Habari wakuu,
Mimi naomba kuuliza huu wimbo unaotrend sana kwenye social media ambao watu wanaanguka kama wanazimia ni msanii gani kaimba?
Nimejaribu kusikiliza kwa makini sana lakini nashindwa...
Salam salaam!!! I hope yu wazima wa afya tena bukheri kabisa, nimejikuta nikiwa nacheka peke yangu baada ya kukumbuka UONGO au Stories nilizokua nadanganywa na baba ili anijenge kijana wake kifkra...
Wale wenzangu wanaotumia usafiri wa Uma watanielewa kuhusu hili,
Hakuna kero kama kukaa siti moja na mtu mnene(bonge) kwenye dala dala,maana siti yote utakuta kaenea yeye tu mpaka kwenye siti...
1. Chukua computer yako. Fungua program inaitwa Microsoft Word.
2. Chapisha neno, 'Makalio' kwenye hiyo program uliyoifungua.
3. Highlight neno ulilochapisha kwenye kibao cha Word.
4. Nenda juu...
Wakuu Habari za siku,
Natumai kuna watu hapa wana ujuzi na mambo ya saa, vipi naweza kupata wapi saa ya bei nafuu isiyochuja rangi, sichagui rangi.. ilimradi isichuje tu rangi!
Divine Khan
Is Man A Genetic Defect Of A Woman?
This Video is about the Best Kept secret, that is, the true Goddess is The Mother. We as Etheric or spiritual beings, existed before gender or the creation of...
Naanza na Mimi hapa;
Umwana atabwigwa,ubwigwa na masomo utukula=maana yake mtoto asiposikia,atasikia na macho yakiwa mekundu au akiwa analia na kutoa machozi baada ya viboko.
Mimi binafsi naanza na dar es salaam ...
awa watu ujifanya wajanja sana but ki reality ni washamba sana kila kitu wana vunga wanajua ....[emoji41]bila kujua si wa mikoani uwa tuna wakaushia
Sasa...
Katika maneno ambayo huwa naogopa hata kuyawaza Ni hii kusema mshahara wa dhambi Ni kifo.hivi walifikiria Nini wahenga wetu mpaka wakatunga haya maandishi ambayo Mimi sometimes yananifanya...
Daby Asprin Shunie Numbisa @mondray DJ Sepetu @jovitha mdada fulani hivi mstarabu nimemsahau jina STUNTER na wifi yangu jje's Mshana Jr bebe rafiki Behaviourist
Na wengine wote...nawapenda sana
Pamoja kwamba kila mtu anadizaini yake ya kucheka naamini kuna uandishi flani ambao ni conventional wa kuandika kicheko. Wanafasihi tafadhali nijulisheni namna ya kuandika kicheko kwa usahihi, hua...
*Soko la korosho lipo hapahapa nchini, ni kumpanga tu daktari mmoja aeleze kuwa korosho zinaongeza nguvu za kiume, hakya nani korosho zote zitanunuliwa na wanaume wa Dar*[emoji38][emoji16]...
Hii ni kiko ya Wanyaturu inaitwa "IFUNDE" ambayo ni mchanganyiko wa Tumbaku na Uwele au Mtama. Lina heshima yake, wanapewa wageni (hasa wakwe) au wakienda kuhani msiba. Wanasema 'kupiga Sayuu' na...
Wakuu,
Najua tunamambo mengi yakujadili.
Lakini tuki-base nayo sana tutadata, mana nji hii kil aasubuh kuna jipya.
Uzi huu ni moto wa mabua,
(Short life thread)
Tujuzane tu ID za females...