Namshukuru sana M/MUNGU mwingi wa rehma na baraka kwa kuniwezesha kufikia leo tarehe ambayo kwa uwezo wake nilikuja dunia shukran za dhati ziende kwa wzazi wangu wawili............Wallah nina...
Mi nashauri jf management wawe wanatoa zawadi kila mwaka kwa member ambaye amepost thead ambazo zimepata wachangiaji wengi. Mfano thread zako nyingi ziwe zinachangiwa na member kuanzia 150+ sio...
1.bodaboda-hawa bangi na viroba huenda vinawapeleka mbio
2.bajaj-hawa nao kama bodaboda tu
3.daladala-hawa nao bangi na viroba vinawakimbiza kusaka hesabu
4.Subaru,Altezza-wazee wa ligi na kelele...
Ni usiku ambao nimejilaza kitandani natafakari ndugu yangu wewe jinsi ambavyo tumekutana humu JF miaka kadhaa iliyopita. Sikudhani kama ingetokea tukakutana na kuwa washirika wakubwa wenye...
Bila kupoteza wakati twende kwa pamoja kwenye mada.
Jana nimefanikiwa kulala na kumshughulisha demu mmoja kutoka Dar zoezi ambalo limefanyika huku pembezoni mwa Nchi.
Ilikuwa kimasihala Sana...
Habarini ndugu zangu wana JamiiForums, matumaini yangu mu wazima wa afya tele.
Nisiwachoshe niende kwenye mada moja kwa moja
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, nimemaliza chuo kikuu mwaka...
Salute,
Hivi watu wanayofautiana kuwa na ndoto mbalimbali, malengo na mipango sasa katika mambo hayo kuna kitu kinaitwa role model yaani mtu ambaye umemchagua kama mfano kwenye maisha yako...
Moja ya Kazi yangu nyingine ni ya ‘ Ukomedi ‘ lakini ambao unawasilisha jambo fulani mtambuka ( lililotokea punde ) nikiwa na nia ya Kuwaburudisha Wasomaji wangu lakini pia Kuwaonyesha Wahusika...
Sikuwahi kuwa interested na kazi za usiku ni vile tu upepo wa maisha ndo umenifanya nijikute nipo huku na kadri siku zinavyoenda najikuta naanza kuenjoy kufanya kazi usiku na yote haya ni kwa...
1. Viatu huisha upande mmoja
2. Lazima awe shabiki wa _*YANGA*_
3. Hunywea maji kwenye jagi hata kama kuna glass au kikombe
4. Kupenda kuvaa suruali zenye rangi ya kung'aa.
5. Kufungua soda...
Salama
Jamiiforums Ni Mtandao Mkubwa Sana Si Tu Hapa Tanzania Bali Duniani Kote Ukiwa Chanzo Cha Kapata Habari Na Matukio Mbalimbali.
Jambo Kubwa Sana Na Linalonifurahisha Ni Tukio Ama Kauli...
Namshukuru Mungu kwa neema na upendo wake kwangu hadi siku ya leo. Naamini ataniweka Hai hadi kuona watoto wa watoto wangu na baraka nyingine nyingi zaidi. Nitafurahi kupata neno la faraja na...
Jana usiku nilikuwa na jopo la madaktari bingwa waliobobea kwenye masuala ya tafiti hasa lishe ,afya na uzazi.
Miongoni mwa madaktari niliokuwa nao Ni njiwa, Dr. Bujibuji, Mwifwa, Ritz, Mshana...