Ukipata pesa iheshimu, si kwakua una mamlaka nayo basi uitumie unavyotaka, hapana. Kabla hujatumia pesa jiulize
Kwa nini?
Nani?
Wapi?
Wakati gani?
Ukishapata majibu yapime yakileta maana ndiyo...
Aikeli -asante Mungu
Aika* - asante, jina la kike.
Mkunde* -mpendwa, jina la kike.
Elisante - Mungu asante.
Manka*- mtoto wa pili wa Kike,
Mami* - mtoto wa kwanza wa kike.
Asante - maana yake...
Unapojikuta ki-baby walker chako cha mkopo kimelivaa gari la waziri kwa bahati mbaya na kimsingi wewe ndiyo mwenye makosa, na hapo unaambiwa lazima kulipa na kesi juu.
Mkopo wa gari ndo kwanza...
Heri ya mwaka mpya. Nipo Dar siku 3 sasa nimetingwa kidogo majukumu ya ofisi n.k ila nashukuru nlipokelewa vizuri na member mmoja wa JF weekend hii tulikuwa wote tunakula Pizza pale Pizza Hut...
Pombe iliumbwa kumfurahisha mtu
25Usijioneshe kuwa hodari wa kunywa pombe,
Maana pombe imewaangamiza wengi.
26Tanuri hupima ugumu wa chuma,
Na pombe hupima mioyo katika shindano la wenye kiburi...
Mimi ni muuguzi, kuna siku tulipokea mgonjwa, mwanaume wa miaka 67 ameletwa hospitali na polisi baada ya kumkuta akitembea barabarani akiwa amevaa boxer tu.
Aliletwa wodini baada ya assessment ya...
Huwa Kama binadamu tunafanya makosa mengi tu.
Lakini kuna lakini kuna jambo jengine huwaga hukosei je ni lipi hilo?
Mimi binafsi niwe mkweli makosa nimefanya mengi. Lakini la kuondoka kwenye...
Dalili za nchi masikini:
Uwepo wa redio FM kila kona
Msafara wa Rais unakuwa na gari nyingi kupita kiasi
Kila mtu anajenga nyumba/ kijumba
Wananchi vichwani kunawaza mpira
Matumizi na mapato...
SAVE THIS CALENDAR
February 2020
S M T W T F S
1 2
3 4 5 6 7 8 9
10 11 12 13 [emoji533] [emoji381] 16
17 18 19 20 21 22 23
24 25 26 27 28
Only A Few Will Understand!
[emoji23][emoji23]...
Leo nilipata muda wa kuchati kidogo na jamaa yangu ambae nilidhani yupo Dar es salaam kumbe kapata kazi nje ya nchi na hapa nyumbani alikuwa mfanyakazi wa umma.
Huyu mkuu anapiga kazi hapa hapa...
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Ninafanya kazi za usafi wa kufagia na kudeki ofisi ya boss wangu, nikimaliza usafi huwa namsaidia kupanga...
There are known knowns and unknown knowns, there are also known unknowns and unknown unknowns... The things we know we know and the things we don't know we know plus the things we know we don't know.
1)Kwa pamoja tumeamua kuwa mabaharia wote Tanzania tusitongoze wanawake wanaoitwa Hamida kwa miaka mitano hadi pale Hamida aliyemtesa baharia mwenzetu atakapojitokeza na kuomba radhi
2) Ndugu...
Wengi tunatumia JF huku tukijaribu kuvuta mfanano wa wadau mbalimbali humu unaweza kuwaza yuko hivi kumbe yuko vile.
Kupitia huu uzi tunaweza kidogo kujenga picha akili unafanana na nani huwenda...