JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
*profesa mmoja aliwaambia wanachuo wake kazi ya udaktari inahitaji vitu viwili ''kutokuwa na kinyaa na umakini'' akaingiza kidole puani mwa maiti kisha akalamba,akawaamuru nao wafanye hvyo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Basii status zao zingekuwa kama hivi MENDE:- "nimekoswa na guu la mama mwenye Nyumba, maisha yangu mashakani, why always me???? " PANYA:- "Jana nimekula sharti la boss linanuka kikwapa ile...
1 Reactions
2 Replies
917 Views
Waungwana habari zenu. Nashida ya kuonana na mtajwa hapo juu Yusuf Said Salim Bakhresa. Nimejaribu njia kadhaa sijafanikiwa. Kama unajua anapoishi itapendeza zaid ukinifahamisha. Namba yake...
1 Reactions
36 Replies
9K Views
Ni wachache sana tunazielewa hizi mambo na utamu wake. Kwa wale ambao magari ni adventurous implement tunaelewana. NAOMBA PORI NIENDE
9 Reactions
43 Replies
5K Views
Kuna haja ya kuongeza saut kweli mabaharia wenzangu au volume iko sawa Bas kama dawa kama kawa Sisi ndo mabaharia na hili ndo genge letu Kitu cha kuzingia baharia popote uwapo, hakikisha...
13 Reactions
262 Replies
31K Views
Wakuu naomba moja kwa moja nieleze mada husika. Mimi ni clinician ambae sina ajira serikalini. Nimepambana na maisha ya private sector kwa kipindi kadhaa hadi sasa, ila kwa sasa nina mambo mawili...
1 Reactions
12 Replies
835 Views
1×1=1 1+1=2 2+2=4 2×2=4 3+3=6 3×3=9 4+4=8 4×4=16 5+5=10 5×5=25 6+6=12 6×6=36. Swali langu 2+2=4 na 2×2=4 ukiangalia vzr majibu yote yanafanana kuliko namba yoyote ile ni kwa Nini zifanane?
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Majina 25 maarufu ya Wapare ya KIUME: 1. Kirimbo 2. Mrisha 3. Kilango, 4. Kitururu, 5. Mkodo, 6. Mshigheni, 7. Mfinanga, 8. Marimbocho, 9. Kimashi, 10. Mkundi 11. Kibacha 12. Sengasu 13...
2 Reactions
39 Replies
15K Views
Habari ya humu wanajukwaa, Kwangu mim kiasi ambacho nitaona nimetoboa kimaisha ni milioni 30 na kuendelea.
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Heshima kwenu. Kwa wenyeji wa Dodoma, mgeni nipo hapa. Naomba kufahamiswa namna ya kufika mji mpya wa serikali - Mtumba kutokea maeneo ya Sabasaba hapa, kujua umbali na aina ya usafiri ulio...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Wadau habari zenu. Mimi ndio nimetoka leo jela baada ya kumaliza kifungo changu. Mnamo mwaka jana mwezi wa 7 nilihukumiwa kwenda jela miaka 2 kwa kosa langu la kuiba hela kiasi cha milioni 17 kwa...
9 Reactions
25 Replies
3K Views
kipindi hiko mimi binafsi ndio nimekuwa mkubwa (darasa la sita) nilikuwa namng'ang'ania mzee anipeleke baada ya kuona washikaji zangu wote wameshakatwa.. Basi siku tu mzee akanambia twende...
9 Reactions
60 Replies
6K Views
Hivi mnaona raha gani njia nzima mko watu nane tu, all the way from US to Dar? Mimi nina mabegi mawili na mkoba, stuli na coffee table msiniache. Nilikuja Canada kujaribu maisha naona mambo hayaendi.
3 Reactions
4 Replies
886 Views
Get A Croachet Gaun Special for Childrens under 5yrs Now available with 20% Discount price Start from Tsh.30 000/= up to Tsh.45 000/= Contact us: Mobile nõ/WhatsApp/Telegram:+255 621 335 929...
0 Reactions
0 Replies
524 Views
Mi nisema hichi kinywaji kina siri nzito sana, japo watu wengi hawafahamu. Nitatoa sifa chache za hichi kinywaji Kwanza kabisa katika eneo ambalo wamekaa wanywa kahawa huwa kahawa inamfanya mtu...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Mimi kama mtafiti mkuu wa masuala ya mitafunano na mahusiano yasiyokuwa rasmi baina ya mwanamke na mwanaume natangaza rasmi ukimwi haupo tena Tanzania ya viwanda. Katika awamu hii ya tano ya...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Mnawauzia vijana winter boots za kike mkiwadanganya kuwa ni Travolta.
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Likizo time Tujadili Mambo Mambo ya nyumbani Vyakula,sabuni nzuri za chooni,kufulia ,kuogea etc Dawa za meno Sex Watoto Mambo ya sokoni Kila kitu Uliza chochote au shauri chochote .
14 Reactions
215 Replies
11K Views
Dear graduate, muda si mrefu mpenzi wako atakuambia kuwa hauna future. So usipagawe wala usichachawe. Tafuta mabloo wakushauri.
1 Reactions
5 Replies
997 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…