mzima wa JF kwa kazi kubwa ya...
MIZANI – SEPT 23 – OCT22
Siku ya leo unatakiwa kuwa makini sana na vichochoro unavyopita
Kwani kuna hatari ya kukutana na watu wanaokudai wakiwa
Wameongozana. Kuepuka hatari hiyo...
Hlw wana jf tena,
Taaluma huenda kando na refreshment na chuo hupambwa na elimu bora, hadhi ya chuo(Status) na pia idadi ya warembo wanaomotivate masomo.
kumekua na ubishi wa ushindani wa vyuo...
Jana katika pitapita zangu nikakutana na msela kataitishwa na vibaka wawili huku wakimpiga kwa panga (bapa) wakimlazimisha awape hela.
Aisee mimi sio mwanaume wa Dar niliingilia kumuokoa jamaa...
Mimi ni mchaga kutokea Mkuu Rombo, ila pia ni mkazi wa Dar es Salaam japo sipendi kuitwa mwanaume wa Dar.
Kuna jambo moja linanikera sana kwa kweli kila nikienda nyumbani Kilimanjaro nikikutana...
Wanawake Punguzeni kula chakula bila mpangilio na fanyeni mazoezi. Mtalalamika kutoolewa na una mwili kama pipa na hela huna. Angalau ungekuwa na hela ungevipata hivi vimarioo vya Dar. Badilikeni...
Siku hizi kila unapoenda iwe kitaa, ofisini au kwenye mitandao ya kijamii watu wanaleta chuki bila sababu ya msingi. Watu wakikuona una maendeleo binafsi na unavaa unapendeza wanakushambulia kwa...