Kuanzia juzi kuna joto kali sana maeneo ya Dar sijui ni mabadiliko ya hali ya hewa au ni nini, wengine mtujuze huko mlipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadada tunapowahitaji katika kipindi kama hiki mjaribu kuitika wito mapema na kama hauji basi toa taarifa mapema ili mtu afanye alternative nyingine siyo tunawasikilizia baadae mida ishaenda...
Najihisi uchovu sana siku ya leo,kutokana na kuwa bize kwenye majukumu ya kila siku.Nadhani ni bora nikatafute huduma ya 'massage' inaweza kunipunguzia stress sizizokuwa za lazima. Wakuu...
Wakuu Habari Zenu, Hebu tukumbushane Majina ambayo ulishawahi kukutana nayo yakatushangaza na kukuchekesha...!
Mi nakumbuka haya Majina
1,Waisare kichogo
2.Ombeni Mtapewa
3,Girigo Mkundukuza...
*Mungu tumuache aitwe Mungu. Jana Dawasco wakajimwambafai wee. Mara ooh kuanzia kesho jiji la Dar es salaam litakumbwa na uhaba wa Maji. Mara mtunze akiba ya maji mliyo nayo majumbani mwenu...
HABARINI WADAU WA JF
Muda sijajikita humu mama mfundaji kutokana na mihangaiko ya hapa napale
Nimewamisije hasa CharmingLady , Khantwe , KakaKiiza , snowhite , Mentor (babalao hahaaa) Mtambuzi ...
Inasemekana kwamba kuku anapotaga mayai yake, endapo yataguswa na maji hata kitone tu.. basi mayai hayo 'yataharibika'.
Kama ni hivyo mbona hata yai lenyewe linapotoka huwa katika hali ya ubichi...
Karibuni wadau.
Nashauri kila mtu aseme nini kinaendelea pahala alipo ili kama ni dharura isaidie kufikisha ujumbe kwa mamlaka husika. na kama ni heri labda unakula supu au mishkaki napo si mbaya...
Salaam wapendwa.
Kila nikipita naona vibao vya fundi maiko vikielekeza shule zetu. Sasa najiuliza yale maneno wanayoweka pale yanawaumbia nini watoto wetu mioyoni mwao? Mie nimesoma shule isiyo na...
Majuzi mke wangu alisema mwanetu kafikisha umri wa kuanza kupewa vyakula laini na pia maziwa, asitegemee sana kifua chake. Basi mzee nikazama Nakumatt pale Pugu road, nikaelekezwa sehemu ya...
Habari zenu,
Naombeni msaada anayejuwa zilipo ofisi za Chama Cha Uzazi na Malezi Bora (UMATI) ofisi kuu anipe maelekezo nafikaje hapo mie nipo Gongo la mboto,, Naombeni msaada nahitaji kufika...
Kuanzia sasa nitakuwa hata nikibeba Chips Waroho ( Wazee wa Kudoea ) hawatoona ndani
Kuanzia sasa hata nikiwa nabeba Bangi / Bange au Unga wa Kulevya ‘ Chawa ‘ hawatonigundua
Kuanzia sasa...
Kuna hali nimeanza kuiona kwa miezi sasa humu ndani. Watoto wazuri wamepungua au mimi ndiye sikutani nao?
Hawaonekani kabisa! Sitaki kuamini wazee mnawakeep saana busy PM hadi humu hawatokei...
Kwa marafiki na jamaa wa JF.
Mwaka 2018 nilipata tatizo la ghafla na kuugua,na pia sikua na uwezo ama kujiaandaa kukabiliana na hill tatizo.kwani nlitoka kwenye kipindi kigumu cha kumuuguza ndugu...
Aman iwe nanyi kuna hawa washikaji kiranga, Likud na mshana. Hawa jamaa baba yao ni mmoja nahis hata mama yao atakuwa ni mmjo sema tu hawajuani
Kwanza sijawah kuwaelewa hata siku moja. Japo...
Hawa wamebarikiwa mikuyenge...
Wee akikushika kunako sita kwa sita atakusonga kama ugali atakupekecha kama mtori au mlenda na atakukanda kama mandazi.
Ukitoka hapo unaeenda kuweka barafu kwenye...
Mitaa ya Malindi na Pub Alberto hamna amsha popo kama zamani, watu hamna kabisa kwenye hizo club siku za weekend; hata Malaya wanaojiuza wako wachache sana, tena waliopo ni wale wenye sura mbaya...