JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
11 Reactions
7 Replies
1K Views
Salute, Tunajua kuna sayari tisa, Mercury hadi Pluto. Miongoni mwa hizo dunia ikiwa ya Tatu. Hizo sayari mbili kabla ya dunia zipo chini ya ardhi? Au ni uongo tu tunaousoma kwenye geography...
1 Reactions
29 Replies
8K Views
Leo nikiwa katika harakati zangu, Ghafla katokea mtoto mwanafunzi wa shule ya msingi, Nadhan ndio yupo darasa la kwanza. Wakati wanacheza akaanza kuimba wimbo wa TAIFA. kanikumbusha mbali nina...
0 Reactions
8 Replies
962 Views
wana jf kama kichwa kinavojieleza apoa juu, ni nin tofauti kati ya ndoto na malengo, na kipi kati hivi viwili tufwate ili tuweze kufanikiwa katika maisha.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau poleni na majukumu, kama kichwa kinavojieleza apo juu ni kwann ndoa za miaka ya sasa watu wanafunga ndoa kwa mbwembe afu zinawah kuvunjika ,unakuta mazawaid kibao afu mwisho wa sik miez...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Samahani naulizia ni sehemu gani Arusha ninaweza kupata watu ambao wataniwekea nembo kwenye T-Shirts na Bags. Nataka kwenye T-Shirts nembo ziwekwe kwa njia ya nyuzi na maneno...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Hivi wachina wanawadhatau waafrika au? Angalia alichoonyeshwa na alichotumiwa hahahaa Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Nuhu aliwezaje kupata tenda ya kujenga safina bila zabuni kutangazwa!!?? Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
11 Replies
2K Views
1. Hila ya kikwapa, kunuka pasipo kidonda. 2. Elfu huanza na moja. 3. Achanikaye kwa mpini, hafi njaa. 4. Wakati wa hatari, mguu niponye. 5. Aendaye kwa mganga, hakosi jambo. 6. Bahiri hali mali...
2 Reactions
9 Replies
9K Views
Majira ya saa 10 jioni mjomba wangu akiwa ndani daradara maeneo ya mbezi beach aliibiwa simu aina ya Iphone .... lakini baada ya kuifuatilia kupitia find my i phone simu inaonyesha mpaka chumba...
13 Reactions
96 Replies
12K Views
Mambo vipi wana Jf Nipo hapa Dodoma "CHAKO NI CHAKO" Kama kuna member ambae yupo karibu na hii Bar au popote pale hapa Dodoma town. Naomba uje tunywe,tule na tufurahie maisha kwa hisani yangu...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau habari zenu. Twende moja kwa moja kwenye mada. Huyu Gentamycine amekuwa mwandishi mahiri huku JF mwenye hoja motomoto. Lakini pia hatabiriki vizuri na vigumu kumuelewa msimamo wake kwa...
9 Reactions
181 Replies
15K Views
life ni gumu aiseee mpaka naacheka mwenyewe yaan, moja haikai mbili haikai nikiangalia sim yangu niingie upande wa contact naona hamna mwenye msaada kwangu naishia tu kufuta majina ivi wandugu...
12 Reactions
74 Replies
7K Views
Nimepita Facebook huko nimecheka sana kwa comment hii Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Tupe experience yako, Jambo gani la hovyo ulishawahi kufanya sababu ya mapenzi! Mimi nilishawahi kutoka saa sita usiku kwenda kumkiss babe, tena njia inapita makaburini, sijui ujasiri nilikua...
2 Reactions
3 Replies
872 Views
Kama nilivyoelezea mwite mdada yeyote unaemtaka humu Jf akiitika tu mfanooo Shunie akasema yes mr au yes mkuu basi Zama PM ukamalizane nae. Yaani huo mwitikio ni kama Ruksa ya kuzama Pm yake...
7 Reactions
2K Replies
53K Views
Singida Kigoma Rukwa Songea Mtwara Mara Shinyanga Katavi Pemba Nb:except wazawa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
17 Replies
2K Views
atajwe hapa ili asirudie tena hiyo tabia mbaya,mi naanza na.........
0 Reactions
2 Replies
825 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…