JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Na mimi nimeamua kumuweka future husband wangu nisije nikaibiwa bure. Mkae mjuwe huyu ndio future husband wangu. Nampenda kuliko navopenda uhai wangu 💕💕
5 Reactions
94 Replies
6K Views
Moja...kukukatia tiketi ya Ndege,hamna mdada wa kisasa atakaekataa kupanda dreamliner kukufuata popote,kama upo Kahama(mji wa starehe, unamuomba muende Mwanza kwa Ndege usiende mbali kuokoa...
3 Reactions
47 Replies
9K Views
Kwa mfano ukiwa umezoea kupiga pull kila siku utaona fresh tu machine inasimama every time ukitaka kujilipua japo maumivu ya viungo kwa mbali na uvivu uvivu utakusumbua ila mashine inasimama poa...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Breaking: Mabehewa ya Treni Yaanguka Morogoro Udaku Special · 4 minutes ago Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, mabehewa mawili ya treni ya mizigo ya Shirika la Reli Tanzania (TRL)...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jamaniii mpoo humu ndani
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Onyo: story inahusu wakati uliopita kabla sijawa na kalumanzila. Niwaambie kitu ni kweli mtu anaweza kukuzimikia ile deep kabisa wakati wala hajui hata sura yako. Hata mimi nimeshawahi vutiwa...
13 Reactions
214 Replies
11K Views
Habari! Wadau ebu tujikumbushe miaka hiyo wakati NECTA inaitwa NECTA, wakati form four ilikuwa sio kitoto kutoboa, unaingia kwenye chumba cha mtihani pepa imesimama mpaka unaogopa. Wewe...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Sitafuti mwanaume wakuoa wakampani kama uko arusha nitakuwa ninastress sana kwa sababu ya mitihani if so natafuta kampani ila arusha ndio advantage kabisa. Just company for a company. Kama mimi...
3 Reactions
156 Replies
9K Views
Kuna baadhi ya kazi wanazofanya wanaume zinawapelekea kuharibika kisaikolojia hasa mambo ya mapenzi wanakuwa kama machizi. 1.ASKARI MAGEREZA NA FD4CE -Matapeli Wa mapenzi -Waongoo -Wabahili...
9 Reactions
140 Replies
8K Views
Mnamo mwezi wa sita nilipata nafasi ya kupima HIV na mpenzi wangu ila majibu yetu yalikuwa Negative kwa mujibu wa kipimo cha Sd bioline, mwezi mmoja kabla nilikuwa nikisumbuliwa na homa na kupata...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimeshuhudia live maeneo ya Riverside ubungo tukio la kuchekesha Sana.kuna abiria mwanamama kashushwa na bodaboda Sasa alikuwa kavaa helment Sasa alivyoshuka akasahau kuvua helment akampa bodaboda...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Hapa ni kumruhusu akalie mashine. Yani atafurahia hadi basi. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
16 Replies
14K Views
Masela, Hivi pale Mlimani city kuna upako gani kila anayefika pale automatic tu anaongea kiingereza au ni mimi tu ndo nimeyaona haya?
6 Reactions
45 Replies
3K Views
Sote tunajua tutakufa lakini kwa Hali ya Sasa hivi nyakati hizi za mwisho wa mfumo huu wa mambo tumeshuhudia vijana wakifa na wakizikwa na mama zao au baba zao tofauti na zamani.mimi kwa imani...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
4 Reactions
47 Replies
3K Views
Giza lina mengi jamani ! Nilikua najiuliza ni vip vichaa wanapata mimba, sikuwahi pata jibu sahihi Hatimae Leo dakika chache zilizopita majira ya saa 01.40 nimeshuhudia kwa macho yangu mawili...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Hii nime copy na kupaste: Mvulana mwanafunzi alimwambia baba yake kuwa siku hiyo alikuwa anajisikia kuumwa hivyo hawezi kwenda shule. Baba akamwambia poa apumzike. Baba kazi yake ni Bodaboda...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Ahahahaha!!!!
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mmoja anamwambia mwenzie kwamba uje kukata mauno kwenye show yangu hatujui alikua anamanisha au kejeli ..jamaa akajibu nashukuru sana kwa presentation yako .. Ila tuingie makubaliano (am not...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…