Kiwango cha alcohol katika beer ni kidogo sana aisee yan 5% aisee hapana hii sio fair kabsa naomba pendekezo langu beer iwe angalau 15%-25% kulingana na kiwango cha hela 1500..... Ni nyingi sana...
Naomba tukumbushane enzi za shule.
Mnamkumbuka walimu wa kuu MR Mndeme na kipigo chake na Mr amuri?
Pia muheshimiwa John komba alitufundisha siasa tukiwa darasa la 4 alivyo maliza jkt mafinga...
Kutoka kwenye Wimbo wa Nandy na Willy Paul, Willy Paul alisikika akijiita "Fundi Mwenye Slow Motion"
Fundi mwenye Slow Motion ni nani?
Taja Sifa za Fundi mwenye Slow Motion
Naanza na
1.hana...
Wakuu nashangaa kila mtu anavyojitahidi kujitofautisha na mwingine katika kuiendea harusi wengine wanapanda Magari, Meli ndege, bajaji, baiskeli, farasi, punda nk. Lakini baada ya muda mfupi wote...
Kwa wale watakaokuwa kwenye mfungo wa Kwaresma wakijitafakari maisha yao na uchaji wao karibu na Mungu nawatakia mfungo mwema. Pia nami niwaage kwa muda nikijitafakari nami, pia nikijiuliza kuhusu...
Hivi wadau nimejaribu kuwaza....mara paap babu Mwasapile kaibuka na kikombe cha Corona ni vipi tutaachia wagonjwa kutoka China na nchi nyingine waathirika wamiminike nchini tupige bingo la utalii...
Habarini wadau hususani wale wenye ndoa zao mjini apa,
Ni takribani miezi miwili hivi kumekua na hali ya fukuto, harara na joto jingi sana
Hali hii imesababisha wenzangu na mimi wanaoishi kwenye...
Fenesi haliliwi bila mafuta, lazima upake mikono mafuta Ili lilile vizuri. Wabishi wanakula bila kupaka mikono mafuta Na wanadai utamu WA fenesi Ni Utomvu. Tunda hili halioshwi Na Utamu wake ni...
Nimeshindwa kuvumilia jamani,hii kitu imepikwa wakiwa uchi ama vp?..mbona tamu kiasi hichi?..imani yangu inanikataza lkn naipiga krb mara 5 kwa wiki,,ni tamu haina mfano,,zingine siwezi,,HV...
Mm Husema One Day Yess Ipo Siku Tu Nami Nitakuwa Mmoja Wa Wamiliki
Mungu Bariki Strugglers zangu
Nasepa zangu Haya VP ww Husema Maneno Gani [emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yo mama's teeth are so yellow traffic slows down when she smiles
Yo mama's so stupid, when they said, "Order in the court," she asked for fries and a stake.
Yo Mama’s so ugly that your father...
Huyu jamaa nimekuwa nikimfuatilia kwa muda kidogo nione mwelekeo wake kimuziki. Kila siku anazidi kuimarika na kuwa fundi. Kiufupi Burna Boy anafanya kitu ambacho wasanii wachache wa Afrika...
Mazoea hujenga tabia.Kwa sisi wengine toka tunakua tulizoea sana choo cha kukaa. Tulipoenda shule angalau tukajifunza mambo mapya.
Nimemaliza chuo miaka ming ago, from there nimekuwa nikitumia...
Japo siyo vema kukumbuka 'misoto' ila sometimes inabidi ili liwe funzo la kurekebisha/kubadili mwelekeo wa maisha.
Binafsi kuna harufu mpaka leo hazitoki kwenye hisia zangu kwani niliziishi...
Jana nilienda kwenye moja ya saluni kupunguza nywele..
Nikafika nikamkuta kinyozi yuko pekeyake anakula mziki akisubiri wateja..bila kuchelewa nikakaa kwenye kiti ili nipate huduma..wakati huduma...