Ikianza kodi ya vitambi kwa jinsi a zote. Vitambi vitakuwa adimu sana. Yaani wizara ya afya ishirikiane na TRA, mwenye uzito uliozidi BMI apigwe fine, gym zitajaa na watu wataacha kula kula bila...
Kwa kuwa imeonyesha namna taifa linatakiwa kuwa.magufuli ametangaza Vita na mashetani ya dunia lakini Nina imani kwa kuwa Yuko na Mungu maadui zetu watalamba chini.tanzania inakuwa nchi ya Africa...
Aiseee...
Kwa kweli sina la kusema,baba shikamoo.
Yan dah!,Mzee heshima yako kiongozi.
Narudia tena,Shikamoo baba kiongozi.... shikamoo sana.
Yaniiiii.....duuuuuh
Aman iwe nanyi wapendwa
Mtoto ana guu hatar sana usipime huo upaja huo aisee ni hatari sana
Jana sijalala kabisa nikiliwaza tu hilo guu sijui nizame pm sijui nisubilie atakuja mwenyewe pm...
Wadau kuna kundi kubwa sana la watu wanapora, yaaaan wanasimamisha gari kma abiria harafu wanapora mikoba, simu huku wakiwa na visu. Vijana wapo zaid ya kumi, yaaan hatari kwakweli.
Police...
Namshukuru Mungu leo nimetimiza miaka kadhaa, ni jambo la kumshukuru mwenyezi Mungu kwani wengi niliokua nao katika hii safari hawapo tena! Kwa wale waliopo Mwanza sherehe yote itakua pale chanya...
Mashoga ni binadam kama binadamu yeyote hivyo lazima awe na mwonekano wa kiume sasa kwa kasi tunayoenda nayo wanakamatwa na kustakiwa ombi langu kwa magereza wasiwachanganye na marijali kwani...
Ni pale prefect wa shule ya Dodo alipoomba majina ya wanafunzi wote wanaoachia hewa chafu darasani. Anasema amechoshwa na tabia ya wachache wanao haribu hali ya hewa darasani.
Kuna wengi hasa...
Yani leo nimekosa furaha kabisa, nilikua natoka kwenye jengo moja la biashara hapa mjini, nikasikia mtu ananiita ulti.. Ulti... Dha! Kugeuka classmate wangu wa Secondary huyu mdada nilimpendaga...
Chukua Magome ya mwembe, Majani ya mpera, Miziz ya Mkorosho changanya na Mkundekunde kisha pondaponda majani ya mpapai,
Chemsha dakika15
Halafu Chuja vizuri
Kata ndim 10 na robo lita Asali...
Huyu jamaa kaenda wapi sometime kumbe alikuwa anaongea ukweli.inawezekana sisi tunamuona Kama niaje kapinda.lakini yako mambo ya msingi alikuwa anaelezea.namkubali sana sijamuona jf kitambo
Wakuu habar za jion Mimi ni kijana jinsia ME, Leo saa 6:01 usiku natimiza umri Wa miaka ishirin na saba (27) Namshukuru mungu mungu , wazaz , ndgu na rafiki.
Hivyo napenda tujuzane ni vitu gani...
Hivi kwanini hawa watu hawakomi.
Kila siku kazi yao kupiga mizinga. Hivi kila mtu angekua akihitaji hela anaomba tu maisha si yangekuwa easy.
Watu tunapiga hustling za kufa mtu then jitu...