Ni msichana kwa makadilio ni miaka 13-15 akicheza wimbo ya katika wa christian bella, anaonekana ni mwanafunzi shule ya secondary kma sio msingi( amevaa sketi ya blue)
Huyu mtoto kwakweli...
Hivi kwanini
- Ukitoka safarini lazima ununue mkate?
- Inakuaje mgeni ndio alie kwenye sahani ya udongo?
- Eti mtu akitoka dar lazima aje na machungwa
- Chupa ya chai ikivunjika inakuwa ya kuwekea...
Habari zenu wakuu,
Leo nimepatwa na kali ya kufungia mwaka. Ilikuwa majira ya saa 8 hivi mchana baada ya vimvua vya hapa na pale huku nikiwa kwenye kaduka kangu cha vifaa vya umeme maeneo ya...
Habari wanaJF,
Napenda kuuliza wanawake; hivi zile nguo zenu za kukamata ngozi ya mwili wakati wa kuvua huwa kuna mtu anawasaidia kuivuta au mnawezaje kuvua?
Tupunguze Stress kidogo,
Huu ni Uzi maalum kwa Vituko vya 'Wanaume wa Dar'
Kituko Chochote ulichonacho usisite kukiweka hapa..
Mimi ni muwakilishi tu toka 'Umoja wa Wanaume wa Mikoani'
I CAN'T BE SERIOUS ALL THE TIME. IT'S TIME FOR JOKES.
It's time for jokes. I can't post serious topics all the time. I'm half serious, half funny
TEN hilarious quotes that will make your day...
Habari wazee, nipo A town na nategemea kuondoka leo jioni kama nitabahatisha Gari inayoenda Dar, Private. Vipi kuna uwezekano? kwa wataalam Gari kama hizo hupaki wapi hapa mjini
Ni kitambo kidogo sikuwa. Hewani kutokana na sababu anuai za kimaisha(mapambano)
Hivyo ningependa kuwatakia Juma tano njema ndugu zangu wote wa jamii forums
Habari.....,......
Wanjamvi wezangu mliopo katika Jamvi hilii tamuu kabisa nawaslimu sana
Mimi mwanachama mwezenu leo nipo moja ya wilaya maarufu hapa mkoani Arusha Karatu mjini
Kama kuna mwanajamvii yupo on tuonane...
Kama kichwa kinavyoeleza. Nazungumzia Shemeji wa kiume au baba yako wa kambo aliyemuoa mama yako mzazi.
Au mshikaji wako anayetoka na dada yako ukamsaidia viagra au vumbi la congo.
Na wewe una...
Sijui ni upopoma ama ni ushamba. Kila siku watangazaji wanasisitiza unapopiga simu katika kituo cha matangazo, zima radio yako au punguza kabisa sauti. Lakini bado jitu zima na ndevu zake...
Nilikuwa mahali nakula na kufurahia msosi na coca yangu bariidiii, mara akaingia mwanaume kabeba briefcase.
Kwa mwonekano lazima ni mwanasiasa mkubwa au bosi mkubwa mahali maana uvaaji na...
Jamani hii imenichekesha sana jana wakati nimerudi home toka kazini house girl wangu akaniambia eti kuna kijana wa nyumba ile ya jirani kanambia you are very handsome!!!!
Nikamuuliza unaelewa...
Najua wengi tuna malengo ya kumiliki magari lakini shida yetu ni kwamba bado channel za pesa hazijakaa vizuri
kuokoa muda na wakati hatujui kesho yetu unweza ukazima leo paap hujaendesha hata...
Hii itasaidia sana kuongeza space ya abiria wengi kuingia katika gari na itapunguza kasi ya kugombea.
Basi zijazo kwa msaada kidogo waweke kile kiti kirefu kimoja tu cha kukaa wamama, mtoto na...
Amani iwe nanyi Great Thinkers!
Nimejaribu kupost threads kwenye majukwaa mbalimbali lakini nimeshindwa. Sijui kwa nini wakati siku ya kwanza najiunga JF ilikuwa rahisi tu kupost ktk lile jukwaa...