JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kabla ya Tukio Nilikuwa nimetoka safarini.. Uchovu na kulimiss jiji la Dar ilibid nipitilize katka moja ya Beach maarufu hapa Dar.. Ilikuwa mida ya saa 11 jioni.. Siku ya jumatano.. Watu hawakuwa...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
Achana na hizo kapeti za mita elfu 7,kapeti zipi nzuri zinazopendeza kukaa gheto, Yaani ile mtu akiingia gheto Aone kuna utofauti ajishuku ata kuingia na soksi miguuni. Kesho nina mpango wa...
5 Reactions
11 Replies
6K Views
Sijui kama ipo tayari tujuzane ila mimi naona inahitajika baada ya kupata usumbufu wa kutosha. Ipo mashine ya chapati, maandazi, mikate, kukanda unga nk. Kama ipo ningependa kujua inapatikana wapi.
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani kazi ni utumwa, maisha yako utayafurahia lini? Nimekuwa mtumwa kwa miaka miwili kwa ujira kiduchu; kila kukicha kukimbizana kusaka mkate kwa imani kuwa itakuja siku nipate nafuu ya maisha...
8 Reactions
50 Replies
3K Views
Jmn mm nauliza kama kuna mtanzania anayeishi mji wa stavanger ama pembeni ya mji wa stavanger Norway. Ningependa tufahamiane (:
1 Reactions
2 Replies
607 Views
Kumekuwepo na ubishi mkubwa kati ya haya mabasi KIDIA ONE EXPRESS , EXTRA LUXURY COACH, BM COACH na Mengine kama wasindikizani. Ubishi wenyewe umejikita hasa katika ni BASI GANI LINAKIMBIA SANA...
6 Reactions
118 Replies
13K Views
Wazazi wa zamani wasiosoma waliweza kuzaa maprofesa. Kwanini wazazi wa sasa, wote wana masters lakini wanazaa mateja? Shida nini?? Cc Kingsmann
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Baada ya kusomeshwa from primary mpaka chuo bila kujua mzee ana kazi gani Mzee alikuwa mtu wa safari sana na aliniambia zilikuwa safari za makampuni kama UNDP n.k Lakini hii likizo nimejaribu...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Hi everyone in here, Naombe kujuzwa wapi Masinagogi ya Wayahudi yanapatikana kwa hapa Dar es Salaam. Natanguliza shukrani zangu. Jambo Tanzania.
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Siku ya Ijumaa nilikuwa nasafiri kutoka Tanga kuja Dar. Naombeni aliyeshuka na begi langu anisaidie maana mimi nimetunza la kwake. Atakae pata taarifa zozote, ni-PM please.
0 Reactions
3 Replies
779 Views
Huyu hapaa... [emoji1541][emoji1541] Wewe ni yupii??
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini za asubuh wakuu. Tukumbuke nyuma kidogo. Nakumbuka mara yangu ya kwanza kumiliki simu ilikua mwaka 1999 nilikua mwanza nikiwa kwenye daladala mara pap naona simu kwenye siti tulivyofika...
0 Reactions
43 Replies
3K Views
ROMA KAJA KIVINGINE, NI BALAAA Yaani nyimbo ya roma ukiisikia tu, lazima uanze kutaja degree zako taka usitake.huyo ndio roma.
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna mjadala unaoendelea hivi sasa katika radio kwa vijana wenye umri kuanzia miaka 30 kuhusu mambo muhimu wanayotakiwa kuyatimiza katika kipindi cha miaka 30 hadi kufika 35. Kila mtu anazungumza...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Swali limeisha hilo. Kama imeshakutokea, au ikitokea.... utachukuliaje..? Let alone the so called public figures au verifaidi yuzas...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hakika ubahili na uchoyo ni directly proportional.... [emoji119][emoji119][emoji119]
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Anaejua tafsiri ya ndoto hii anipe. Leo nimeota mtu wangu kajifungua watoto watatu, wa kike wawili wakapotea nikabaki na mmoja wa kiume ambaye nikampa jina la Ibrahim. Yeye alivyozaliwa tu, muda...
0 Reactions
7 Replies
577 Views
Nashindwa hata kuongea yani..
0 Reactions
3 Replies
960 Views
Sisi binadamu ni viumbe dhaifu na wasahaulifu, na kuna maamuzi mabaya uwa tunayachukua kwa hasira na hisia hivyo kupelekea kuumiza wenzetu. Nipo kwenye group la WhatsApp ambapo hivi karibuni...
0 Reactions
0 Replies
536 Views
Naam kama ilivyo ada Leo kichenza nimeamua kujianika na kujieleza kwa undani mimi ni nani kwa wasio nifahamu.. Jina halisi naitwa kichenza kichenzule Ni muhitimu wa Harvard university nimesomea...
0 Reactions
12 Replies
832 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…