JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuzungumzia habari za kifo sio Jambo rahisi.tu assume tungepewa nafasi ya kuchagua ugonjwa ambao utasababisha kifo chako.je wewe ungechagua upi?kansa,matatizo ya mapafu,UKIMWI,malaria...
0 Reactions
46 Replies
3K Views
Asee humu jf kuna avatar na majina ya wakuu yanachekesha mno, ebu cheki avatar ya huyu mkuu "ushimen "mwingine anajiita "panyabuku" Na mwingine yule mkuu wa jukwaa la tech ronaldinho mwenye mdomo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zangu mwenzenu nipo katika majuto mjukuu Kwa matumizi niliyokuwa nafanya wakati ule ni mabaya sana. Nilipokuwa na pesa mfukoni matumizi yangu yalikuwa niya hali ya juu sana. Na nilikuwa...
2 Reactions
107 Replies
5K Views
Hivi kuna watu bado wananunua memory card na kujaza simu kwa kudownload nyimbo? Spotify ni hatari hii unaweza kustream playlist ya nyimbo hata 100, nyimbo mpya kwa mb 5 mpk 10, unaweza...
5 Reactions
68 Replies
7K Views
Mwanamke na mwanaume wanapoana na bahati nzuri wakawa wanafanya kazi huwa ni neema ndani ya nyumba na maendeleo yatakuja kwa sana na watoto hawatapata shida Tatizo lipo kwa mwanaume,mwanaume kama...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Watu wengi hupenda kuwaita wanawake ambao wana wapenzi wengi kuwa ni Vicheche kwa maana kuwa wanapenda ngono sana Hebu angalia tabia za huyu mnyama kicheche na tabia za mwanaume,kwa wale...
1 Reactions
46 Replies
11K Views
Habari za majukumu wakuu. Husika na kichwa cha habari. Kuna mtibdo mpya siku hizi kwa akina dada wa kupiga hela, kwakweli hili wamefanikiwa lakini kwa wachache wasioujua huu mchezo wao. Najiuliza...
7 Reactions
97 Replies
10K Views
Naomba elfu 80 jamani nimekwama pleeeeease. Nitarudisha 85 baada ya wiki
2 Reactions
66 Replies
6K Views
Hatimaye safari yangu ya kutoka nkoani Simiyu wilayani Itilima imefika mwisho hapa mjini Daslama Nilikua makini sana pale ubungo,nimetoka nje nimekuta wanauza visamaki vina kamba kamba na wengine...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Some thing to learn
5 Reactions
10 Replies
3K Views
Nakuja kwenu WAKUU na watabe wa tasnia hii.. Waswahili wanasema kua uyaone.. Mwenzio kila nikijaribu kwa nguvu zote kumtekenya mke wangu hacheki, msaada wakuu wa jamvi ili ni nusuru ndoa...
1 Reactions
71 Replies
7K Views
Naandika tabia nilizoziona humu kwa members wa Jf ambao ni wakazi wa Dar na ambao ni wakazi wa mikoa mingine tofauti na Dar . Members wa Dar 1. Wanawadharau sana wale wamikoani 2. Wanaamini...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Unakunufaishaje wewe binafsi? Huchocheaje umoja wa watu? Husaidiaje kudumisha umoja?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama heading inavyojieleza hapo juu, Wakuu kuna watu hapa JF wana bahati mbaya sana kama vile wanalala na bundi, yaani hata alete uzi wenye mashiko kiasi gani lakini atabezwa tu na wala hatopata...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Kwanini walivipa Jina viatu vya mbao jina la makubazi ukirudi back shida tupu
0 Reactions
3 Replies
4K Views
#INASEMEKANA: Watalaam wa mambo wanasema wanawake wembemba wasio na mizigo wana bahati sana. Ukidate nae mambo yanakuendea sawa, ukiwa nae tegemea bahati tu. Shauri yenu nyie endeleeni kupenda...
1 Reactions
62 Replies
7K Views
Jamani waumini wa JF naombeni ushauri niliacha kula NYAMA ya kiti moto kwa kipindi kisicho pungua miaka 16 lakini nnikarudia kula tena nna kama miezi 3 sasa kilicho tokea naona kama nayumba...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
hili jambo huwa najiuliza sana kama ni kweli binadamu wote ni sawa. Kiuhalisia usawa haupo kwa kweli. Mfano mdogo tu kuna members hawapewi Ban kabisa; Kuna member kama Max Melo mzee mwana...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Wasalaam bandugu katika jukwaa hili Leo nimeona tushirikishane visa vilivyowahi kukutokea, au umewahi kushuhudia mtu anaumbuka kisa pombe? Mimi siku nimetoka redstone club moshi nimekula pombe...
4 Reactions
69 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…