JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari wakuu. Mimi sio mchangiaji sana wa thread humu lakini kuna member wengine wanaboa. Kama huyu anayejiita smart911. Yeye kila unapokuta reply yake hakuna cha maana anachoreply zaidi ya...
38 Reactions
163 Replies
13K Views
Niaje mazee kutokana na upweke nilionao tangu niachwe na mtoto mzuri Shani. Pita pita zangu nikakuta hiki kidude kibarazani kwa Mzee Limo hapa Kawe nikapita nacho sasa nashindwa jinsi ya kupanga...
9 Reactions
83 Replies
8K Views
Eti Kamusoko na pesa zake zote bado yanga walitamani kumlipa mshahara licha ya John mtoto wa Yusuph kuvuta bangi Kwa kamba aliyopewa na Baba yake. [emoji16][emoji16][emoji16] Usiniulize, hata...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Hawa wenzetu kuna sifa moja inawanyemelea, hawa jamaa ukiniuliza kabila linalopenda sifa hapa Tanzania basi nitakuanzia na wachaga alafu ntafatisha Wahaya. Siku hizi hawa wenzetu kama ni kupenda...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Hi wanabodi Napenda kujua hii juice ya ukwaju ni ukwaji kweli au tunakunywa mchanganyiko tu. Na hii maziwa ya asas nayo siku nimeyanywa siku ya pili niliyaacha wazi nikakuta yameharibika inakuwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mpiga picha :mwalimu mkuu, ntakuchaji shilingi 500 kwa kila mwanafunzi kwa ajili ya passport size.. Mwalimu mkuu :mwalimu waambie wanafunzi walete shilingi 1000 kwa kila mwanafunzi kwa ajili ya...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Nyimbo nyingine hata kama umevurugwa vipi ujumbe wake tu unakurudisha njia kuu, hasa ule wimbo wa BUSHOKE, "DUNIA NJIA". Mimi tu ujumbe wake unanitisha mpaka kesho, yaani ni zaidi ya hutuba...
1 Reactions
1 Replies
660 Views
Wakuu nafikiri mpo poa Naona zimebaki siku chache tumalize mwaka Dhumuni la uzi huu ni kutaka kuwashukuru wote walionipa sapoti hapa JF kuanzia January to December,kwangu huu ni mwaka super...
14 Reactions
84 Replies
7K Views
Naangalia ni wapi tumefanana au tumekuwa na interest sawa na member yeyote Wanawake:Napenda warefu ,wanene wastani, sipendi weupe napenda black mimi, Mpira Club ya Tanzania: Yanga Uingereza...
15 Reactions
202 Replies
13K Views
1. Dua LA kuku halimpati mwewe. 2.Akunyimaye kunde anakupunguzia mashuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wa kwangu nimeshamuandikia hapa mzee baba Jr . Twende kazi...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Kama kawaida kila mwaka jukwaa la photos huwa linaibuka na ushindi mnono kwa nyuzi bora kabisa za kuondolea stress. Tukiwa tumebakiza miezi michache kufunga mwaka. Jukwaa la photos limeendelea...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
1.Kwani veepe 2.Umedamshi 3.Mamito, mammy 3.X=S 4.Sio kwa ku...... huko 5.Msiew (hata sikumbuki linaandikwaje) 6.Inahusu 7.Wacha weeeh 8.Nouma 9.Jomoni 10.Tenaaaaaaaa...
9 Reactions
84 Replies
5K Views
Mwimbaji Hassan Rehani Bitchuka. Bendi siijui. Bomu limeshapasuka, Walanguzi wanahangaika Mhujumu nayo iko ndani eeh. Nilikuwa Mimi silali Nikihangaikaika na mawazo Nikifikiria maisha Kwangu...
0 Reactions
2 Replies
805 Views
Tanzania ni kubwa sana, nashangaa sana pale ninapoona kuna watu wamezaliwa dar, wakitoka sana wameenda kibaha, chalinze au mororogoro, hawajui mazingira mengine, wao wanajua tuu dar, wanasikia tuu...
5 Reactions
52 Replies
5K Views
Hapa nishapigwa nyundo kama 2 hivi, na wote ni wanawake ambao naona hapo baadae wana manufaa, hi ndio hasara ya kujimwambafai maneno mengi sikukuu kama hii unaingia mitini! Au kesho nizime simu...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Wadau Heri ya Christmas Msimu huu wa sikukuu kila mtu anapenda kwenda sehemu kusheherekea sikukuu Na mimi nimejipanga mwaka mpya niende Zanzbar kula mwaka mpya Naombeni mnitajie maeneo mazur ya...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Tukutane RITA Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
732 Views
Wanajamvi nahisi tumemisi kitu katika jukwaa hili na ningependekeza ule uzi wa VAR ya JF wa mkuu mfilisti nadhani utakuja na mambo matamu baada ya kukaa kimya Nawasilisha na karibuni.
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Tunabishana sana kwa hoja lakini baadae mambo yanakua bull bull. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Ipi radio kati ya hizo inakuvutia utangazaji wake? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…