Kila nikijiuliza sipati jibu, juzi hapa nimekutana na ndugu yangu hatujaonana kitambo sana. Katika kupiga stori akaniambia kati ya sigara au bangi kuna kimoja unatumia. Nikamuuliza umejuaje...
MILEMBE TV [emoji342]
#####
HABARI ya Mujini na Kijijini ndugu mtangazaji wa kipindi changu pendwa kutoka MILEMBE TV [emoji342].
Ni kipindi ambacho kinaniwezesha mimi kama mtangazaji kuweka na...
Kwaresma ni kipindi kitakatifu cha kukumbuka mateso ya bwana Yesu, wakristo tunakumbushwa kumrudia Mungu huku tukitafakari kwa kina maisha yetu katika imani. Wenzetu wana mwezi wa Ramadhani sisi...
Wadau.sijui ni mimi tu au na nyie mme observe. Dada zetu wa Kibongo ni wakarimu toka miaka ya nyuma sana.hata kwa wageni wakija Bongo huwa wana enjoy sana.
Ukipita...
Habarini ndugu wajamvi ,ni matumaini yangu mu wazima was afya
Leo ni siku muhimu sana Kwa mwana jf mwenzetu Evart Kwa kutimiza miaka kadhaa ,Tusaidiane kumtakia maisha mema.
Nawasilisha.
Vyakula vyetu vya asili ni vizuri zaidi ya vyakula vya kisasa tunavyotumia kwa wingi.
Hakuna asiye na kabila na kila kabila lina chakula cha asili tujikumbushe kupitia comments na picha.
Kwa...
Kumiliki kitu Kama nyumba, gari,baiskeli, pikipiki sio kitu Cha mchezo,
Tuambie siku yako ya Kwanza kumiliki .......... ulikuwa na mzuka gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio poa kabisa mwamba, hata kama unamiliki chuma ila dahh ulizingua kinyama.
Ipo hivi.... Mnyama nilijilipua kiwanja flani last night, mara kwa mbali wakati natoka nje nikaongee na sim nikawa...
Kumekuwa na utamaduni mkubwa nchini na duniani kuwa mtoto wa kike siku zote ni muathirika wa matukio fulani fulani na mtoto wa kiume yeye ni mtukutu, hii sio sahihi.
Basi nataka kuanzisha kampeni...
Kwanza kama kichwa kisemavyo hapa utatiririka kioja au kituko ulichokifanya ili uendelee kuwa juu mana sisi mabishoo hatunaga kuanguka.....Naanza!
Mwaka wa 2014 nilikuwa pande za Dar kwa...
*SIKU NILIYOLALA NA MKE WA MTU KIUTANI UTANI*
Mwezi uliopita nilikuwa nasafiri kutoka Iringa kuelekea Jijini Dar Es salaam, kwa usafiri wa basi moja maarufu (jina kapuni).
Niliiingia ndani ya...
Kama kawaida ya kikaango kutoka JF hapa tunamkaanga member mmoja kila siku maswali ya kistaarabu na majibu ya kiprofessional Zaidi.
Kwa leo tutakuwa na Ndugu yetu zitto junior kama guest,uliza...
Mimi binafsi Kuna vitu zamani nilikuwa sivijui, baada ya kuvijua nilicheka Sana.
Kuna ile slogan ya kwenye tangazo la tigo zamani kidogo, mimi nilikuwa nasikia wanasema
ESHESHESHEEEEE
baadae...
Yaani sisi watanzania bana tumegawanyika katika makundi manne
1.kuna wale weusi tiii hawa wengi manigaaa
2.kuna wale wenye weusi wa kawaida
3.kuna wale Maji ya kunde au wenye rangi ya kahawia...