Wakuu mambo vp
Mimi nimefungua akaunti mpya ya jamiiforums kutokana ile ya kwanza kuwa maarufu sana hadi nakosa uhuru.
Hi akaunti ya sasa ni mpya kabisa wala sijulikani naenjoy maisha ya jf
Kuna...
Habari wakuu
Kama heading ilivyo hapo juu embu tuambiane wewe unalimia meno kwa mtindo gani.
Mimi na jua hili kali na joto kama New Delhi nalimia meno kwnye maeneo haya ya kimaisha, (masomo...
Jana nilisoma nakala moja kwenye gazeti kuhusu ulaji wa nyama ya kitimoto na mazara yake!!na mimi nilikuwa mgumu wa kuamini hilo!!sasa leo nimeamua kuchukua maamuzi magumu!!kuanzia leo!!sitakaa...
Ndipo rubani akatoa taarifa kwamba ndege imepata hitilafu na itadondoka baada ya dakika 10. Ndani ya ndege kulikuwa na watu watano Lakini maparashuti yalikuwa manne tu. Watu hao ni mchungaji...
Sifa zake:
- Nataka isiwe ndefu sana.
- Main character wasiwe wengi sana
- Then hiyo action series ikiwa na drama ndani yaye itakua poa zaidi.
Wale wakongwe wa kuangalia hizi vitu naomba...
Yaani imekuwa kinyume nyume[emoji16][emoji16]mambo mengi mno na ndiyo kwanza hata nusu ya novemba bado.
I'm sore...nilisahau kusalimia wananzengo.
Mambo yalianzia huko Tunduru jamaa akaona isiwe...
Yaani imenibidi nikanunue dagaa mchele nirumangie na ugali wangu;
Hii ni baada ya kunyunyizia chumvi kiduchu tu lakini nimeharibu mboga yangu hivi hivi imebidi nikamwage.
Yani unaends bar , mhudumu anakuomba bia unaruhusu apewe, matokeo yako atajizungusha wee.....kinywaji asinywe na anasuka mpango kaunta wanampa hela baada ya kile kinywaji..
Wanaboa sana,,,,kutuona...
Unasema basi hebu leo uache usafiri wako binafsi upande public transport.
Unachokuta huko ni zaidi ya masikitiko, ama kweli umasikini ukikutafuna na ukaukubali basi hata mawazo yako, ubongo wako...
Habari wana Jf kwa ujumla, nadhani mko salama na mnaendelea vizuri na majukumu yenu.
Kama ilivyokawaida ya wanajumuiya iishiyo pamoja kunakuwa na mambo ya kukutana, kufahamiana na kufanya...
WanaJF, habari za siku? Maisha yenu yanaendaje?
Basi kwa kifupi mliopo Mwanza
msituogope tuonane tunakuja huko kwa shughuli ya sherehe maarufu na muhimu kabisa ya Uhuru wa nchi yetu tulishazoea...
Siamini kama CUTE love aliipokea ile 7800
Siamini kama Liverpool anaeza chukua ubingwa msimu huu
Siamini kama uchaguzi wa mwaka huu utakua wa Uhuru na haki
Siamini sana kama kweli Kiranga haioni...
Heloo
it's another year,another day.. Nimefanikiwa kuongeza mwaka mmoja kwenye umri nilioishi hapa duniani!
Not sure kama nimefanikisha kufika huu umri, kiukweli ni umri niliotamani kuufika..My...
Nadhani wapo wenzangu kama mimi ambao twajiuliza Twitter ina kitu gani unique kwa watu mashuhuri (watu sensational)
Achana na akina Gigy Money na Instagram. Mfano akina Trump, Zitto Kabwe na...
Mimi ni nabii lakini situmii supernatual powers zozote bali natumia tools kama logical deductions from comparative observations, akili ya kuzaliawa na commom sense.
Straight to the title...
Binafsi kuna wadudu au wanyama ambao siwapendi na siwezi hata wagusa hata ukinambia wamekufa.
Nimewaza chukulia mfano unatakiwa kuishi kwenye sehemu ambayo ni makazi ya kudumu ya viumbe hawa:
1...