JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kutapeliwa ni kubaya lakini asilimia 90 ya waliotapeliwa walikaribisha mazingira ya kutapeliwa wakiongozwa na tamaa na kutotaka fikiri. Lakini wapo kadhaa ambao waliibiwa Kitapeli kwa kufuata utu...
16 Reactions
32 Replies
5K Views
Kwa hili serikali lazima iwajibike. Pia lazima tuandamane tupate serikali nyingine! Haiwezekani Aston Villa Wazungu wanamnyima pasi champions boy Samatta halafu serikali inaangalia tu...
1 Reactions
4 Replies
690 Views
Tunao mkumbuka chid benz kwa ngoma kali Hip Hop tukutane hapa. HipHop standup Forever Chi chi chi chid Benziiiiiiiii. Love song yupo pia Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Habarini za asubuhi wakuu poleni na majukumu Leo nyimbo ya ndugu zetu weusi weusi wapoloooh imepata bahati ya kuskilizwa na mimi maji ya gundu, Nilioyaona kwene hii nyimbo ni haya moja: Beat...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna upepo wa majina ya kimuvi muvi, tamthilia n.k Mim siwez kuja kumwita mwanangu majina hayo Kuna jamaa amedhamiria kumwita mwanae Kobe, sawa... Mfano wa majina hayo yaliyovamiwa na waswahili...
2 Reactions
57 Replies
3K Views
Kwanini unakojoa bafuni wakati unaoga [emoji20][emoji20][emoji20] Kwanini usikojoe kabla chooni? Sema kweli!muaibishe shetani Kama huwa unakojoa bafuni pia[emoji3][emoji3][emoji3] Sent using...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
Vijana wenzangu nawaambieni mkiona kijana amefanikiwa kwenye kile unachofanya inabidi umheshimu sana. Hii nchi ngumu sana. Wachawi wengi sana. Naamini kama vitendea kazi vingekuwa vinapatikana kwa...
1 Reactions
4 Replies
624 Views
Karibuni tuliwazane.. Tujadili changamoto na faida tunazopitia katika maisha ya kawaida, mahusiano nk.. Visa visa na vituko tunavyokumbana navyo etc Nawasilisha Aggy sura ngumu.
28 Reactions
732 Replies
48K Views
Aaahh! Jameni wacheni tu, mamboo ni bam bam. Leo amekuja mwanamke mzuri dukani kwagu mpaka kiu ilikata yeyewe. Nilimwambia achukue tu nguo anayotaka maana ni mzuri, kwa kweli ni mzuri sana...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Mimi naanza kwa hizi chache; unapotaja taja na wilaya au mkoa inapopatikana Senge Secondary School - Singida Chawi Secondary School - mtwara vijijini Sengenya Secondary School - mtwara Mkunya...
2 Reactions
48 Replies
11K Views
Leo asubuhi katika pilika pilika za upandaji daladala Segerea stand, nikiwa ndani ya daladala kushoto kwangu alikuwepo dada mzuri kweli mweupe, aliyekuwa amevalia kitenge safi sana very smart, na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wanazengwe! Hebu tukumbushane hii habari ya miaka hiyooo. HIVI KWELI GARI LA NYONYA DAMU NI KWELI YALIKUWA YANAKUJA MASHULENI? Nakumbuka siku moja nikiwa darasa la tatu mwaka 1994 kuna...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni rahisi huku kwetu kuweka chakula kwenye sinia watu wale kwenye majamvi. Kama ni single plates basi zipakuliwe jikoni watu watolewe. Huu utaratibu wa watu kujichikuliia nyama wenyewe, ni watu...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello JF kama ule msemo wetu pendwa ulivyo #kazinabata# basi nami nawaalika warembo wa JF wasizidi 10 tule bata pamoja au sio? Tarehe 26 nitaruka kutoka Washington Dules international Airport...
9 Reactions
159 Replies
8K Views
Hivi kwanini wanalia sana ikitokea habari mbaya?
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Hello! Mabib na Mabwana, habari za siku nyingine mpya? Naamini ladies and gentlemen mpo salama kabisa. Kwa mujibu wa kichwa cha Thread hii bwana, kutoka mtaani kwetu nimeshuhudia vimbwanga na...
1 Reactions
1 Replies
658 Views
Mtoto wangu anakua, kanazidi kuwa karembo. Kanapendeza kamechukua uzuri wa mama yake kabisa. Nakaona nakaangalia nasema hiiiii, baghoshaaaa! Sasa nmeona niwe mstaarabu.niwe muungwana. Wanasema...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Unaweza kufanya chochote hapa duniani na ukafanikiwa. "Kila siku kabla ya jua kuzama samehe wote waliokukosea ikiwemo na wewe mwenyewe, ukiamka kabla jua kuchomoza itakase siku yako na jitamkie...
1 Reactions
2 Replies
607 Views
When you try to pull out🍆💦🍑 and she holds you tight just whisper in her ear "You will raise this child alone" 😂
1 Reactions
3 Replies
471 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…