ππππIla wanaume bana daah kazi ipo. Yaani hufanya vitu vya ajabu hadi unashangaa, ndipo kale kamsemo kanakosema "Mwanaume ana umri wa miaka 22 anaonekana ana miaka 15 alafu anafanya matendo ya...
Don't put me in your eyes coz I may fell like tears, put me in your heart so that every heart beat reminds you that am there for u...!
With all my love n cares ...!
Heri ya Chrismas na mwaka mpya wapendwa wote na Watanzania kwa ujumla.
Tumuombe Mungu wetu atujalie upendo na amani katika kipindi hiki cha sikukuu.
Ujumbe: Chombo cha moto na pombe ni mauti...
Wadau heshima na iwe kwenu.
Natambua wengi wetu hili zoezi lilitupa uvivu kweli na bado mpo ambao hamjatimiza takwa hili la Serikali, niwahimize tu tujitahidi kutumia hizi siku chache zilizosalia...
Yaweza kuonekana ni story ya kutunga na hata mie nilidhani nataniwa. Lakini ugumu wa maisha ya Mtanzania ulimfanya mtoto wa rafiki yangu around 12yrs aniulize "baba mkubwa mwaka huu Christmas ipo...
Wakuu habari za siku,
Nilipigwa ban kidogo
Naomba kujua nini maana ya jina la hilo eneo?
Au kwa yeyote anayejua maana ya jina Kisauke, maana kuna shule huko Kunduchi inaitwa Kisauke.
Sent...
unamtongoza demu kwa meseji150 na humpati halafu linatokea zee moja na meseji yake moja tu ya tigo pesa linampata
Ndo utakapokumbuka kujaza booklet kwenye mtihani sio kupata A
β
Kwa wale wanaoishi hapo mjini, vpi kuhusu vitambulisho vishaanza kusambazwa/kugawiwa kwenye kata husika kwa wale tuliojiandikia this year?
Kata kama Rahaleo, Chikongola, Likombe, Majengo, Mdenga...
Mshahara utakaotoka mwezi huu ndio huo huo tutakaoutumia Christmas, Mwaka mpya na ndio huo huo tutakaoutumia kununua nguo za shule za watoto madaftari kulipa kodi ya nyumba...ada na n.k...
Wakuu mu hali gani huko mlipo ? Poleni wooote wa mabondeni kwa mvua, hongereni wakulima kwa mvua na wale wooote wanaotafuta uzao hakika hali ya hewa inapendeza. Basi turudi kunako jamvi letu...
Wakuu, Husikeni na somo tajwa hapo juu.
Naona kuelekezwa ama jina la Bar yenye nyama choma na muziki mzuri maeneo ya kuanzia Shekilango kwenda kule Kariakoo (Eneo lolote la Magomeni ama Sinza...
Msaada wa kimawazo masaibu ya dunia hii ni mengi, sijawahi kuwa Furaha hata chembe, ni vioja kila siku.
Sijui nimekosea wapi?..
Nna imani hii Hali sio ya kudumu ni ya kupita tuu.
Yatakwisha...
Wasalaam wajuba kwa fas dwacy apo niaje!!..Hopeful mambo ni OG,
Bas bhana nilipigwa ban ya siku kadhaa hivi,but Tarehe 9 mwezi huu niliposkia Rais Magufuli katoa msamaha kwa wafungwa na kuwaachia...
jamiiforum ni mkusanyiko wa kila aina ya watu, wenye uwezo na wasio na uwezo, GT na wasio GT, etc wote hao wanakamilisha circle ya maisha ya mwanadamu {life}
Kuna watu kazi yao humu nikutufanya...
Hapo nyuma kulikuwepo wimbi la watu wanakopesha hela kwa riba kubwa hadi 30% kwa mwezi. Pamoja na kwamba riba ilikuwa juu lakini mtu ulikuwa unapata pesa faster unatatulia shida yako maisha...
Kuna siku nikiwa na rafiki yangu mmoja (mlevi mwenzangu) tukaingia maeneo ya chuo kikuu kimoja kwa ajili ya kuosha macho hapa na pale. Ghafla kikatokea kifaa kikali upande wangu wa kushoto...