JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari jamani? Yaani hii hela kila hatua ni taabu tu Hela kuitafuta mpake uipate nitabu, utahangaika wee utaipata kwa tabu. Hela ukimkpoesha mtu kukulipa ni tabu, utadai weee utakuja kulipwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
437 Views
Habari za leo wakuu, mimi ni mgeni hapa Dodoma na kama mjuavyo kesho ni siku ya Christmas na nimepanga kutoka kidogo na watu wangu wa karibu ni sehemu gani tutakapopata chakula kizuri kwa bei...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Heri ya Xmass wana JF! Karibuni tusherehekee xmass japo kwa picha. Share picha za shamra shamra za xmass hapa kutoka popote ulipo, pamoja wana JF.
0 Reactions
3 Replies
974 Views
Watakutana na wale wapenzi wao wa zamani watapasha kiporo kipindi hiki.....we unajua kaenda kusalimia wazazi ndugu na jamaa lakin kaa ukijua kiporo kinapashwa huko brooo amkaaaa
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Nashangaa sikuizi sioni tena zile sms zenu "mara tupo mtaaani kwako tunakupa masaa mawili uwe umelipa kabla hatujakukamata" na zile za kunitangaza kwenye vyombo vya habari eti mimi ni mdaiwa sugu...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Hali ni mbaya leo inasemekena Mbwa zote zimefungiwa Iringa muda huu. Hakuna mbwa inayozurula nje muda huu.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hebu angalieni Askofu anachana live na ukweli si mchezo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
388 Views
Naona kuna mapambio makali snaa ya xmass yanapigwa,hiz shots za hapa samak na huu upako utamatch kwel heb ngoja nijongee kdogo kwenye upako na hil gambe kichwan Ni holiday wakuu na ndo imeanza...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Niliwamisi ndugu katika ,,jamii forum. Mnaendeleaje Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
611 Views
Habari za maandalizi ya sikukuu ya X-mass wakuu na kuukaribisha mwaka mpya 2020, tumwombe mungu atuvushe katika hili.. Kama mnavyojua kuwa serikali kupitia mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA)...
2 Reactions
1 Replies
539 Views
Habari za kuelekea sikukuu ya chirstmas wapendwa!. Leo nipo hapa kuongelea suala la ushamba wa matumizi ya maneno kwa wavulana wa Arusha maana nikisema wanume nitakuwa nmewakosea heshima. hao...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Huyu mtaalamu kama vile kapotea sioni visa na mikasa yake
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mfano: -Tegeta kwa Ndevu -Buza kwa mama K -Tandale kwa Tumbo [emoji16][emoji51][emoji23] Haya twende sasa.......
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Jaman naombeni msaada jinsi ya kubadili laini ya kawaida kuwa ya chuo.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna hawa wadada Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat yaani kila nikitupa jicho humu Jf nawakuta wako Online. Maswali yangu: 1. Hamna waume? 2. Mna stress? 3. Single mothers? 4. Widowers? 5. Mnaishi...
23 Reactions
746 Replies
32K Views
Naanza kwa kumpongeza Raisi wangu mpendwa JPM Kwa utendaji wake yakinifu,hakika Katiba yetu haiko vizuri mkuu alistahili uraisi hata kama si wa milele basi walau mika 25. Napenda kuwahakikishia...
0 Reactions
0 Replies
674 Views
Hapo zamani za kale nilikuwa mtumishi wa Umma nilipata wasaha wa Kufanya KAZI na mlemavu WA viungo yaani alikuwa na tatizo la mguu na alikuwa bosi wangu... Baada ya kutoa maamuzi Kwa mujibu wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jaman yaani meseji za kuombwa hela inbox ni nyingi mno kila nikiwasha data haya wale WENYE ujasiri ndio wanapiga simu kabisa bila woga hali inayopelekea muda mwingi nazima simu na nimebadili laini...
3 Reactions
10 Replies
958 Views
Nimepata safari ya haraka sana nchi ya mbali kidogo, na passport imepotea kama wiki3 zilizopita pamoja na vitambulisho kadhaa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wazee wenzangu Wazeee wa bata Wazeee wa location Tuambiane sehem gani zinabamba kipindi hiki cha sikukuu Bata yako utakulia wapi Mimi leo niko slip way hapa nashangaa watoto wazuri Krismas...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…