JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nirisoma adi darasa la saba hila najuwa mambo mengi kuusu maisha. nakalibishwa masuali yenu. nivumiliaenani katika muwandiko wagu piya na ware ambawo wanakasirika nisameeni sana.karibuni?
8 Reactions
91 Replies
5K Views
Wajameni vipi huko... Hadi muda huu akaunti haisomi. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
7 Replies
718 Views
Jamani wanaume wafupi. Khaaaaa! Kuna boss hapa mfupi ana kitambi ni mtata sijapa kuona! Wanaume wafupi mkoje lakini!
15 Reactions
107 Replies
10K Views
Huyu mbwa wetu aliitwa Popi alikufa mwaka 1980 January 22 nimefukua mahali alimozikwa leo baada ya miaka 40 nimemkuta kalala vilevile ila ni mifupa yake. Pumzika kwa amani Popi. Sisi Kama...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Jf ni kama familia, muda mwingine tuna hitilafiana, muda mwingine tunakejeliana, muda mwingine tuna taniana, tunapeana ushauri na wengine wameenda adi next level wakawa wapenzi Naomba tusameehane...
8 Reactions
54 Replies
3K Views
1. Uhuru - Lugola ajiuzulu uwaziri 2. Mwananchi - Lugola atumbuliwa kwa aibu kubwa 3. Tanzanite - ??? 4. 5 6 Wakuu hebu tuendelee kubashili vichwa vya habari kwa kila gazeti
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Wapendanao Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu humu ndani, najaribu kuwakumbusha mamlaka husika hasa za Simu, TCRA pamoja na NIDA kuwa makini sana, vinginevyo tutarajie watu kupata matatizo ambayo sio ya kwao. Bado...
2 Reactions
4 Replies
623 Views
Naizungumzia tarehe hii ya 23.1.2020 na hii ni ikiwa kama mshahara umetoka au utatoka. Ukiisahau hii tarehe ya leo basi utasema tu kuwa mshahara ulitoka siku ambayo Kangi alitumbuliwa na hapo...
0 Reactions
2 Replies
537 Views
Yaani nachukia mijusi balaa, hata nikiona kinyeshi chake ndani tu mfano bafuni aisee huwa siogi. Nikiona hata wakati nakula huwa nashindwa kula hata chooni natamani kukimbia. Kinyesi cha wanyama...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Uzi huu utaonekana una udini kidogo, lakini kikubwa ni kuwa nataka kuonesha jinsi gani wakati mwingine tunachokitaka sisi binadamu katika maisha hakina umuhimu sana na mwisho wake ni mbaya. Mwili...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Kanuni ndio hiyo, Mafanikio yako mtandaoni yanapimwa na mafanikio yako in the real World! Ukitaka kuwa na accounts kama Youtube insta mategemeo ya kupata watu wengi wa kutembelea pg yako...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Uzi wa kimasihara huu. Nizame moja kwa moja. Pale mkiwa faragha ni jambo gani la ajabu huwa unahisi unamfanyia baby wako peke yako hakuna mwingine anamfanyia. Huwa napenda kupiga piga Kalio...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo Kuna vitu vingine wadada hufanya wakizan ni sifa kumbe ni ujinga wa hali ya juu sana. Wanawake wavaa mawigi...
11 Reactions
161 Replies
20K Views
Waungwana naomba mnisaidie kirefu cha Neno "DM". Mfano kwenye kuchart mitandaoni kama Face book ama Instagram nimekutana sana na sentensi " Nifuate DM" sasa kirefu cha neno DM kimenipita mbali...
1 Reactions
43 Replies
29K Views
Usiku mbu wanakuwaga very active mno hasa usiku wa manane kuanzia saa 4 hivi. Alfajiri huanza kupotea. Mchana hawaonekani kabisa na hawaumi. Sababu ni nini? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Naamini humu kuna watu wengi wa sehemu mbalimbali. Binafsi sijawahi kuiamini hii michezo ya Tatu Mzuka, Biko, kwamba watu wanashinda mamilioni! Hivyo kama kuna yeyote humu amewahi kushinda au...
0 Reactions
3 Replies
997 Views
Hawa wapuuzi awachoki wanakamatwa lakin bado awasikii leo nimemkomesha. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wasalamu wakuu. Kuna baadhi ya watu hawanaga tabia ya kuitika salamu za wengine kutokana na sababu/tabia wanazojua wao. Ikitokea umemsalimu mtu na ukahisi amesikia Ila hajaitika chini chini huwa...
7 Reactions
103 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…