Habari zenu wadau nimelimis sana ili jukwa kama kawaida yangu huwa sina cha maana kwenye kuongea ndio mana nalipenda hili jukwaa.....
Kwa Pamoja Halelujah...Bwana asifiwe.
Gololi ni mchezo wa watoto wa zamani ambao enzi hizo ulichezwa sana... Gololi kubwa sana iliitwa “Dungu” na Gololi mpya iliitwa “Kinyuli” Gololi iliyokuwa imemeguka iliitwa “Betri”.
Shimo la...
Habari zenyu Wandugu.
Uzi huu ni Maalum kwa kutakiana jumapili njema.Muwe na Jumapili njema wapendwa[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] .
Shukrani za kipekee kwa Muumba wetu kwa kutuwezesha kuiona siku hii ya leo. Najua ni wengi walitamani kuiona lakini hawajafanikiwa. Nakukaribisha kwa moyo mkunjufu kwenye jamvi letu tujadiliane na...
Shirikisho la soka Tanzania,limetangaza rasmi kumfungia mchezaji wa yanga Ajibu mechi 3 kwa kukiuka maadili ya Tanzania baada ya kufunga goli ambalo haliendani na maadili ya...
Habari wakuu
Nipende kuwataarifuugu jamaa na marafiki though taarifa imechelewa
Mnakaribishwa saana katika hii siku muhimu na yakihistoria maishani, ni miaka 10 sasa imetimia tangu nilivyoanza...
Mzee tupiatupia baada ya kufa kajikuta tayari yuko kuzimu.Akaanzia mapokezi akaelekezwa utaratibu ni kuwa kila MTU lazima aingie kwenye chumba maalaum kilichotengwa kwaajili ya nchi yake kwaajili...
ARMED ROBBER:- I will rape all of you!
GIRLS (crying): Rape us but please leave our grandma out of it!
GRAND MA (shouting): Leave who out?: idiots!, do you know when my husband died?
Pls...
Nichukue fursa hii kwa kumshukuru mungu kwa kunipa pumzi za kufikisha umri mwengine katika maisha yangu,hope umri mpya umeniachia maswali ya wapi nlipotoka,wapi nilipo,wapi napokwenda? Mungu...
Wakuu habari zenu.
Baada ya majaribu ya hapa na pale na penzi la mke wa mtu naomba kuleta mrejesho kwa kufungua uzi huu.
USHAURI: Mke wa mtu anadai ananipenda - JamiiForums
Wakubwa wameelewa...
Checkers au waweza kuliita draught kwa lugha ya kigeni Ni mchezo ambao unazidi kuwa maarufu Sana katika vijiwe vingi.yaani zamani nilikuwa naona wazee tu wakilicheza katikati ya miji Ila siku hizi...
Nakumbuka hii ilkua ndo shughuli yangu hasa nikifkiria ela ya gesti bora nimpe yeye(demu).Hii iltokana na umalaya wangu wa kutembea na wanawake wengi kila siku.
Mara ya mwisho nilipaki gari kambi...
yesterday was hell of a night
it started slow then BALIMI ZIKAANZA
Later on i met this chic she is very beautiful
chombezo langu likaeleweka
nimetoka kwake saa 11 asubui
jicho limeiva
falling in...