Salam ndg zangu!
Ni raha kuingia na simu chooni halafu ukaanza kuchart tena zaidi kama unachart na kamchepuko kaka fulani!
WhatsApp ndo raha sana!
Raha sana kuingia na simu chooni na kuchart...
Helllooow
Kwa sisi tunaotumia usafiri wa umma tunakumbana na mengi. Ghafula bin vuu unakaa kwa seat Mara mrembo Naye huyo au unamkuta tayari yupo peke yake.
Hapa ndipo wengi hupitilizwa vituo au...
Haeleweki, hasomeki, amepoa, akionekana anakuwa na sura ya kinyonge, hakurupuki tena, kiki zimemuishia na ana wasiwasi kama siyo hofu kubwa sana.
Nawasilisha.
Bibi na Babu walisafiri wakielekea kwa mtoto wao ambae hawajamuona zamani.
Walipofika njiani wakawa wamechoka Sanaa. Wakaamua kutafuta hotel ili walale.
Wakakubaliana walale kwa masaa 4...
Acha nitiririke moja kwa moja.
Ni hivi imetokea umeanzisha ukaribu na dem humu JF ukawa unajikomba komba lakini kwa bahati mbaya unaona kama vile hakuchangamkii.
Kibaya zaidi mara paaa unaona dem...
Asalam Jf
Kama heading inavyojieleza hapo
Katika maisha yako yote tangu umezaliwa mpaka hapa ulipofikia
Je ni kitu gani cha ushujaa umewahi kukifanya??
Mimi nilizuia rungu kwa mkono wangu...
Hivi ulishawai kutumwa na mshikaji wako kumtongozea demu/men alafu huyo demu/men akakwambia kama ni wewe yuko tayar lakin kama ni mshikaj wako haitowezekana.
Hivi jibu zuri la kumpa huyo mshikaji...
they score hattrik
I shoot hot Kiki
they speak https://jamii.app/JFUserGuide shit
I giv them hot speech
so djay nipe biti
nifanye song hit
pasionekane kuanzia juu ya goti
mana risas zao zita shoot
na hizo min skirt...
UFAFANUZI KUHUSU NENO WANAUME WA DAR.
wanaume wa Dar ni tabia haijalishi unaishi wap, mfano we mwanaume :-
1. Unaishi Tabora ndani afu unamtext mwanaume mwenzako una mwita My, dear etc wewe pia...
Haya ni majina ya koo za kibantu ambayo kiasili ni majina ya kiume lakini kwa namna ya kipekee kabisa yamebadilika sura na sasa yanaonekana kama majina ya kike .
1. Uwoya. Chanzo Irene Uwoya...
Wana tambaza eeehhh. Salamu kwenu asee!!!
Nimemaliza hapo juzi kati tu 2013. Kuna mengi yakusimulia ikiwa ni pamoja na manyanyaso tunayo yapata ya kutokuwa huru kuelezea ni kipi tufanyiwe au nini...
MTEGO KWA WAHAMIAJI HARAMU UFARANSA
Serikali ya Ufaransa imeandaa mtego maalum wa kukamata wahamiaji haramu kwa kuning'niza watoto wanasesere kwenye milingoti ya magorofa ili wahamaaji hao...
Mmoja wao kwa sasa ana album anazidi kung'aa tu
Mwingine yeye anasuasua ktk video queen hajatoka kivileee
Huyu mwingine yaaan daah ndo funga kazi,, yeye minenguo bongo move hadi video queen...
habari zenu wakuu,
Kuna watu wapo humu wameshafika kenya au hata wapo huko mpaka sasa. naombeni mnijuze nauli ya kutoka Dar-es-salam kwenda kenya na gharama za guest house zipoje nawasilisha.
Amani iwe nanyi wapendwa!
Wake kwa waume mlio jf,iwe MMU au jukwaa lingine lolote humu ndani wapenzi,wachumba na wake zao au mahusiano yoyote yanayopelekea hisia za ndani ya...