JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwa wale Wapenda papuchi "in different Variety and Style".... 1. Wapenda wake za watu 2. Wapenda wanafunzi 3. Wapenda makahaba 4. Wapenda ma Bar maid 5. Mnaokula wachumba za watu kimasihara...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Merr Krismas. Wale tusiopenda bajeti za keki tuendelee na mishe zetu[emoji53] VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
0 Reactions
3 Replies
430 Views
Mmoja ya madereva wetu amepatwa na shida kidogo ya kifamilia. Nikaona ni vyema kumtembelea jamaa huyu sababu namfahamu kitambo kabla hajawa dereva wa ofisini.yeye ndo alishiriki vizuri sana...
36 Reactions
54 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu maana Watanzania wote ni ndugu. Mimi ni mkazi wa Tanga na siku yangu ya kwanza ya maisha yangu kwenda kupima UKIMWI katka hospitali fulani. Nimeyakimbia majibu kwa kuwa na hofu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hellow wana jf Karibu katika jukwaa hili jukwaa ili linahusu misemo mpya ya mtaa kama uliisha wahi kusikia andika tuiyone
0 Reactions
82 Replies
21K Views
Wakuu kwema? Nimepata safari ya ghafla ya kwenda Moshi ambapo nilitakiwa kuhudhururia shughuli fulani huko kesho kutwa, cha ajabu nimeenda hapo Ubungo nimekuta mabasi yote yamejaa mpaka tarehe 24...
26 Reactions
97 Replies
9K Views
Familia imesafiri kwenda kula sikukuu nimebaki alone home. Nyumba yangu niliyoijenga mwenyewe naiogopa. Sijawahi kufeel upweke wa namna hii in my life. Never! Sijui wale single guyz wanawezaje...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
Naona hukwenda kanisani na wewe unampenda Yesu. Sijasikia mahali popote kuwa umekwenda Kanisani jana, kulikoni? Leo nenda kaombe na kamshukuru Mungu akubadilishe uwe kiumbe kipya kiroho!
2 Reactions
5 Replies
633 Views
Habarini za Tanzania? Wadau nmekuwa kimya sababu nipo busy nchi za watu huku hawana masikhara wanapiga kazi hasa. Wadogo zangu wanawasalimia maana nilipotoka Swedeni nikaenda Norway, Netherland...
20 Reactions
39 Replies
4K Views
Wakubwaaa Nauliza Hivii Haina Madhara Kweli? Kukesha Siku Mbili Mfululizo Bila Kukutanisha Kopee Sent from my iPhone using JamiiForums
3 Reactions
5 Replies
667 Views
Habari zenu wakuu? Wakuu kiukweli nampenda sana huyu mtoto mzuri MIMI MARS ambaye ni mdogo wake VANESA x wake Juma Jux. Hivyo naomba connection na huyu mtoto.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nakumbuka maisha ya Bwiru Boys miaka hiyo ilikuwa full mikasa. Kulikuwa na eneo linaloitwa Mombasa, mahali ambapo vijana wa Boys walikuwa wanazama kuwapiga chabo mabinti wa girls pindi wanaoga...
9 Reactions
349 Replies
28K Views
Merry Christmas. Utafiti niliofanya kuhusu vizinga sugu mjini umeonyesha matokeo mazuri tu. Baharia na mamaria wote tumekuwa walalamishi sana kuhusu mizinga midogo midogo na ya kati. Acha uzembe...
0 Reactions
3 Replies
603 Views
  • Closed
Dear women wazima?? Naombeni mnijibu hili swali. Hivi kwanini pm zenu hua mnazifunga?? Mimi hua ninatafuta watu wakunifanyia matangazo ya biashara zangu kama nimeona mwanamke/msichana kanivutia...
10 Reactions
353 Replies
36K Views
Kuna jamaa kaniuzia skwata bei chee sana! ikabidi ninunue! changamoto kubwa eneo hilo kulikuwa hakuna njia ya kufika hapo kwangu! Watu walikuwa wagumu sana kutoa hata mguu mmoja kwa ajili ya...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Jamvi la leo... Kuku over 6.5 Ugali under 0.5 Pilau over 20.6 Mbuzi win Maharage lost Mchicha correct score 0-0 FT Beers vs normal drinks GG FT 1 😉stake any amount you wanna
3 Reactions
19 Replies
802 Views
maandalizi yameanza huku,tafadhali tuzingatie muda kwa wale wote waliopewa mualiko. Ni kuanzia saa kumi na mbili na nusu,sehemu ni palepale,hakuna mabadiliko. [emoji23][emoji23][emoji23] Sent...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi everyone in here, Nianze kwa kuomba radhi kwa kuwashitukiza ktk hili. Nilipanga kuwataarifuni mwezi mmoja kabla ili mjiandae ila kutokana na majukumu ya kulijenga taifa ilishindikana. Napenda...
0 Reactions
6 Replies
574 Views
Leo katika pitapita zangu nilisikia mtu anasema yule sister ni kleptomaniac. Wajuvi Msaada tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
315 Views
Nimekulia Ubungo Maziwa, Yombo Vituka, Kiwalani Kijiwe samli, cheza sana. Kitintale chama la wahuni. Chafua sana Starlet Vituka, vuruga sana Flamingo Buza Machimbo. Manga'nizi camp Argentina FC...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…