VICHWA VYA HABARI MIAKA MITANO IJAYO NA KUENDELEA ...
TBC HABARI 2020: Ndugu Edward Lowassa aapishwa kuwa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwa rais wa kwanza kuongoza nchi hii kutoka...
Wapendwa leo kuna tukio la kuhuzunisha limenitokea. Nilikuwa nimesimama maeneo ya michenzan nikisubiri gari, ghafla nikamuona mama mtu mzima analia kwa sauti kubwa, mda huo huo nilikuwa nimeshika...
Waasalam;
jana ilikuwa zamu yetu/me kufunguka. Uzi ulinoga kinoma. Leo ni zamu ya wanawake kufunua mioyo yao kuwataja wawavutiao . Sijui ile fomular ya "if you do me I do you" itachukua nafasi...
Mti huu nimetaka kuupanda lakini kuna watu kama watatu wanasema mti huo una uhusiano na masuala ya ushirikina kwamba husababisha matatizo ya uzazi ktk family. Tuache uchawi ktk utunzaji mazingira...
Hapa ni kwa madon tu ukiona kipato chako ni chini ya milioni moja fanya kupita hivi Nenda kule kwa Makapuku Forum
Nb.
Msione uzi unaenda mdogo mdogo ni kwa sababu mamilionea huwa tuko bizy sana...
Hii hali huwa inanishangaza sana na nashindwa niitatue vipi.. ushakutana na hali kwamba kila mahali watu wengi wanakuwa kinyume na wewe hata kama hujawahi kuwakosea!.. unaweza ukakuta labda ni...
Mpenzi msomaji jaribu kufatilia wimbo huo mpya ulioimbwa na Mh Temba unaokwenda kwa jina la mtaalam wa Dar kuanzia kiitikio mpaka Verses ameimbwa RC Makonda!
Nimeipenda aina ya uwasilishwaji wa...
Wakuu hivi ni sawa kweli mwanaume kumtawaza mtoto hasa mtoto wa kiume?
Yani ushike kalio la mwanaume mwenzako kweli? Ushike ile anal ya mwanaume mwenzako kweli?
Hii haipo sawa kabisa akina mama...
TAIFA STARS YAPOKONYWA USHINDI DHIDI YA UGANDA NA KUKOSA NAFASI YA AFCON
CAIRO MISRI
Timu ya soka ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imepokonywa ushindi dhidi ya Uganda katika mechi yao ya...
Baada ya kutangaza vinywaji vyote nusu bei kwa masaa sita watu hawakulala kutafuta fulsa
Nashuri siku nyingine aseme mchele na unga nusu bei maana si kwa kujimwagia huku
Sent using Jamii...
Jamani naomba msaada wa kuielewa historia ya siku hii ya trh 1 April; inayohitwa ya wajinga duniani. Nini hasa ilikuwa lengo la uanzishwaji wake. Nimesikia na kukutana na msg ambazo siyo tu za...
Ever since I met,I've become the part my of life,friend the closest one...I never thought I will have a great time,happy and comfortability whenever were a together via phone or any means...