JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sasa hii imeonekana ndio sababu ya wanaume kuchelewa nyumbani Kila Nyumba anatajwa DK zainab kwamba ndio chanzo na kwamba walizimia usiku kucha. Jamani
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Wakuu jamii forums leo ndio siku yangu ya mwisho humu nawaaga nitakuwa busy sana masomoni hamtaniona humu jukwaani hadi september 2020. Mlionikosea nawasamehe bure kwa sharti na ninyi mnisamehe...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
"Ivi nchi ikiwa inabarabara nyingi za lami ndio inaitwa **Lamination** πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚β˜β˜
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Watu wengi wakiwaona watu hawafanikiwi huibuka na misemo yao mingi kama uvivu wa ukoo wao unamtafuna, alikuwa mbeja mgawa embe mimba angepatia wapi, kwao aliyefanikiwa kaishia darasa la nne yeye...
1 Reactions
7 Replies
568 Views
NIULIZE SWALI 1 1. Umri? 2. Nickname? 3. Siku Ya Kuzaliwa? 4. Mahusiano? 5. Naweza Kudate Na Wewe? 6. Nakupenda? 7. Nyimbo Unayopenda? 8. Crush Wako Humu Jamiiforum? 9. Chakula...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hii leo sunday ndo nmeamka nayo.....!!Nnunue nn mana hali mbaya..!! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
14 Replies
898 Views
Wana jf nahitaji mke awe na sifa zifuatazo Mweupe Awe na namba ya NIDA
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu Leo nimewaletea app ambayo kwa mtu yoyote ambaye ni mpenzi wa MEMES hupaswi kuikosa. App inaitwa MEMES center...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Mnisamahe ndugu zangu nipo naota ndoto za jioni ukichanganya na haka kammea ka Arusha basi mtu unaota mambo ya ajabu ajabu kweli
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu hapa nipo mahali fulani very classy na kuna watoto wakali balaa ...uwiiiii yeleuwiiiii Kuna mmoja nimemuona hapa wakuu aisee mtoto utadhani hanyi aisee wakuu leo napata shida hapa mwenzenu...
0 Reactions
62 Replies
5K Views
Mara ya kwanza kufika nilipelekwa Magogoni 'Striti', kisha baharini kushangaa baharini, kisha kadaraja ka Manzese. Njoo ushauri watu machimbo ya kushangaa hasa sisi wa Miji kasoro Dar.
1 Reactions
51 Replies
4K Views
Labda tu niseme kuwa kiuhalisia sipendi uadui na binadamu. Adui yangu siku zote ni umasikini. Huu ndiyo nauchukia sana pamoja na shetani. Mimi nimewahi miliki kwa muda mfupi sana kama miezi...
74 Reactions
126 Replies
15K Views
Twende kazi saizi unakula Ngoma gani kali hapo..!? Mimi hiyo hapo [emoji116] [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
118 Replies
5K Views
Yaani tunaosikiliza redio kupitia itune mmetuwekea matangazo mmesahau kabisa kutuunganisha na live fm wote hadi mafundi mitambo mmeungana kusikiliza udaku wa Dk.Mwaka na wake zake hadi mmesahau...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Kuna jeshi la migambo Kuna jeshi la police Kuna jeshi la FFU Kuna jeshi la JWTZ.. [emoji134] Eti tuna bishana ni jeshi lipi likiingia mtaani lazima pawe kimyaaaa...[emoji3] Sent using Jamii...
0 Reactions
6 Replies
646 Views
Dadeq, nimepotea jf kwa muda mrefu kutokana na matatizo binafsi. Niliibiwa simu na ikawa changamoto kupata simu nyingine. Nimefanya vibarua vya kila aina lakini hela yote tumbo likawa linachukua...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu hebu tuchemshe bongo zetu kidogo, Je ni nani anaweza kunipa idadi ya magari yote yatakayosajiliwa hapa Tanzania kwa kufuata mfumo huu. Gari ya kwanza kusajiliwa hapa nchini ni yenye number...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wakuu, Ningependa tuchangamshe bongo zetu kidogo. Unaweza kutunga sentensi kwa kutumia lugha 3 tofauti? Ngoja nianze na mfano: 1. Habari za asubuhi (Kiswahili) 2. Good morning (English)...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Binafsi ni masaa matutu, yan baada ya dakika ya tatu kuisha ifikapo saa nne tigo ilikua free, sasa kazi inayobaki ni kubadilisha tu sikio. Hakika ujana na mapenzi ni adui mkubwa wa common sense.
2 Reactions
5 Replies
744 Views
Hivi wadau wa JF katika maisha kitu cha kwanza kuangaikia ni tumbo au pesa?? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
49 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…