Habari zenu wakuu, hivi unachukuliaje anapokuja ndugu yako kukutembelea kisha anaanza kuulizia bei ya kila kitu anachokiona ndani, uwe na TV utaulizwa bei yake...uwe na friji utaulizwa bei...
kichwa cha habari hapo juu cha husika sibagui dini wala kabira kikubwa mapenzi ya dhati na kuwa tayari kuishi na mm kimaisha na kipato changu ni cha kawaida milo yote mitatu na imudu bila wasiwasi
Siyo kila mzee amejaliwa busara kuna wazee wengine vyatu kweli kweli kuliko ata uvyatu wa wale vijana wavuta bangi,
Usiombe ukutane na zee fyatu yaani utacheka ufe au utatamani tu huwe unamuona...
Miezi mitatu niliiona kama mwaka ilikuwa ni majanga tena si ya nchi hii
1-Kipindi mafunzo yanaanza ilikuwa tizi la kukimbia umbali mrefu sana,nilikimbia nikachoka sana pumzi ilinizidia nikazima...
Kwanza nimewamiss....tenaa saaana ila majukumu ndo yananipeleka resiiiiiiii balaaaa ukizigatia na wanaume wenyewe hawatoi hela basi lazima mwanamke nitafute mkwanja wangu hata nikiamuaa kutongoza...
Aman iwe juu yenu
Jambo limezua mambo, mdogo mdogo had yamefika ulaya
Jionee mwenyewe maandamano makubwa ya kutisha America na ulaya juu ya konk master.
Wakati huo huo konk master amemlipua...
ACHANA NAO
______________
Nilimtembelea rafiki yangu Mlengule nyumbani kwake, Mke wake akatutengea wali kwenye sahani zilizojaa minyama kibao!
Ajabu ni kwamba sahani za watoto wake zilikuwa...
Kama kawa sisi ndo tunanunua mazao ya wapagazi wetu walioko mashambani na korosho tumewagomea sasa nyie Si vidume haya mzivundike...
Tujipongeze wanaume wa dar
Kuna usemi nausikia unasema 'Usipotaka mabadiliko, mabadiliko yatakutaka wewe' kwahiyo maswala ya Uber na Taxify yalipojiri kwa sisi madereva bodaboda sikua na budi kujiunga na mojawapo.
Uber...
habarini wakuu natumaini ni wazima wa afya kabisa
leo nko na swali moja kwa wanachaputa wezangu
nini huwa mnawaza baada ya kufaninikisha zoezi barikiwa la kujilipua?
mi huwa inafika stage...
Jandoni tulifundishwa mwanamke akiachwa anadaiwa watoto tu basi. Chuni, dela,kitenge au mkufu uliomnunulia karume huu unamwachia.
Kwenye vizawadi kuna kinadada nao huwa wanajitutumua anakununulia...
Hapa tutakuwa tunaandika Namba kuanzia 1 na kuendelea,
Unachotakiwa kufanya ni kuendelea kuandika namba kutoka namba uliyoiona kutoka juu,
Mfano kama ni 1 basi we andika 2 na kuendelea vivyo...
Ipo michango au maneno maarufu yanayovuma hapa jamiiforum kwa ma great thinker.maneno hayo yanajirudia rudia katika kila post
Ni kama watu wamekariri. Au wameiga na Sasa unaweza kuona kila thread...
NI saa moja na nusu usiku!
Nyumbani kwa mzee Linus,
Nakasangwe, nje kidogo ya
Jiji la Dar es Salaam, ndani
ya ua mkubwa wa nyumba
yake, mapambo
yamepambwa vya kutosha
na wageni waalikwa...
Nadhani kwa kila penye mkusanyiko na wao wapo katikati yenu!sasa kama nihivyo na mnapenda mtambuliwe kisheria basi matembezi uanzia nyumbani kwa mantiki hiyo kama wanajamii na mko Hapa JF Basi...
Habari za siku wanajamvi?
Mara nyingi sana tumesikia au kushuhudia watu kadhaa wakipata ajali na kupoteza maisha. Na ajali nyingi sana zinazotokea usiku chanzo kikubwa ni ulevi kama si usingizi...
Nilikuwa najamiana na mwanamke fulani ambaye tumekutana naye mazingira yangu nilikuwa nimeenda kikazi kijijini huko.Sasa katika kujali afya si ndo nikaamua kuvaa kondom.tukaanza kusuguana sugua we...
Majira yame badilika usikubali kuwa na biashara moja mjini ,Fanya kilimo,ufugaji,uwekezaji na biashara zote za fani yako Pamoja na Elimu yako bila hivyo utaishia kuona mafanikio kwa wezio na...