JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Humu kuna watu hutupia uzi za ukweli kabisa,hata kama kuna uongo sawa lkn una tija,lakini sasa kuna wale kila kukicha wana vihadithi visivyo na kichwa wala miguu...sound na uongo uongo tupu ili...
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Mimi sifi leo nmeianza mwezi mpya vibaya jaman, yaani leo Asubuhi naamka tu nakuta ujumbe kwenye simu yangu ukisema: KUANZIA LEO siruhusiwi kukanyaga Kariakoo Shimoni kwa sababu zifuatazo! -...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Dar internet ya TTCL inakata kata sana na speed yake ni ndogo sana kwanini? Lakini huku Mbeya nimekuja jana lakini nimeona tofauti kubwa ya speed ya internet ukilinganisha na Dar hii ina maana...
1 Reactions
5 Replies
956 Views
Mwalimu akiwa anafundisha mara kipepeo anatua ubaoni mwalimu anaamua kuwaambia wanafunzi "aisee vipepeo huwaga na rangi nzuri sana" mwanafunzi mmoja anaropoka "NDO UNAJUA LEO" Ungekuwa mwalimu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Unakuta bango la saloon linasomeka hair saloon, kwani kazi ya saloon ni kushughulikia nywele tu?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaam Wakuu Weekend hio Imeanza Leo Mambo Mengi Muda Mchache Embu Tucheke Na Pompeo Tunategemea James Delicious Aitwe Bungeni Kujibu Barua Yake Alio Tuma US (Kidding) Usipite Bila Kutumia pic...
2 Reactions
1 Replies
391 Views
Wakuu salama hapa. Nikaribisheni jamani jukwaani baada ya kupewa Ban ya miezi mitatu. Heri ya krismasi na mwaka mpya. Kadri siku zinavyokwenda nitawajuza nini kilinisibu nikiwa kifungoni huko.
7 Reactions
45 Replies
2K Views
Hakika januari hii ilinikimbiza kasi mno, sitousahau mwezi huu, nilipungukiwa tsh laki mbili ikanibidi nicheki kwa rafiki zangu, niliwasiliana na watu karbia 20 bila mafanikio, nmegundua kuwa na...
0 Reactions
1 Replies
770 Views
Dah bandugu n kwel mafanikio sio kwa kila mmoja ila inapofikia hadi mlo ukawa mgumu sasa hapo ni bora kufika china au popote nipate hela ya kujikim natanguliza shukran ndg zangu hebu nisaidien kwa...
0 Reactions
3 Replies
766 Views
Habari wana JF, Niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa kautafiti kangu kasiko rasmi hasa nikiwa kwenye daladala au kagari kangu ka bei mbaya, nimeshuhudia wengi wa wadada /wamama (sio wote...
9 Reactions
145 Replies
15K Views
Jf inanipa uraibu mbaya Sana nimeshafanya kautafiti Yani kukiwa hakuna nyuzi mpya katika majukwaa yote huwa afya yangu inapata shida . Mfano mafua makali Kichwa kuuma Mwili kuchoka haraka...
2 Reactions
10 Replies
759 Views
Kilevi pendwa cha asili kinachotumiwa na watu wazima huko vijijini hapo zamani... Baadae kikaja kuwa umaarufu kwa wamasai na sasa ndio Kama fasheni kwa vijana wa kileo(maybe kutokana na vyuma...
9 Reactions
64 Replies
10K Views
Weka maoni yako hapa. Nisiwachoshe I wish nipate experience zenu mazee na sister duu's mlioishi maghetto. Hii imekaaje kwenu? Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
137 Replies
18K Views
Hivi wana jamiiForum kuonga ni sawa au ni jambo baya kwa mwanaume kamili Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
43 Replies
2K Views
Kama kichwa kisemavyo nijikite moja kwenye mada,haya ni baadhi ya mambo yanayoñikera humu JF pindi nifunguapo Uzi. Nimekuwa nikifungua Uzi kisha natiririka na comments ili kupata mwanga wa jambo...
0 Reactions
41 Replies
2K Views
Naomba nishee nanyi kuhusu hili wakuu. Leo nilipata nafasi na kukutana na mshkaji wangu sana tuliesoma pamoja elimu ya shule ya msingi kitambo hicho. Tukasalimiana pale kwa kuwa ni muda sana...
0 Reactions
7 Replies
773 Views
Wakuu,amani kwenu... Ningependa tukumbushane maneno maarufu yaliyokuwa yanatumika shule za secondary hasa boarding. Mi nakumbuka maneno kama: 1.Njuka,kitimoto,mkia,nyoya=form one 2.Kufufuka=kuamka...
8 Reactions
403 Replies
32K Views
Jamani huwa ninavutiwa sana na misemo ya kwenye khanga. Mfano: 1.Hata ng'ombe alikuwa ndama 2.Wao majungu,sisi kazi tu! 3.Ukiona manyoya ujue kashaliwa! Kama nawe unaikumbuka mingine ongezea hapa!
0 Reactions
674 Replies
248K Views
Unadai au unadaiwa uje hapa, bila kificho sema tu unamdai nani kiasi gani akisoma hapa ajue anadaiwa na anapaswa kulipa. Mdaiwa usiogope kumwambia (mchane) jamaa anaekudai hapa kama utamlipa au...
2 Reactions
62 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…