JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimestuka kidogo nilipokwenda kibaha kutembea kwa ndugu yangu, kitu ambacho kimenishangaza kumezagaa vimashine vya kucheza kamali sijapata ona. Yaaan kila kwenye frem tatu lazima kiwepo, harafu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu. Kuna simu nataka kuinunua mkononi tu mwa mtu maeneo ya kariakoo Naomba ushauri wenu wadhoefu wa haya mambo.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Shop now πŸ‘‡πŸ‘‡in our online shop to get a big discount and free shipping Shop now πŸ‘‡πŸ‘‡ www.u-bay6.com
0 Reactions
6 Replies
639 Views
Kama kuna Mkoa ambao tokea Uhuru hadi hivi leo huwa hauna Vitendo vya Kishirikina / Uchawi na hata Makabila mengi yanayopatikana huko hayana haya ' mauzauza ' kwakuwa ' Kiasili ' ni Wacha Mungu...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kati ya story ninazopenda kusikia ni za majipu yaliyotumbuliwa. Hupenda kusikia walikua wapi, wanafanya nini na na taarifa waliipokeaji zaidi hupenda story hizo ziambatae na ka clip. Na kabla...
0 Reactions
6 Replies
863 Views
Nachukulia kisa hiki PaleKarne ya Sita Papa Aliyejulikana kwa Jina la Mercurus alipobadili Jina lake na Kujiita Yohana wa II Hii ni baada ya kuaminika Mercurus alikuwa ni Mungu wa Kipagani wa...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Tuwe wakweli kabisa, ni kitu gani au jambo gani umekuwa mlevi nalo, kiasi kwamba haipiti hata dakika moja ushalitamka au kulishika na mara nyingine huwezi kufanya jambo fulani hadi hicho kitu...
37 Reactions
271 Replies
15K Views
Huu mgomo wa magari jana uliathiri wakina Dada sana . Mmoja alitaka kupanda kwenye Gari na kukutana na kondakta mlangoni. Kondakta. Hai bebi Dada. Hi niambie Kondakta. Hai bebi Dada. We konda vip...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Tuambiane tu ukweli, hamwonekani hali zimebana vifurushi haviungiki? mfano kina nanii wapo wapi? Tusalimianeni bhana.
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Habari. Hii hali inanipa shida sana hasa baada ya kujiita mkia. Nimeamua leo kujitoa katika jina hili. So naombeni msaada wa kubadili jina na mnichagulie jina zuri lenye Mwanga
1 Reactions
7 Replies
962 Views
eti jamani samaki hana mapezi?
0 Reactions
6 Replies
655 Views
TANGA Kuzuri Jamani, Watoto Wasafi, Wakarimu, Wananukia Uturi Muda Wote, Lungha Laini, Sitamani Hata Kurudi Nyumbani.
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndio Maisha yanaenda Kasi sana, Baada ya kupata Chakula cha jioni niliona ni vema kwenda club moja apa kitaa.. Mpaka kufika mida ya saa sita usiku huu nilikuwa nimelewa kispoti.. Kidogo mbele ya...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari ya muda huu.., Niende moja kwa moja kwenye mada, leo nimejaribu kuingia jukwaa la Great thinkers asee ila cha ajabu nimekatazwa kureply thread flani hivi nilioikuta huko na kuja kucheki...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Hapa kwenye mwanzo 3 tumepaelewa.. atueleze vzr aliwaambia nini khs hela
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Kipindi cha kampeni kinakaribia. Katika kipindi hiki nchi inakuwa pepo ndogo. Shida zinasikilizwa na ahadi kutolewa. Achana na zile shida kubwa kama ujenzi wa zahanati, maji, umeme barabara na...
2 Reactions
5 Replies
857 Views
Upo umetulia zako sehemu Mara kwenye simu ukasikia ujumbe ume ingia Una angalia unakuta ujumbe unasema imethibitishwa umepokea kiasi cha Tsh 307,000 namba iliyo kutumia ni ngeni huku mfukoni...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
katika hali isiyokuwa ya kawaida mbunge zitoo kaibua madudu washa bungeni wakati alipofungua kijibegi kidogo ambacho huwa ni kawaida yake kukifungua kila anapokuwa anataka kurefer kanuni au...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Imefika wakati nawaza labda tulizaliwa mapacha. Kipindi niko mdogo shule ya msingi jioni nkiwa na wenzangu nyumbani tunachota maji binti mmoja wa rika langu akanisogelea akaniuliza habari...
3 Reactions
118 Replies
6K Views
Habari iliyopo ni kwamba "Vichwa vitatu vimekutwa kwenye begi, Hii imetokea hapa maeneo ya Kurutumbi leo. wasichana wawili walichukua tax toka Kurutumbi kuelekea kituo cha basi,wakiwa njiani...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…