JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mfano :mambo vp dole halina ukucha Makalio :wowowo Shilingi tano :dala Acha niwaachie na wahenga wenzangu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Kheri ya "Mwaka Mpya" Jana nilikuwa kwenye manywaji, nikawa nimekaa meza moja na dada ambaye tunafahamiana lakini siyo rafiki yangu. Akaja kaka mmoja ambaye ananifahamu. Aka "force" kuninunulia...
0 Reactions
73 Replies
3K Views
Dialogues za muvi nazozipenda... Pita kimya kimya sitaki mchangiaji.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Dawa ya Deni ni kulipa ila Branch kwa hizi message zenu za vitisho mnazonitumia hii sio sawa, hao watu wenu wa customer care inabidi wajifikilie mara mbili mbili, deni lenyewe buku tano ila...
7 Reactions
43 Replies
7K Views
Mie Hawa watu huwa najiuliza akili zao huwa wanaziweka wapi, yaani huwa ni zero kabisa. Mfano 1. Kuna mdada mmoja alikuwa kukaa meza ya jirani na jamaa yake sasa wakaagiza supu ya utumbo si...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Tuko mwishonimwishoni mwa mwaka 2019. Ambapo tumepitia changamoto mbalimbali za kimaisha, wengine hali ikiwa ni Tete na wengine hali ikiwa si mbaya kiuchumi. Pamoja na serikali kujitahidi kuweka...
0 Reactions
3 Replies
483 Views
Habarini za masiku wakuu, nataka kujua kijiji cha Kalemela Mkoa wa simiyu 1. Hicho kijiji kipo wilaya gani, 2. Kipo kata gani 3. Tarafa gani Karibuni kwa wajuzi Sent using compute mpakato
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Arusha hali yake ya hewa inafaa sanaa tu kwa wale wapendanao, yaani ni...
0 Reactions
9 Replies
808 Views
MBEYA VIJIJINI Mwalimu 'mwenyeji' wa darasa la kwanza ameandika ubaoni:- "Kikombe cha chai" Mwalimu anawaambia wanafunzi:- Mwalimu: 'wanafunzi somemi ubaoni' Wanafunzi: 'Ikikombe kya kyai'...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mzee anawaza sare za bure zimefutwa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
865 Views
Wakuu habali zenu Nasomeka gambeni muda huu nina serengeti lite 10,kwa mwana ambae yuko around mitaa hii niko pub yangu ya kitaanii Gold j pub hapa sinza madukani karibu na jengo la emirate. ila...
2 Reactions
9 Replies
867 Views
Ndugu zangu, Leo nipo ovyo, naumwa mafua, nimechoka, siwezi kufanya chochote,natamani kulala sina usingizi. Wenye mapenzi mema njooni hapa tupige stori muda usogee. Uzi tayari
15 Reactions
194 Replies
8K Views
Ni muda mchache kwa upendo wa Mungu nitatimiza miaka mitano nikiwa member mtiifu wa JamiiForums Hakika nimejifunza mengi na kukutana na busara na changamoto kedekede. Uzi huu uende mpaka January...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Tunakumbusha tu Januari inaingia; huwa inaonekana ndefu sana kutokana kwamba watu hutumia pesa sana kipindi hiki cha skukuu bila kufikilia mwezi Januari itakuwaje kwao. Niwape hongera na pole kwa...
0 Reactions
1 Replies
530 Views
Nawatakia new year woteez mashosti na mabitozi wa humuu. 2020 ni planning jomoni anza ku-make plan zakoo sasaa usijisubirishee sawaaa. Kumbuka tyu kutekeleza mipango na malengo yako inaanza leo...
1 Reactions
9 Replies
753 Views
Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mmepita kwenye insta story ya card B wakuu
3 Reactions
184 Replies
13K Views
Wapenzi wa sani kitaambo sana kipindi cha analojia tujikumbushe majina ya katuni zetu. Kama ndumilakuili=mwizi,sokomoko=mlevi,pimbi=mzee wa mapenzi,madenge=mtoto mtukutu,endelea nilio...
1 Reactions
22 Replies
15K Views
TAHADHARI Tunapoelekea mwaka mpya 2020 Tunaombwa kuwa makini tusije kosea kuandika 20 ya Mwisho ukaweka Mwanzoni na 20 ya mwanzo ukaweka mwisho. Mfano: Mtu badala ya kuandika 2020 akaandika...
0 Reactions
2 Replies
930 Views
Habari zenu mmu especially mabaharia! Nipende kuwa kumbusha ya kwamba wale wanawake waliozaliwa miaka 1990 huko muda wao wa matumizi UMEKWISHA! Hivyo basi hatuna budi kuachana na kizazi cha...
5 Reactions
45 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…