JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu, Majuzi kati nilienda kumsalimia kaka yangu. Kaka huyu anaishi na mkewe na watoto wawili wa kike. Hawajafika miaka kumi. Kwa bahati mbaya wakati nafika mkewe braza (shemeji) naye alikuwa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna wadau humu miyeyusho sana. Taja tabia usizozipenda kutoka kwao hivyo wajirekebishe. Kwangu hawa nawaona miyeyusho sana 1)Sexyles Huyu anaboa mara anajifanya wa kike mara wa kiume...
16 Reactions
150 Replies
8K Views
Habari members, Hua najiuliza hili swali mara nyingi kwamba Member wa JF huwa mnachangia mada mkiwa wapi mnajifungia ndani au? Mana napanda daladala hampo, bar hampo, kila nnapokaa kwenye...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Mimi naamini kabisa humu wanawake wa JF ni warembo kwa kuangalia avatar zao tu inaonesha wengi ni macutee. Maana watu huweka avatar ya picha zinazoendana nao.
4 Reactions
101 Replies
7K Views
Aisee salaam, Habari za Jumapili wadau. Niende straight to the point. Mbeya baridi ni kali kweli kweli. Nipo hapa maeneo ya juu kidogo hivyo ninaipata baridi kinyama. No wonder Mbeya na Njombe...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna Mtu Anaweza kunisaidia Maneno Mazuri Niandike Kwenye gari langu Jipya la Vitz [emoji28] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
636 Views
Nimefanya utafiti humu member wengi ni maskini na wanatumia Tecno. Mungu awatie nguvu walau mwaka huu watumie simu za maana.
11 Reactions
226 Replies
12K Views
Eeeh ndiyo, nitakuwa kati ya wale Watanzania asilimia moja (1%) wanaotumia usafiri wa anga. Yaani ukikuta Watanzania mia ni mmoja tu aliyewahi kutumia huu usafiri wa anga.
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Heri ya mwaka mpya. Hivi nyie mnawezaje? Mimi zimenishinda kabisa. Msiseme mimi mtoto, nina miaka ya kutosha tu lakini kwa hizi bia nimenyanyua mikono. Nakumbuka utotoni baba aliacha bia mezani...
9 Reactions
123 Replies
9K Views
wana jf poleni na mihangaiko ya maisha nilikuwa naomba kuuliza izi tv za home tech ubora wake upo vipi maana uwezo wa kugharamia samsung, LG wengine huo uwezo hatuna nilikuwa naomba kujuzwa ubora...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sifa zake: Inanukia vizuri Kumvutia mlaji kuwa na hamu ya kula chakula hata kama hakuna ladha. Inaongeza namna ya kifikiri... Ni tamu, kuwasha kwake ndo utamu wenyewe. Inapatikana kwa wingi na...
12 Reactions
176 Replies
12K Views
Habari wanajamvi ,nimeona nivute kigoda niwashauri .Kwa sasa wengi mme invest kwenye kubanjuana na kulialia kisa mapenzi ,wengine mnaenda mbali mechi za ugenini mnacheza peku peku jalini afya...
3 Reactions
13 Replies
744 Views
Sisi ndio wale watoto Mama zenu walikuwa wanawaambia msicheze na sisi halafu tulipokuwa wakubwa wakaanza kuwaambia kaa vizuri na wenzio watakupa maisha. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
6 Replies
718 Views
Hivi ungekuwa wewe ndiye MCHAWI uchague moja kati ya hivi: MOJA Ubuni teknolojia ya kufanya shamba lijilime, lijipalilie na lijivune PILI Ubuni teknolojia ya kufungua mlango wa mtu (ikiwemo wa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mimi sipendi mvua kunyesha usiku na napenda muda wa kulala ukifika maana natua stress zote Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari, Nawatakia wana JF wote heri na mafanikio katika kila jambo mwaka huu. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kila mmoja anapenda starehe; kila mmoja ana starehe. Starehe ziko kila mahali, kinachotofautisha ni madaraja tu. Kwenye vibanda umiza ndio kuna starehe za bei ya chini kuliko pengine popote pale...
12 Reactions
45 Replies
6K Views
Naiona February ya mwaka huu iliyosheheni neema kwa upande mmoja huku ikiwa imejaa sintofahamu kuuubwa kwa upande mwingine. Ok tuangalie upande wa mema na tumshukuru Mungu muumba wa vyote wakati...
1 Reactions
8 Replies
871 Views
Yule kijana mwenye makeke mengi kuliko wote humu jf amerudi Tena baada ya mapumziko ya lazima ya mwaka mpya Sasa naamini jf itachangamka Tena upyaaa ukiwa na stress nenda kamsemee hovyo mzee...
2 Reactions
48 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…